Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Wewe punguani kweli kweli, watu wanaongelea korosho wewe unaleta utumbo.

Naona baada ya kukupa kidonge chako sasa unataka kurudi kwenye mada. Uzi huu siyo saizi yako, kabishane Simba na Yanga.

Nafahamu ni shule tu uliyosoma ilikufunza ujinga.
Ukiona utumbo chemsha supu uunywe...
Korosho zitawatoa nafsi...
Shule niliyosoma mwalimu wangu ni wewe na hicho ndicho ulichonifunza na kunisifu ufaulu
 
Kakope benki ufungue hicho kiwanda kuliko kuwashauri wengine ili uwemo katika mabilionea wapya 100
Soma post namba moja vizuri kama muelewa utaelewa.

Nafahamu tatizo lako kubwa ni shule tu, ulisomea ujinga.
 
Biashara ya ku process korosho ni tofauti na biashara zingine, inabidi uwe na mtaji mkubwa wa kununua korosho wakati wa msimu. Kama haupo kwenye biashara hiyo ni vigumu kuingia kwa nguvu mwanzoni. Si unaona hata serikali bado haijalipa korosho zote mpaka sasa.

Mo ana uzoefu wa ununuzi wa korosho kutoka kwa wazee wake, lakini kwa kiwango kikubwa walikuwa wanapata pesa kutoka kwa wanunuzi waliyopo nje ya Tanzania, wao ni kama wanunuzi tu na kuzisafirisha. Ninachoongelea ni korosho kwa asilimia kubwa ziwe processed hapa hapa.
Nakubaliana nawe muhenga mwenzangu.Tafakuri Tandahimba kuna kiwanda kikubwa cha kubagua Korosho kinaitwa AMAMA FARM ni m Sweden ila changamoto kubwa waliyonayo ni upatikanaji wa Korosho ghafi. Mwaka huu alifunga kiwanda alipokosa malighafi akitangaza kukiuza.Na sasa ameshindwa kabisa malighafi mifumo inamichakato mingi ya kupata ghafi.pamoja na wazo lako la kuwakopesha pia policy ya kupatiwa Korosho ghafi iheshimiwe.
 
Ukiona utumbo chemsha supu uunywe...
Korosho zitawatoa nafsi...
Shule niliyosoma mwalimu wangu ni wewe na hicho ndicho ulichonifunza na kunisifu ufaulu
Watu sasa tupo kwenye ku add value ya korosho wewe bado upo kwenye utumbo.

Nafahamu, tatizo ni shule tu, ulisomea ujinga.
 
Nakubaliana nawe muhenga mwenzangu.Tafakuri Tandahimba kuna kiwanda kikubwa cha kubagua Korosho kinaitwa AMAMA FARM ni m Sweden ila changamoto kubwa waliyonayo ni upatikanaji wa Korosho ghafi. Mwaka huu alifunga kiwanda alipokosa malighafi akitangaza kukiuza.Na sasa ameshindwa kabisa malighafi mifumo inamichakato mingi ya kupata ghafi.pamoja na wazo lako la kuwakopesha pia policy ya kupatiwa Korosho ghafi iheshimiwe.
Process ya kupata malighafi hapo awali ilitengenezwa kwa "lobbying" ya wanunuzi wa korosho ghafi. Wenye viwanda vya kubangua korosho wapewe kipaumbele cha kununua korosho kabla hazijapelekwa mnadani.
 
Nakubaliana nawe muhenga mwenzangu.Tafakuri Tandahimba kuna kiwanda kikubwa cha kubagua Korosho kinaitwa AMAMA FARM ni m Sweden ila changamoto kubwa waliyonayo ni upatikanaji wa Korosho ghafi. Mwaka huu alifunga kiwanda alipokosa malighafi akitangaza kukiuza.Na sasa ameshindwa kabisa malighafi mifumo inamichakato mingi ya kupata ghafi.pamoja na wazo lako la kuwakopesha pia policy ya kupatiwa Korosho ghafi iheshimiwe.
Mkuu sasa hivi zimejaa kwenye maghala na ubanguaji tuliambiwa kasi yake ni ya kinyonga inaweza chukua miaka 5 kuzimaliza je hicho kiwanda hakijulikani na wakuu kuwa kipo?
 
Tabu lazima iwepo ya kukuelimisha ukubwani. Asiye fundwa na ***** hufundwa na ulimwengu.
Acheni siasa kwenye mambo mazito. La korosho mnajifanya wadau huku mnawanyonga maskini huku mkizunguuka na kunesa kwenye viti.
Hizi porojo za Bakhresa na Mo wafungue viwanda vya korosho hazimsaidii mtu wa Tandahimba, Newala wala wa Liwale mwenye dhiki na shida zake. Tafuteni njia ya muda mfupi muwakomboe hao ndipo mje na hizi ngonjera.
Watu wanaoweza kuwekeza wapo lakini sera za uwekezaji hazijawa rafiki kwanini wanaweka viwanda vya ubanguaji katika nchi ambazo hazilimi korosho?
Mmejaa rushwa na urasimu...
 
Umelala, kuna njia ya muda mfupi njema zaidi ya kuwapa kilo shillingi 3,400 wakati wanunuzi wa nje walitaka kuwapa shillingi 1,700?

Hivi upo dunia hii kweli? Wewe kweli msukule. Maana umepita kiwango cha kusomea ujinga.
 
Punguani kweli kweli wewe. Katazame duniani biashara kubwa kubwa za mazao zinavyokuwa backed up na serikali zao. Kuna nchi mpaka bei inapanga ukiuliza zao Fulani basi guaranteed utalipwa kiasi fulani kila eka.

Kasome kuhusu subsidized na compensated farming. Kasome kuhusu industrial subsidies na export promotions za wenzetu.

Unashangaa watu kukopesheka bila riba kwenye viwanda? Ni bank guarantee tu ya serikali, mambo poa.

Soma kijana achana na ujinga uliojazwa nao shule ulizosoma. Una mengi ya kufuta na mengi mapya ya kujifundisha, nje ya hao waliokufundisha ujinga. Naona bado unang'ang'ania ujinga tu. Au wewe ni zaidi ya ujinga uliojazwa? Ni msukule.

Kama u msukule basi hatuwezi kuku reverse. Pole sana.
Kweli ccm ni ugonjwa na baba la ujinga...
Unaishi dunia ipi wewe?
 
Bibi jamaa yuko sawa, Joni ndio shida ya kwanza sababu kasimu alimwambia wateja wapo yeye akasema jeshi linunue na hata ikibidi kuzipiga bome wapige tu.

John akubali yeye hajui kila kitu wapo wenye weledi, korosho wapo wanaojua hao ndio washauri kwanza haya ya kuamua kihuni ni kwa mambo ya kisela tu korosho ni uchumi na ni maisha. Maamuzi yake haya kuzingatia usafirishaji, ubanguaji, utunzaji na soko sasa mtaji wooote unaota maghalani na bado bibi wewe unaingia woga, wataliano waliamini bibi anaouzoefu wa kutosh a na atasema kweli daima sababu hata cha kupoteza.

Kwa sasa ziuzwe nje sababu ndio soko lilipo halafu tuanze polepole na sisi kuingia hilo soko, sio kama kuwasha bangi. Nyie wakulima na wadau mjifunze kuwa wakweli na muache woga na unafiki.
Una fikra zozote za utatuzi au ushauri au wewe ni kama mke mwenza, unayoyafahamu ni matatizo tu bila kuwa na ufumbuzi?
 
Wamelipwa???
Umelala, kuna njia ya muda mfupi njema zaidi ya kuwapa kilo shillingi 3,400 wakati wanunuzi wa nje walitaka kuwapa shillingi 1,700?

Hivi upo dunia hii kweli? Wewe kweli msukule. Maana umepita kiwango cha kusomea ujinga.
😀 😀 😀 ikifika zamu ya dhalimu kupitia haki yako utapanua kinywa kuliko anayeng'olewa gego. Watu hawajalipwa na waliolipwa hawajalipwa kiasi ulichokitaja HONGERENI.
Endelea na siasa ila pembe la ng'ombe halifichiki!!!
Siku zote masufahaa hujiita werevu halinishangazi.
 
Mimi huwa sielewi hoja hii ya mheshimiwa, maana najua wafanyakazi sekta ya umma na binafsi Tanzania wote wanalia mishahara yao haikidhi kujikimu kwa mambo muhimu kama chakula, malazi na mavazi.

Madili ni lazima yawepo mpaka hapo mishahara ya wavuja jasho itapotosha kwa masuala ya msingi chakula na mavazi ndipo wawabeze 'wamezoea Madili ili hali mishahara inatosha kujikimu.

Nchi zingine hakuna hata rushwa ndogo ndogo au kuombwa pesa ya chai kwa vile mishahara inatosha kujikimu chakula, mavazi na malazi.
Chakula, malazi, mavazi, matibabu na ada za shule.
 
Ushauri mzuri lkn ccm hakuna tena hata ntu mmoja anaejitambua, bunge ndy limejaa wabunge wasio na mawazo mbadala. Wenye mawazo yenye tafakuli nzuri ndiyo hao hufukuzwa.

Kwanza korosho ni zao linalo endelezwa na Kangomba kumfirisi kangomba ni kuua korosho, ni ujinga wa daraja la juu kumuona kangomba hafai utolewe ushauri na uelimishaji ili kangomba asiwadhurumu wenye mashamba. Na serikali iwalipe pesa zao na kuwaomba radhi.

Pili makangomba wahamasishwe na kukopeshwa mitaji wafungue viwanda vyenye ubora wa kuongeza thamani korosho vingi nasi viwanda vikubwa viwe vidogovidgo vyenye ubora.

Ccm na viongozi wenu mkiona tunatoa ushauri kwa lugha kama hizi mnaamua kudharau au hata kutudhuru au kutuua mmewaweka akina Msiba kutishia wenye mawazo mbadala ni aibu.

Chama hiki na watu wake lazima waondoke ndiyo mawazo yako bibi huenda huko kwenye vyama vingibe wakatokea wenye kutekeleza haya lkn kwa hawa miungu wenye kujua kila jambo ni kupoteza muda. Acha wafanye wanachopenda wao ndiyo wanajua sasa hivi utaonywa na huyo msiba wenu.
 
Ndiyo maana nikasema wakopeshwe bila riba, ili wasitumie mitaji yao waliyopanga kufanya mengine.
Yani serikali itumie fedha ya walipa kodi ili ikanufaishe kabila fulani kwa sababu za kisiasa? Kwanza subiri muone lazima Magufuli aje siku moja atueleze ni kwanini alitumia fedha ya walipa kodi kwenda kununulia korosho kinyume kabisa cha taratibu za kiuongozi. Mambo ya korosho waachiwe wenye korosho zao kama alivyosema Nape. Mbona kabla serikali haijapeleka uchafu wake kule walikuwa wametulia tuli kama maji kwenye mtungi? Yani zitumike fedha za walipa kodi kwa hasara ili kunufaisha kundi fulani kwa sababu za kisiasa? Tutazidai na tutazidai kweli kweli. Mambo ya vita kati ya Manji na Magufuli ndiyo yaliyowaumizeni nyie wamakonde kuanzia mbaazi hadi korosho. Mchawi mnaye nendeni mkamuulize! Tatizo ni nyie mashangazi mnaogopa kupigwa!
 
Back
Top Bottom