Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungeweka machapisho ya hizo PhD thesises kuthibitisha kama kulikuwa na plagiarism.

Magufuli PhD 2009 doctoral thesis was titled “The Potential of Anacardic Acid Self – Assembled Monolayer from Cashew Nut Shell Liquid as Corrosion Protection Coating”

Dr Philip PhD thesis ilihusu monopolymers wakati ya Magufuli ni Monolayer. Kwa msingi huo naamini unajua kuwa katika utafiti wa kitaaluma, mtafiti anaweza kurudia utafiti wa awali kuthibitisha matokeo yake (generalisation) au kuendeleza kilichosahaulika (knowledge gap)
Uko sahihi
 
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Aibu gani atakua analo andiko. Ukitaka fuatilia chuoni ipo nakala ya andiko lake maktaba. Fuata utaratibu watakuonesha. Kama unaona madudu utatuambia.
 
"Mining SMEs" seems like grammatically correct English
Hyo title haijawa well formed, ndani ya hyo title Kuna topic mbili, mara small, medium at the same time imeiingiza hadi ma manager.
So title haijawa well formulated
 
Hyo title haijawa well formed, ndani ya hyo title Kuna topic mbili, mara small, medium at the same time imeiingiza hadi ma manager.
How about you rephrasing the thesis title to suit your understanding of what it should read? Go ahead and do it.
 
Hyo title haijawa well formed, ndani ya hyo title Kuna topic mbili, mara small, medium at the same time imeiingiza hadi ma manager.
So title haijawa well formulated
Wewe inaonekana hujui matumizi ya colon symbol ":"

Hata uandishi wako wa Kiswahili ni mbovu. Hujui matumizi ya punctuation marks na unatumia herufi kubwa kwa maneno ambayo hayastahili. Wewe siyo mtu wa kumkosoa Biteko kwa Kiingereza chake.
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungeweka machapisho ya hizo PhD thesises kuthibitisha kama kulikuwa na plagiarism.

Magufuli PhD 2009 doctoral thesis was titled “The Potential of Anacardic Acid Self – Assembled Monolayer from Cashew Nut Shell Liquid as Corrosion Protection Coating”

Dr Philip PhD thesis ilihusu monopolymers wakati ya Magufuli ni Monolayer. Kwa msingi huo naamini unajua kuwa katika utafiti wa kitaaluma, mtafiti anaweza kurudia utafiti wa awali kuthibitisha matokeo yake (generalisation) au kuendeleza kilichosahaulika (knowledge gap)
Ni PLAGIARISM tu no excuse. Hata leo hii ukienda Library za UDSM utake kuiazima uisome huwezi kuipata. Ni aibu kwa chuo
 
Unaongea kwa hisia na kuunganisha conspiracy theories bila kuleta na facts za kutosha; nasikikita kusema kuwa niliyondika ni upuuzi lakini ni maoni yako.

Kwanza elewa kuwa Prosepectus hiyo ya UDSM huwa haizuii candidate kuomba extention, ambazo hazina limit mradi tu kuwe na sababu za kuridhisha; hakuna chuo chochote duniani kinazuia mwanafunzi kuomba extension. Mwanafunzi akiugua akaenda kutibiwa kwa miaka 15 prospectus hiyo haimzuii kumaliza masomo yake akishapona. Magufuli alipata sana extension hizo ambazo zilikubaliwa. Prospectus inazuia mtu kuendelea kufanya masomo kwa muda mrefu bila kuwa na sababu ya kuridhisha. Ninajua Magufuli hakutumia muda wa kutosha Lab kuanzia mwaka 2001 lakini kati ya 1995 hadi kipindi hicho alikuwa anakwenda Lab mara kwa mara japokuwa alikuwa kwenye siasa. Alipata Ph.D hiyo mwaka 2006 ikiwa ni takriban miaka kumi kabla ya kuwa rais.

Kuhusu topic kufanana na mwanafunzi mwingine ni jambo la kawaida sana hasa iwapo wote wemefanya chini ya uangalizi wa profesa yule yule, kinachomata ni ile contribution ya studies zao. Ungesaidia sana kama ungeleta kopi za machapisho yote tuyasome kuona kuwa moja ni kopi ya nyingine. Unaweza kukuta mmoja alionyesha kuwa mafuta ya korosho yanaweza kuzuia kutu, halafu mwingine akaonyesha kuwa ili yazuie kutu inabidi yachemshwe mpaka digrii 400 halafu yaongezewe na calcium. Topic zinaweza kuwa zifananana lakini matokeo yao ni tofauti. Ndiyo maana kupata context kamili ni muhimu sana kuliko kutoa general statements tu kama hizo zako

Halafu kumteua profesa wake sioni kama hilo ni jambo la kukushangaza na kushupalia iwapo profesa huyo alikuwa na vigezo vinavyotakiwa na aliteuliwa kwa kufuata sheria. Sema tu iwapo hakuwa na vigezo na uteuzi wake ulikuwa wa kulazimisha, basi leta ushahidi. Mwanzoni Nyerere alikuwa anateua watu waliokuwa schoolmate wake na baadaye akateua wanafunzi wake na hakukuwa na tatizo kabisa.
Ni wapi umewahi kuona machapisho ya Magufuli kwenye professional journals. Mnatetea tu kwa vile mlikuwa wanufaika wa uRais wa Magufuli.

Eti alikuwa anakwenda Lab, hiyo ni lame exçuse.
 
How about you rephrasing the thesis title to suit your understanding of what it should read? Go ahead and do it.
Hapana hyo haiko vizuri kachemka hata lugha tu sembuse hyo content angalia hata hyo abstract haijakaa vizuri kabisa, tuache kutetea vitu visivo sahihi
 
Wewe inaonekana hujui matumizi ya colon symbol ":"

Hata uandishi wako wa Kiswahili ni mbovu. Hujui matumizi ya punctuation marks na unatumia herufi kubwa kwa maneno ambayo hayastahili. Wewe siyo mtu wa kumkosoa Biteko kwa Kiingereza chake.
Wewe acha ujinga humu JF hatufanyi mtihani wa kiswahili, jibu hoja acha kunimalizia hasira Mimi, Sasa unajificha kwenye maandishi, Mimi huku JF najiandikia tu natumia simu hizo alama za kila kitu ni kwenye official matter's basi.
Back to topic vipi hizo PhD za shule ya kata zinasemaje?
Bora hata PhD ya musukuma sasa
 
Hapana hyo haiko vizuri kachemka hata lugha tu sembuse hyo content angalia hata hyo abstract haijakaa vizuri kabisa, tuache kutetea vitu visivo sahihi
Makosa ya llugha yapo lkn sivyo kama anavyodai cariha. Mfano, “manager-owner’s managerial competencies” ingesoma “-owner-managers’ competencies”. “Mining Small and Medium Enterprises” ni sawa na “Mining SMEs” which should be okay.
 
Ni wapi umewahi kuona machapisho ya Magufuli kwenye professional journals. Mnatetea tu kwa vile mlikuwa wanufaika wa uRais wa Magufuli.

Eti alikuwa anakwenda Lab, hiyo ni lame exçuse.
Basi kumbe unalaumu bila kujua unalaumu nini. Mimi nilikuwa najua kuwa Magufuli alianza Ph.D. pale UDSM mwaka 1995 mara baada ya kumaliza M.Sc. lakini kabla ya uchaguzi wa mwaka huo huo 1995; ni mwanafunzi tuliyemfahamu zaidi kwa vile tulimchangia gharama za matibabu ya Moyo baada ya kuombwa na profesa Mlama. Alipopata Ubunge kabla ya kuwa naibu waziri aliendelea kuwa anahudhuria lab, ingawa frequency yake ilianza kupungua. Ili kupinga, ni vizuri utoe ushahidi wako kuliko kupinga kwa kufanya generalization tu. Kuna mtu aliwahi kuleta paper zake hapa kutoka kwenye international journals na iwapo ukiwa na subira ukazitafuta, utazipata. Mijadala mizuri ni ile ambayo mtu unakuwa na evidence kuliko hizi generalizations ambazo nyingine zinaweza kuwa ni personal tu. papers za Magufuli zipo hapa JF tayari, tena siku nyingi sana; zitafute kwa makini utazipata.
 
Hapana hyo haiko vizuri kachemka hata lugha tu sembuse hyo content angalia hata hyo abstract haijakaa vizuri kabisa, tuache kutetea vitu visivo sahihi
Msahihishe basi? Andika iliyo sahihi.
 
1. Hiyo ya Miongozo ya Chuo hatupingi, ndiyo maana kuna vyuo vyenye ubora ambavyo mingozo yao ni thabidi na viongozi kama UDOM ambao miongozo yao ni kama hivyo.

2. Elewa kua thesis nyingi huishia kuwa Monograph pia. Academic monographs zote hupitia peer review process kabla ya kuwa published. In fact hata Ph.D zinazotolewa kwa watunzi wa muziki pia hupitia peer review process. Ninajua kuwa Marehemu Dr Mgandu alichelewa sana kupata Ph.D yake kwa sababu ya peer-review ya tungo zake ilichukua muda mrefu, na tungo kadhaa zilikataliwa hata kama zilikuwa nzuri masikioni mwa wasikilizaji, ikabidi aongeze tungo nyingine zinazokidhi vigezo.

3. Kama amepeleka kwenye open access journals ambazo unalipia na kuwa published kesho yake, halafu chuo kikakubali, inabidi turudi kwenye item ya kwanza hapo juu kwa sababu credibility ya publisher huangaliwa sana (impact factor, peer review process, editorial board na vitu kama hivyo). Hiyo ya UDOM kupublish kwenye journals za vitivyo vyao ambapo wao wenyewe ndio ma-reviewer ndio upuuzi wenyewe huo.
Upo ukakasi pale UDOM, wala sio kuwaonea wivu watu wasisome kwa haraka, no, ni swala la credibility ya chuo.
 
Makosa ya llugha yapo lkn sivyo kama anavyodai cariha. Mfano, “manager-owner’s managerial competencies” ingesoma “manager-owners competencies”. “Mining Small and Medium Enterprises” ni sawa na “Mining SMEs” which should be okay.
Mkuu kachemsha big time, maana hapo focus yake ni ipi Sasa, hyo PhD ikipelekwa vyuo serious ka kwazulu natal, Capetown inafutwa kabisa haina ubora unaotakiwa
 
Back
Top Bottom