cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,703
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]or Permanent Head DamagePhD
Public hair Dresser
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]or Permanent Head DamagePhD
Public hair Dresser
Hata huyu Dr naye ni WA mchongo kwahyo mawaziri Wana nyenzo za kutoa hela nyingi waandikiwe kazi za kitaalumaKutoka gazeti la Mwananchi: PhD za mawaziri zaibua mjadala
Naye Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) Dk Paul Loisulie alisema si jambo geni kwa Waziri kufanya na kumaliza PhD
“Tofauti ya PhD ya waziri na wengi ladha tu, kuna urasimu ambao watu wengine wanakutana nao katika kufanya utafiti lakini kwa waziri inakuwa tofauti, ana nyenzo zote muhimu za kumuwezesha kupata kile anachokitafuta,” alisema DkLoisulie.
NB: Sijaelewa kabisaa
Unadai hata Library ya Chuo haipo. Hata kama Chuoni ingekuwepo ni wachache wenye uwezo wa kufika hapi na kuisoma. Kwa sababu hiyo, ili madai yako yawe na nguvu, na kwa kuwa wewe umezisoma zote mbili, ITAPENDEZA ukiziweka humu JF.Ni PLAGIARISM tu no excuse. Hata leo hii ukienda Library za UDSM utake kuiazima uisome huwezi kuipata. Ni aibu kwa chuo
Unasikia yapi!? Yaweke hadharani basi, ili usaidiwe!Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Ni ya kuhojiwa kwa vipi!? Una mashaka gani na hayo mashaka umeyapata LINI, baada ya huyo - Prof. Mukandara - kung'atuka huko UDSM au kwa vile unaona "kang'atuka" lakini bado yupo UDSM na ana endesha mambo yake yote kutokea hapo UDSM au vipi?Hata PhD ya Pr Mukandara ni ya kuhojiwa mwenye swali aniulize
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
BAELEZEE!UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Huyo VC kabla ya hapo alikuwa VC chuo kimoja Kilimanjaro, ndiyo walimpa degree Bashite, aliyepata F 12 mtihani wa Form IV.Sijawahi ku-question credibility ya UDOM kabla ya huu upuuzi waliofanya mwaka huu. Ninajua kuwa kuna maprofesa pale ambao wali-publish kwenye journal ya kitivo chao tu, ambapo wao wenyewe ndio members wa editorial board na mareviewer. Waliandika paper zisizokuwa na mbele wala nyuma, halafu wakazitumia hizo kujipandisha vyeo kuwa maprofesa. Haiyumkiniki ndio hao maprofesa wanaotoa Ph.D. hizi. It is possible kuna maprofesa pale wenye hadhi stahihiki lakini wapo wababaishaji wengi zaidi ya wale wenye stahiki
Prof Mwandosya twitter yakeView attachment 2047963
Labda tuwauwe ndio watakubali kazi zao ziwe PublicNakazia tu zinatakaiwa ziwekwe kwenye mfumo wa kielektroniki ambao mtu yoyote anaweza kuzipata, sio wanaunda mfumo halafu kazi fulani zinakuwa hazipatikani, watuwekee hata abstract tujue kama yaliyomo yamo[emoji16]
Aston University ipoHata ya Prof. Mark Mwandosya ni ya kuhojiwa. Mwenye thesis yake atuwekee hapa.
Umeliweka vyema sana hili.shukrani1. Hiyo ya Miongozo ya Chuo hatupingi, ndiyo maana kuna vyuo vyenye ubora ambavyo mingozo yao ni thabidi na viongozi kama UDOM ambao miongozo yao ni kama hivyo.
2. Elewa kua thesis nyingi huishia kuwa Monograph pia. Academic monographs zote hupitia peer review process kabla ya kuwa published. In fact hata Ph.D zinazotolewa kwa watunzi wa muziki pia hupitia peer review process. Ninajua kuwa Marehemu Dr Mgandu alichelewa sana kupata Ph.D yake kwa sababu ya peer-review ya tungo zake ilichukua muda mrefu, na tungo kadhaa zilikataliwa hata kama zilikuwa nzuri masikioni mwa wasikilizaji, ikabidi aongeze tungo nyingine zinazokidhi vigezo.
3. Kama amepeleka kwenye open access journals ambazo unalipia na kuwa published kesho yake, halafu chuo kikakubali, inabidi turudi kwenye item ya kwanza hapo juu kwa sababu credibility ya publisher huangaliwa sana (impact factor, peer review process, editorial board na vitu kama hivyo). Hiyo ya UDOM kupublish kwenye journals za vitivyo vyao ambapo wao wenyewe ndio ma-reviewer ndio upuuzi wenyewe huo.
[emoji106][emoji106][emoji106]Haya sasa. Angalia Abstract yake; utadhani imeandikwa na high schooler!
View attachment 2049208
Halafu hata paper yote imejaa makosa makosa hapa na pale. Niliamua kusoma pia articles za Ismail J Ismail, ambaye alipata Ph.D yake Mzumbe kwani nadhani huenda ndiye profesa aliyebariki digrii hiyo, zote ni za kuokoteza okoteza, na zimeandikwa na makosa makosa mengi tu. Haiyumkini paper zake nyingi zimekuwa published kwenye "journals" kama hiyo ya MOCU na journlas kadhaa za india ambako unalipia kama pesa (kuanzia dola 60 hadi dola 2200) na paper yako inachapishwa kama ilivyo online ndani ya siku saba. India wanajua kuwalamba watanzania sana upande wa academics
Kuwepo kwa maprofesa Tanzania kama Ismail J Ismail ndio mwisho wa uboara wa elimu ya juu. nadhani huenda siyo UDOM tu bali hata vyuo vikuu vingine vingi vinaweza kuwa vimo kwenye mkumbo huo.
Anaelewa nini sasa😂😂😂😂Joseph Kasheku Msukuma (Dokta) Anasemaje
Hiyo title siyo ya Ph.d, Bali undergraduate.
Nina muda wa kusoma utumbo uliokuwa PLAGIARIZED? Hilo nawaachia nyinyi akina mwengeso mnaomwabuduUnadai hata Library ya Chuo haipo. Hata kama Chuoni ingekuwepo ni wachache wenye uwezo wa kufika hapi na kuisoma. Kwa sababu hiyo, ili madai yako yawe na nguvu, na kwa kuwa wewe umezisoma zote mbili, ITAPENDEZA ukiziweka humu JF.