Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

KKwenye kile nilichoandika hukuyaona maneno haya "Soma alama za nyakati kwa kuangalia matukio"? Hiyo ndiyo key statement kwenye hicho nilichoandika. Asilimia 99% ya Wa-Tanzania huwa tunaona Siasa tu, tunasahau kwamba kuna mengine mengi nayo pia huwa yapo yanaendelea ila yanaonekana KAMA Siasa wakati katika Uhalisia siyo Siasa.Kwa mfano, zuio la mikutano ya siasa nayo pia ni Siasa, kisa kilichozuiwa ni mikutano ya Kisiasa? Angalia matukio!
Hujaeleza kitu nikakielewe. "Matukio" kama hilo la kuzuia mikutano, huku waliozuia wakifanya 'matukio' yanayoonekana kuwa mikutano ya kisiasa..., wewe unataka kuiita nini kama sio siasa?
 
Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.

CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
Mtoa mada ana upande wa kuutetea tena!
 
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).
Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutakata, kutembea, kulala na kuulinda mtaji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao na alikuwa bingwa.
Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, "mikete", miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.
Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitego na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.
CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.
Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?
Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?
Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Faiza foxy, ni fox ambaye Watu humchukulia juu juu tu, Kumbe ni #Bibi kilembwe wa kivuli kinaishi
 
Taja fisadi aliyefungwa zaidi ya wafanyabishara wanaolipiwa visasi na namba moja. Kwanza hiyo mahakama ya mafisadi ilifungwa eti imekosa wateja, maana mafisadi ni haohao waliompa madaraka anayesema anapambana na mafisadi. Kambale msafi hatoki bwawa chafu. Sasa hivi hakuna mapambano ya ufisadi bali mapambano ya matumizi ya neno fisadi.
Mkuu nimeipenda hii "Kambale msafi hatoki bwawa chafu". Ubarikiwe!
 
Mkuu ww umefanya jitihada gani kuhakikisha kuna tume huru ya uchaguzi? Au nyie ndio wale mnaokejeli humu, kisha yakitokea machafuko kwa sababu ya haki kupindishwa mnaishia kusema amani ya nchi inapotea? Unaweza kijitapa wapinzani watapigwa chini vibaya mno huku ukijua fika dhuluma ndio inayopelekea hayo?
Jitihada ndiyo hill wazo ninalowaambia hapo katika mchango wangu, "tume huru" .

Na mmekosa mbinu thabiti! Mnashindwa kuungana kuwa na sauti moja!

Wananchi wamewapigia kura mnawasaliti na kurudi CCM mnawaacha hawawa elewi ni usaliti huo.

Hamueleweki ni kipi mnachokisimamia! Mapambano ya kweli ni kujitoa kwa ajili ya wananchi, kufa kupona katika haki ya mile unacho kisimamia na kukiamini.

Vyama vyenu havina Demokrasia ,viongozi miaka nenda rudi ni hao hao na migogoro kila kukicha .

Alafu mpewe Nchi , Kweli!

Hayo ni mawazo yetu sisi watanzania tusio wanasiasa.
 
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).

Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutakata, kutembea, kulala na kuulinda mtaji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao na alikuwa bingwa.

Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, "mikete", miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.

Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitego na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.

CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.

Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?

Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Mboe ni mjanja sana
 
Nilisikiaga Maccm walikuwa wanafika bei kwa hao wote waliowachukua @FaizaFoxy.labda wao ndiyo wanaenda kuza sirinza walikotoka
 
Leo au ni kesho ndiyo sikukuuu yako wewe mdini ila naona wewe ni wale suruali fupi ndiyo maana umefungua bila shamra!
Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.

CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
 
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).

Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutakata, kutembea, kulala na kuulinda mtaji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao na alikuwa bingwa.

Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, "mikete", miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.

Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitego na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.

CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.

Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?

Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Sijui Kwanini nyie watu mliopo CCM ni mazero brain Holder kiasi hiki? OK hamjategwa CCM inapendwa Sana na hongereni.
Hahahahah...
 
Ukiwa kwenye madaraka ya kuendesha nchi kuna mengi sana unayoyajuwa kuliko ukiwa nje ya madaraka ya nchi, kuna mengine fitna kuna mengine kweli.

Nnakumbuka Kikwete aliwahi kusema kuna watu "wana viwanda vya uongo". Kwa hiyo usifikiri kila baya linafanywa na chama tawala, kuna watu wana mitego ili tu wakuchafulie. Pia kuna watu wako so "aggressive" wanaweza kufanya chochote ili wakupokonye tonge lako.

Fikra za kuwa mtu anakwenda kwenye kibanda cha kupigia kura huku analazimishwa mpigie fulani ni potofu. Waliochaguliwa ni watu na wamechaguliwa na watu kwa kura za halali kabisa.

Mbona kuna wapinzani bungeni, na wengi walikuwa CCM walipohamia upinzani wakachaguliwa vile vile? Kungekuwa kuna mabavu ungewaona akina Bulaya, Slaa, Shibuda bungeni?

Fikiri.
Habari yako mama yngu mwana CCM mwenzangu kiu kweli CCM ya 2015 kurudi chini ni nyingne na CCM ya 2016 kwenda mbele kitu kingine sidhani km CCM yetu hii kweli inakubari ushauri wa aina yyote hata kutoka ndani CCM yenyewe lazima tukubariane kuna tatizo pia ndani yetu tna kubwa sna maisha uwezi kujua kila kitu na viongozi wetu sio malaika...
 
Hakuna hujuma yoyote. Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM utagundua kuwa awamu hii imefikia katika kupambana na ufisadi na hata kwenye ilani kuna mpaka kufunguliwa mahakama ya ufisadi. Na ndicho serikali inachokifanya.

Serikali inajitahidi kupambana na kuzini mia nay ya ufisadi (corruption). Unataka kunambia hakuna wana CCM walioshikwa kwa ufisadi?

Bado hujanijibu, bandarini ukienda kuitoa mizigo yako unaulizwa kadi ya CCM?
Mama Yngu...
 
Yani pamoja na kusema kuwa unewahi kuishi nje na kwamba waweza kuwa na exposure lakini bado huoni umuhimu wa uwepo wa vyama vingi vya kisiasa?

Na kama ni unafiki basi utakuwa wa hali ya juu sana!

Kiukweli huwa siwaelewi wasomi au wenye exposures wanapokuwa na mtazamo wa kuponds kama wako juu uwepo wa vyama vingi vya kisiasa!
Sasa wengi hujiuliza ni sababu ya unafiki mkubwa au chuki?

Maana kwa yule ambae hajasoma na kukosa exposures tungesema sababu ya ujinga lakini atakapopata elimu ataelewa,
Sasa watu kama nyie tatizo litakuwa ni nini hebu elezea @ Madam!
 
Chama kikishashika dola au kuishika system hakuna wakuitingisha, labda kama yatokee mpinduzi ya kimabavu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom