Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Hivi yule dada wa nyumbani kwako aliyekuwa anampenda Magu mpaka akawa anajishaua bibi bibi hatujawahi pata rais kama huyu bado unaye au ndo ushamtumbua

Samahani kwa kutoka nje ya mada maana mimi ata mkorosho sijawahi kuuona mimi najua mibuni ya kahawa ambayo ma ccm yaliua basi tena kila mtu apambane kivyake

Samahani bibi kwa kutoka nje ya mada
 
Sawa, lakini tule he kwenye ku add value ya zao hilo. Kwani japo wanunuzi wanachofahamu kuibangua na kufungasha vizuri na kuiuza (processing). Serikali ilishindwa zamani mpaka viwanda yake vikafa. Ni wakati muafaka wafanya biashara wazoefu wawezeshwe ili tu add value ya zao hilo.
Sawa ni wazo zuri.

Mkopo usio na riba kwa mfanyabiashara au ulimaanisha MO trust fund?
 
Juzi Mheshimiwa Rais amesema wanaoona hali ngumu ni wale waliozowea pesa zisizo halali.

Mimi huwa sielewi hoja hii ya mheshimiwa, maana najua wafanyakazi sekta ya umma na binafsi Tanzania wote wanalia mishahara yao haikidhi kujikimu kwa mambo muhimu kama chakula, malazi na mavazi.

Madili ni lazima yawepo mpaka hapo mishahara ya wavuja jasho itapotosha kwa masuala ya msingi chakula na mavazi ndipo wawabeze 'wamezoea Madili ili hali mishahara inatosha kujikimu.

Nchi zingine hakuna hata rushwa ndogo ndogo au kuombwa pesa ya chai kwa vile mishahara inatosha kujikimu chakula, mavazi na malazi.
 
Isemayo ni mawazo duni sana. Mbona kuna Watanzania wengi sana wamefanikiwa? Bakhresa ni mfano mzuri sana, alikuwa ana kidunia tu cha kishoga makubadhi pale mtaa wa Uhuru.

Kila unapoona matatizo ufahamu kuwa kuna fursa, nnakushangaa sana wewe unashindwa kuziona fursa na unayaona makaburi tu.

Hapo kishoga umemaanisha nini bibi yangu uvae miwani nawewe.
 
Ndiyo maana nikasema wakopeshwe bila riba, ili wasitumie mitaji yao waliyopanga kufanya mengine.

Narudia tena, ilani ya viwanda ni ya ccm, na viwanda vinalipa kuliko udiwani, ubunge na urais. Kwakuwa wanaccm huwa tunaona wanafanya lolote kuhakikisha wanapata madaraka, kwanini wasikope bila riba wafungue hivyo viwanda kisha tuone matokeo ya wanachoamini?

Tena kwa kuanzia mawaziri wajiunge wanne wanne kila kundi lianzishe kiwanda watoe ajira tuone matokeo. Na funga kazi rais ajiunge na mawaziri watatu wa viwanda, wawili aliowatumbua na huyu mpya wajenge kiwanda kisha tuone mfano halisi wa hicho wanachohubiri. Akina Mo, Bakhresa and the likes hawahitaji ushauri wako kwenye viwanda maana tayari wanavyo, hawa wanaohubiri sasa ndio watoe shamba darasa la mahubiri yao.
 
Bibi uwe unavuta hii bangi ya arusha,si unaona unavyotema madini,achana na ya musoma,
Alafu uwe unapiga mswaki mdomo unanuka ugoro kama samaki aliye oza,
"Se non sta andando bene, chiama tua nonna." Hiyo ni methali maarufu ya Kitaliano ambayo nimepata tabu kidogo kutafuta ya Kiswahili inayofanana-nayo, sijafanikiwa kuipata. Kwa tafsiri isiyo rasmi inasema "ikiwa hakuna linalokwenda sawa, muone bibi".

Nafahamu Kitanzania ukisema "kumuona bibi" au "babu" wengi wengine huhusisha na kuwaona mabibi na mababu ili waongee na mizimu mambo yaende sawa. Wataliano kwa msemo wao huo hawamaanishi kama Watanzania, Wataliano wanamaanisha umuone bibi kwa hekima na busara zake. Labda niifananishe na methali yetu ya "uzee ni dawa".

Binafsi kama bibi, leo nimedhamiria kutoa tafakuri yangu kwenye zao la korosho na ufumbuzi wa "matatizo" ya zao hilo.

Kwanza napenda ku "declare interest" kuwa binafsi ni mdau wa korosho kwa kuwa na mikorosho, mingi tu, tiliyoirithi toka mashamba ya mabibi zetu ile mbegu ya asili ya kizamani mpaka tumejaribu kuiendeleza na kupanda ya kisasa na tunaliona tija nzuri tu.

Ushauri: Serikali ijitowe kimasomaso kuwakopesha bila riba wafanya biashara wakubwa wenye uzoefu wa viwanda kama vile akina Bakhresa na Mo kufunguwa viwanda vikubwa vya kisasa vya kubangua, kusindika na kufungasha korosho kwa kiwango cha Kimataifa na kuwasaidia kushindana na masoko ya Kimataifa.

Hiyo ni badala ya serikali kuingilia zao hilo.

Sababu kuu ni kuwa wafanya biashara hao tayari wana uzoefu mpana wa viwanda vya "food processing" na tayari wana mitaji katika nchi kadhaa za SADC na Afrika Mashariki.

Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy .
 
Unataka serikali ianze kufanya kazi za benki tena? Za kukopesha watu?
Kwa nini hao wafanyabiashara wasiende kukopa wenyewe benki?

Mtoa mada upo sawa, serikali inabidi itoe support sector binafsi. Risk ni nyingi katika Biashara. Ilifanyika dhambi kuwabeza sector binafsi sakata la Korosho. Waombwe radhi tufungue ukurasa mpya. Wengi wenu kijani mlifisia sana maamuzi yale ya dharula yasiyo na tija.
Wengi wetu pia walipinga sana, rejea hata mijadala ya bungeni ya zao la korosho, ilifikia pabaya sana.
 
Kabla ya serikali kuingilia swala la korosho hizo korosho zilikuwa zinafanywaje ? Zilikuwa haziuziki ?

Mfano mbaazi kina Manji walikuwa wananunua kiasi gani na ku export ?

Mmemkamata mpeleka ndani sasa hivi mnaanza kulia lia na soko la mbaazi hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom