Hakuna kilicho muhimu zaidi ya uhai wa mwanadamu. Huyu mama hata afanye nini, hakuna kitakachofuta damu alizozimwaga. Hatakuja kupendwa na mwanadamu yeyote aliyekamilika, hatasikilizwa na yeyote mwenye akili timamu. Ni aheri utawala wake ungeshindwa kujenga barabara hata kilometa 1, lakini asiue wananchi.
Alama pekee atakayokumbukwa sa100 vizazi vyote ni mauaji makubwa aloyoyafanya ya watanganyika. Ndiyo alama kubwa na kumbulumbu ya milele atakayoambatana nayo mpaka jehanamu.
Alama pekee atakayokumbukwa sa100 vizazi vyote ni mauaji makubwa aloyoyafanya ya watanganyika. Ndiyo alama kubwa na kumbulumbu ya milele atakayoambatana nayo mpaka jehanamu.