Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

Nyuzi kama hizi ukipost unatikiwa uwe abroad kweli kweli sio kivpien

Ukikomaa na vipieni utawala huu hauna shida kuweka zigo kwa mmliki wa app na unauzika vizuri tu
Lakin pia vpn haitoshi, kuna layers na mbinu nyingine unaweza kufanya kwa siku kabla ya vpn, kuna steps ukifuata hata watoe hela wapi wataishia kuwa na multiplr tandom identities lakin sio ww
 
Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...

-

ZA MWIZI.....
Hakuna watu wabaya zaidi kama hao uliosema ni "wavuta bangi kule bungeni"

Huwa nasema nchi hii kurudi kwenye mstari itatuchukua muda mrefu sana

Viongozi wanawafundisha wananchi kuishi kinafiki na waliowengi wamekubali na kugeuza kuwa mtindo halali wa maisha

Kiongozi Mkuu kabisa mnafiki, wasaidizi wake wanafiki, machawa wake wanafiki, wafuasi wanafiki, bungeni wanafiki....wakututoa hapa ni nani?
 
Lakin pia vpn haitoshi, kuna layers na mbinu nyingine unaweza kufanya kwa siku kabla ya vpn, kuna steps ukifuata hata watoe hela wapi wataishia kuwa na multiplr tandom identities lakin sio ww
Sasa hayo mafekeche Wangapi wanayajua humu

Huyu mleta uzi ni aliyesikiliza mziki wa santuri ujanja anaupata wapi

Tupeni masomo humu watu wa hare hata mello wakimminya Gololi watu wanabaki na makomfidens yan full Pawa
 
Hawezi kuwaamsha Watanganyika.Uandishi wake mara zote umekaa kisanii na kujiegemeza sehemu "salama" kwake.
Anachofanya ni kuwachanganya maadui... Lakini deep down ujumbe wake unafika vizuri.
Kumbuka yeye anatumia IDs zake kama zilivyo... Hivyo lazima aandike uandishi kama ule wa Shabaan Robert.
 
Hakuna watu wabaya zaidi kama hao uliosema ni "wavuta bangi kule bungeni"

Huwa nasema nchi hii kurudi kwenye mstari itatuchukua muda mrefu sana

Viongozi wanawafundisha wananchi kuishi kinafiki na waliowengi wamekubali na kugeuza kuwa mtindo halali wa maisha

Kiongozi Mkuu kabisa mnafiki, wasaidizi wake wanafiki, machawa wake wanafiki, wafuasi wanafiki, bungeni wanafiki....wakututoa hapa ni nani?
Hakika... Yaani bila WaTanganyika kuamka na kuidai Tanganyika yao ccm watamaliza kila kitu!
Behind the scene wanajua kabisa kuwa Tanzania si nchi bali ni kiini macho... Na rasilimali kwa jina la Tanzania ni za waTanganyika ambao wamelala usingizini!
 
Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...

- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao

- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?

- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.

- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...

Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...

Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...

ZA MWIZI.....
Hatuwezi kumamini chura kiziwi hata siku moja!
 
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.

Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?

Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?

Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?

Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.

Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Jirani yangu alipigiwa sulaha akiwa dukani kwake salasala
Hakuna ana andamana namchukia sana samia
 
Ile siku ilinikuta nikiwa nje.

Asikuambie tu hali ilikuwa kama uwanja wa vita kabisa.

Unaweza ukakaa na kulaumu ila kama ulibahatika kushuhudia kwa macho yako usingeandika hivi kama mleta mada.
 
T
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.

Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?

Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?

Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?

Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.

Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Rais wa Jk, period!
 
Paskali uandishi wako unapaswa kuwaamsha WaTanganyika wengi waliolala!
Anyways, tuendelee kukusanya ushahidi wa kimazingira!
Mkuu Mfiki, Mfikirishi, asante, kwa hoja yako ya maandishi yangu kuwaamsha waliolala, naomba tuu kuwa mkweli, maandishi yangu mengi sio ya amsha amsha kuwaamsha waliolala, kwasababu wengi wa wa hao waliolala ni wamelala fofofo, hawawezi kuamka, hivyo mimi nimejikita kwenye formula ya kumuua nyoka, gonga kwenye kichwa, hivyo target ya maadiko yangu ni kule juu.

Tangu ameingia ile March 17, nimejitahidi kumsaidia sana ili afanye the right thing, it's very unfortunately ndio hivyo tena, ndio ametufikisha kwenye kilichotokea ile October 29.

Uchaguzi huo ulikuwa ni bonge la fursa kwa Chadema, nilianza kuwafungua macho siku nyingi tangu ile 2016 kwa kuwaamsha kuutumia uchaguzi wa 2025 kwa maandalizi ya kuchukua nchi 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hivyo nikamshauri GE2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Nikahudhuria uchaguzi mkuu wa US kati ya Camila na Trump, kuna bonge la fursa nikaliona kwa TL, nikawatonya Chadema kiaina Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Nikawatonya tena Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji

Na hapa Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

Na hapa Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

Chadema walipoanza uchaguzi wa ndani nikawashauru Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Nikawashauri Chadema Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?

Nikawaambia PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

They are just too blind to see!.

P
 
Hawezi kuwaamsha Watanganyika.Uandishi wake mara zote umekaa kisanii na kujiegemeza sehemu "salama" kwake.
Fani ya uandishi ina kardinal rules, seek the truth, tell nothing but the truth but safety kwanza, you have to be safe to be able to tell the story, usalama kwanza!, hivyo to be safe, you have to be smart!.

Unaogopa kuitwa sebuleni kwa Zungu waanze kukusimanga kama mvulana?Kuwa nao macho mkuu.Kunguru muoga...!
 
kukushauri, kukukebehi na wachache sana watakithamini kile unachokifanya.
Wewe mwenyewe unajuwa vyema, hata hao unaowasema "wachache" wanaothamini hawapo.
Watu kama wewe na huyo mwenzako mnachothamini ni fursa tu zinazotokana na kumtumikia huyo mwovu. Wewe huna chochote kinachokuunganisha na Samia Suluhu Hassan, mtu mwovu kabisa, isipokuwa maslahi na pengine imani tu mnayochangia. Hakuna uthamini wowote zaidi ya hapo.
 
Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...

ZA MWIZI.....
“Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.

— Mwanzo 9:6 (Biblia Takatifu)
 
Wewe mwenyewe unajuwa vyema, hata hao unaowasema "wachache" wanaothamini hawapo.
Watu kama wewe na huyo mwenzako mnachothamini ni fursa tu zinazotokana na kumtumikia huyo mwovu. Wewe huna chochote kinachokuunganisha na Samia Suluhu Hassan, mtu mwovu kabisa, isipokuwa maslahi na pengine imani tu mnayochangia. Hakuna uthamini wowote zaidi ya hapo.
Uovu unaouona kwa upande wa SSH unatokana na ukweli kwamba analinda nchi aliyoapa hadharani kuilinda.

Yoyote ambaye angekuwepo ikulu lazima ungemchukia ukimwombea afe mapema, kwa sababu lazima angeiheshimu katiba iliyopo na kuilinda kwa nguvu zake zote.
 
Hilo Mwashambwa na Tlaatlaah, mimi nilikwishayatupa jalalani muda mrefu, nikayapeleka huko kwenye Ignore list. Kujadiliana na watu wanaoshabilia mauaji, kimsingi majitu ambayo ni uzao wa shetani, ni kuyapatia heshima yasiyostahili:

Ignore Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nimecheka Sana. Hata mimi hao binadamu nilishindwa kabisa kuwavumilia
 
JK is a narcissistic leader we have ever had. Yeye ndio alikuwa msuluhishi wa migogoro na matatizo kadhaa kwenye nchi zingine, nchi yake imekumbwa na tragedy kama hii amekaa kimya anacheka cheka hovyo.

Kawaida ya narcissists ni kuonesha kupenda wa nje kuliko wa ndani kwake (performative kindness)

Shame on you Rais mstaafu pekee uliyebaki.
 
Back
Top Bottom