Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Nitajie basi wafanya biashara wa kutukuka wa "food processing" Tanzania hii niwaweke.

Tatizo nini?
Mtanga foods.
Alaska.
Chai bora.

Weeeeeengi tu wawekezaji wapo nchini... Hao akina bakharesa na mo.

Wana udini.. Uchama na matabaka tayari... Ni ngumu saana kutoa msaada kwa mambo ambayo yako kiujumla.
 
Unanitajia majina ya kampuni. Nitajie majina ya wenye hizo kampuni niyaweke. Bakhresa ni jina la mtu. Biashara huendana na bashari (mtu).
 
Se non sta andando bene, chiama tua nonna." Hiyo ni methali maarufu ya Kitaliano ambayo nimepata tabu kidogo kutafuta ya Kiswahili inayofanana-nayo, sijafanikiwa kuipata. Kwa tafsiri isiyo rasmi inasema "ikiwa hakuna linalokwenda sawa, muone bibi".
Ila pia hata kwetu kuna methali isemayo mshika mawili sijui moja humponyoka au yote na kuna maneno awali kum hapa tusipapase maneno washauri wa kiongozi walianza vibaya kwa kshauri kuuwa upinzani tena kwa mtindo wa kufilisiana hivyo ile mentali imejaa vichwani kwa wasimamizi wote wa utawala kuanzia chini serikali ya mtaa walinzi(police) wakusanya kodi(tra,) kuona kumkandamiza mwananchi utapata sifa kukusanya kodi kubwa bila kuona maumivu ya baadaye ya huyo unaye mkamua ndiyo haya ya kumuona bibi
 
Unanitajia majina ya kampuni. Nitajie majina ya wenye hizo kampuni niyaweke. Bakhresa ni jina la mtu. Biashara huendana na bashari (mtu).
Heee!!! Coca na Pepsi.... Tanzania Tea Blenders enzi zake... hapana hapa naomba nikupinge wazi Job Stevens au Bill Gates wangezipa Apple na Microsoft majina yao ili "wauze" tatizo katika bidhaa zetu ni ukanjanja na urasimu wa watendaji. Aidha hatujawa tayari kwa sababu hakuna mipango ya kudumu kisera katika kukuza mitaji. Wote uliowataja "Mo na Bakhresa" hawakuanza wakiwa mabilionea bali walianza na "ndoto na malengo" Lazima tuwe wakweli tajiri hawezi kuanza kurisk katka biashara anayoona itamuingiza hasara.
KAMA HATUJAWA TAYARI KUJIFUNZA KWA WARUSI KUHUSU VIWANDA NA TUKAJIFUNZA KWA WA MALAYSIA, SINGAPORE, PHILIPPINES KUHUSU MAENDELEO...
IKIWA WENYE AKILI NA MIPANGO WANAONEKANA ADUI NA WAJINGA WALAFI WAKIONEKANA MAGWIJI
BASI TUENDELEE KUTARAJIA MIKWAMO SEHEMU NYINGI...
Si korosho pekee...
TURUDI TULIKOJIKWAA TUJISAHIHISHE
 
Biashara ya korosho huko nje ina mambo mengi na fitna kubwa na "wanunuzi wana walaji wao" fuatilia Brazil na Thailand wanakwama wapi? Ili sisi tuvuke tunapaswa kupita wapi? Kwanini wasiolima korosho ndio wenye kuuza sana? Hayo yote kina Mo wanayajua ndio maana wanaogopa kuzibangulia hapa kwetu. Kila mlaji ana matakwa na kiwango chake na kuna visa vingi na hila katika soko hilo tafiti utapata jawabu. Soko linalotufaa sisi ni middle east na europa ambako hata hivyo washindani ni wengi soko kubwa ni India huko tukibangua sisi ndivyo nimesema awali kuna hila na visa vingi.
Ana mengi sana kichwani mwake na huu ni ushauri tu.
 
Duh. Unachokipinga nini sasa hata sikuelewa. Bakhresa na Mohamed ni majina yao na majina ya kampuni na hayo mmesema ni "udini", ingawa mpaka Leo hakuna mmoja humu aliyeweza kunifafanunulia maana ya neno "udini". Nimesema leteni majina ya hao mnaoona si udini unanipa majina ya kampuni au brand names.

Sasa Coca Cola ni "food processing company"? Ya Kitanzania? Au ni franchise tu hiyo?

Bill gates na Steve Jobs nao wana uza vyakula?

Sijui hizo shule mlienda kusomea nini zaidi ya ujinga!

Kwa fikra za watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Unapiga hata unachokipinga hakijulikani, mradi upinge tu.
 
Ni ushauri mzuri hata hivyo korosho ya msimu ujao imeshapata mnunuzi na benki ya Mkombozi imeshatenga kiasi cha sh trilioni 1 kwa ajili ya zoezi hilo.

Ahsante kwa ushauri!

Hahahah ccm huwa mna fix sana, kumbuka yule jamaa wa nje anayetoa macho alisema mnunuzi kapatikana toka Kenya lakini mwisho wa siku kila mtu anajua kilichotokea
 
Duh. Unachokipinga nini sasa hata sikuelewa. Bakhresa na Mohamed ni majina yao na majina ya kampuni na hayo mmesema ni "udini", ingawa mpaka Leo hakuna mmoja humu aliyeweza kunifafanunulia maana ya neno "udini". Nimesema leteni majina ya hao mnaoona si udini unanipa majina ya kampuni au brand names.

Sasa Coca Cola ni "food processing company"? Ya Kitanzania? Au ni franchise tu hiyo?

Bill gates na Steve Jobs nao wana uza vyakula?

Sijui hizo shule mlienda kusomea nini zaidi ya ujinga!

Kwa fikra za watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Unapiga hata unachokipinga hakijulikani, mradi upinge tu.
Katika huo ujinga tunaosomea nimekupa mfano ili mwenye akili ujiongeze... jikite kwenye korosho ili nisikuweke kwenye mazwazwa
 
Hahahah ccm huwa mna fix sana, kumbuka yule jamaa wa nje anayetoa macho alisema mnunuzi kapatikana toka Kenya lakini mwisho wa siku kila mtu anajua kilichotokea
Wanajisahaulisha na kudhani sote tu wasahaulifu... HIVI SI NI BENKI YA MKOMBOZI HIYOHIYO ILIYOHUSIKA NA ESCROW AU MKOMBOZI NYINGINE?
 
Biashara ya korosho huko nje ina mambo mengi na fitna kubwa na "wanunuzi wana walaji wao" fuatilia Brazil na Thailand wanakwama wapi? Ili sisi tuvuke tunapaswa kupita wapi? Kwanini wasiolima korosho ndio wenye kuuza sana? Hayo yote kina Mo wanayajua ndio maana wanaogopa kuzibangulia hapa kwetu. Kila mlaji ana matakwa na kiwango chake na kuna visa vingi na hila katika soko hilo tafiti utapata jawabu. Soko linalotufaa sisi ni middle east na europa ambako hata hivyo washindani ni wengi soko kubwa ni India huko tukibangua sisi ndivyo nimesema awali kuna hila na visa vingi.
Soma post namba 100 nimeelezea hilo kwa ufupi na straight to the point.

Napenda ufahamu kuwa nime "declare interest" ya kuwa ni mdau wa korosho kwenye post namba moja. Kwa kukujuza tu. Licha ya kuwa na mashamba ya korosho (note; mashamba siyo shamba) nilianza mpaka kubangulisha korosho miaka ya zamani sana. Kama hiyo haitoshi, nimetembelea nchi nyingi sana kuhususiana na korosho. Nafahamu korosho na soko lake kuliko unavyofikiria.

Huwa sikisii.
 
Narudia tena, ilani ya viwanda ni ya ccm, na viwanda vinalipa kuliko udiwani, ubunge na urais. Kwakuwa wanaccm huwa tunaona wanafanya lolote kuhakikisha wanapata madaraka, kwanini wasikope bila riba wafungue hivyo viwanda kisha tuone matokeo ya wanachoamini?

Tena kwa kuanzia mawaziri wajiunge wanne wanne kila kundi lianzishe kiwanda watoe ajira tuone matokeo. Na funga kazi rais ajiunge na mawaziri watatu wa viwanda, wawili aliowatumbua na huyu mpya wajenge kiwanda kisha tuone mfano halisi wa hicho wanachohubiri. Akina Mo, Bakhresa and the likes hawahitaji ushauri wako kwenye viwanda maana tayari wanavyo, hawa wanaohubiri sasa ndio watoe shamba darasa la mahubiri yao.

Hahahah jamaa una akili sana, hayo mahubiri ya viwanda hata wao wenyewe hawayaamini, ni theory tu kama theories nyingine za darasani, msomi wa ngazi ya PhD(japo iko na utata) unadhani atafungua kiwanda cha nini kwa mfano
 
Katika huo ujinga tunaosomea nimekupa mfano ili mwenye akili ujiongeze... jikite kwenye korosho ili nisikuweke kwenye mazwazwa
Wewe punguani kweli kweli, watu wanaongelea korosho wewe unaleta utumbo.

Naona baada ya kukupa kidonge chako sasa unataka kurudi kwenye mada. Uzi huu siyo saizi yako, kabishane Simba na Yanga.

Nafahamu ni shule tu uliyosoma ilikufunza ujinga.
 
Soma post namba 100 nimeelezea hilo kwa ufupi na straight to the point.

Napenda ufahamu kuwa nime "declare interest" ya kuwa ni mdau wa korosho kwenye post namba moja. Kwa kukujuza tu. Licha ya kuwa na mashamba ya korosho (note; mashamba siyo shamba) nilianza mpaka kubangulisha korosho miaka ya zamani sana. Kama hiyo haitoshi, nimetembelea nchi nyingi sana kuhususiana na korosho. Nafahamu korosho na soko lake kuliko unavyofikiria.

Huwa sikisii.
Kakope benki ufungue hicho kiwanda kuliko kuwashauri wengine ili uwemo katika mabilionea wapya 100
 
"Se non sta andando bene, chiama tua nonna." Hiyo ni methali maarufu ya Kitaliano ambayo nimepata tabu kidogo kutafuta ya Kiswahili inayofanana-nayo, sijafanikiwa kuipata. Kwa tafsiri isiyo rasmi inasema "ikiwa hakuna linalokwenda sawa, muone bibi".

Nafahamu Kitanzania ukisema "kumuona bibi" au "babu" wengi wengine huhusisha na kuwaona mabibi na mababu ili waongee na mizimu mambo yaende sawa. Wataliano kwa msemo wao huo hawamaanishi kama Watanzania, Wataliano wanamaanisha umuone bibi kwa hekima na busara zake. Labda niifananishe na methali yetu ya "uzee ni dawa".

Binafsi kama bibi, leo nimedhamiria kutoa tafakuri yangu kwenye zao la korosho na ufumbuzi wa "matatizo" ya zao hilo.

Kwanza napenda ku "declare interest" kuwa binafsi ni mdau wa korosho kwa kuwa na mikorosho, mingi tu, tiliyoirithi toka mashamba ya mabibi zetu ile mbegu ya asili ya kizamani mpaka tumejaribu kuiendeleza na kupanda ya kisasa na tunaliona tija nzuri tu.

Ushauri: Serikali ijitowe kimasomaso kuwakopesha bila riba wafanya biashara wakubwa wenye uzoefu wa viwanda kama vile akina Bakhresa na Mo kufunguwa viwanda vikubwa vya kisasa vya kubangua, kusindika na kufungasha korosho kwa kiwango cha Kimataifa na kuwasaidia kushindana na masoko ya Kimataifa.

Hiyo ni badala ya serikali kuingilia zao hilo.

Sababu kuu ni kuwa wafanya biashara hao tayari wana uzoefu mpana wa viwanda vya "food processing" na tayari wana mitaji katika nchi kadhaa za SADC na Afrika Mashariki.

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy .
Ushauri: Serikali ijitowe kimasomaso kuwakopesha bila riba wafanya biashara wakubwa wenye uzoefu wa viwanda kama vile akina Bakhresa na Mo kufunguwa viwanda vikubwa vya kisasa vya kubangua, kusindika na kufungasha korosho kwa kiwango cha Kimataifa na kuwasaidia kushindana na masoko ya Kimataifa.
GOLDEN ADVICE
 
Back
Top Bottom