Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Yes yes... aweke yeye au UDOM waweke links Netizens tunataka tupate ukweli wa jambo hili!
 
Ngoja tujaribu ku google majina tuone kama kuna hata abstract......Dr. Jaffo, Dr. Bitteko, Dr. Msukuma bila kumsahau Dr. Madelu mchumi mkuu daraja la kwanza.
 
UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Upo Mzumbe??? 😳
 
Si kila masters ni lazima kufanya journal publication.

Kuna namna zaidi ya moja za kufanya PhD, mtu anaweza kuchagua kufanya utafiti moja kwa moja au kukaa darasani kisha kufanya utafiti.
 
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Maandiko siyo siri, nenda chuo na idara aliyokuwa akifanyia hayo masomo yake ya PhD utapata andiko lake.
 
...andiko lake litakua linahusu 'mafanikio ya awamu ya tano: kuweka umeme kwenye mabanda ya nyasi ya usukumani....
 
UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Kwanini TCU inabariki UOZO huu?
 
Mnaishambulia UDOM bure tu, kuna watu wamepata PhD za michongo kule open university na baadhi ya vyuo vya private mpaka unabaki unasikitika tu.

Pia kwa wanasiasa bongo hii vyuo vyote kwao ni mtelezo tu. Ilishawahi kuhojiwa PhD ya mwendazake humu na ya mh wa fedha na uchumi. Zote hizo zilionekana kuwa na chuplichupli kibao. Je! Hao pia walisomea UDOM?
 
Si kila masters ni lazima kufanya journal publication.

Kuna namna zaidi ya moja za kufanya PhD, mtu anaweza kuchagua kufanya utafiti moja kwa moja au kukaa darasani kisha kufanya utafiti.
Dunia imebadilika sana ndugu yangu, vyuo vingi credible haviweki kwenye library zao thesis ambayo haikupata baraka za peer review.
 
UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Samahani mkuu, naomba kueleweshwa.

Kwa mtu anaye soma masters (coursework) ni lazima achapishe andiko lake kwenye hizo journals? Au akisha maliza kuandika na aka present chuoni inatosha?
 
Itabidi kwanza tutofautishe kati ya academic degree na professional degree. Hakuna academic degree ya masters by coursework siku hizi isipokuwa kwenye professional degrees tu. Kwa mfano Engineering ukipata Master of Engineering ni coursework tupu, na hiyo ni professional degree, ila ukitaka Master of Science in Engineering ni lazima uwe na publication. Ni vivyo hivyo pia kwa degree za Master of Business Admininstration (MBA) kuwa huhitaji publication kwa vile ile nayo ni professional degree, siyo academic degree. Ph.D. siyo professional degree, bali ni academic degree, na kuitoa bila kuwa na publication ni fedheha kwa chuo.
 
kuna hatari Watanzania wote tukawa na Phd na maprofesa kuliko nchi yeyote duniani..

Ila maajabu pia, pamoja kuwa na maprofesa na madr kuliko nchi yeyote, utakuta pia hakuna tafiti wala ugunduzi wowote ambao umeshafanyika..

Lkn hiyo siyo hatari kaka. Ni neema.
 
Itabidi kwanza tutofautishe kati ya academic degree na professional degree. Hakuna academic degree ya masters by coursework siku hizi isipokuwa kwenye professional degrees tu. Kwa mfano Engineering ukipata Master of Engineering ni coursework tupu, na hiyo ni professional degree, ila ukitaka Master of Science in Engineering ni lazima uwe na publication. Ni vivyo hivyo pia kwa degree za Master of Business Admininstration (MBA) kuwa huhitaji publication kwa vile ile nayo ni professional degree, siyo academic degree. Ph.D. siyo professional degree, bali ni academic degree, na kuitoa bila kuwa na publication ni fedheha kwa chuo.
Nimekupata, naomba niongezee kidogo...

1. kwa hiyo kama mtu anasoma Msc in GIS by coursework and desertation ina maana hii ni academic degree na ni lazima achapishe andiko? Kama ndio je anahitaji pepa ngapi ziwe published ili atunukiwe masters yake?

2. Je ikiwa Msc in GIS by thesis nayo ni lazima achapishe chapisho?

3. Je kama mtu akisoma "Msc by thesis" katika ufundishaji wa chuo inakuaje? Maana nnavyo jua msc by thesis haina GPA na kwenye matangazo wanataka uwe na Msc yenye GPA. Hapo imekaaje?

Thanks in advance.
 
UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Hawajui tofaut Mkuu
Unashangaa na inashangaza Sana
 
Nimekupata, naomba niongezee kidogo...

1. kwa hiyo kama mtu anasoma Msc in GIS by coursework and desertation ina maana hii ni academic degree na ni lazima achapishe andiko? Kama ndio je anahitaji pepa ngapi ziwe published ili atunukiwe masters yake?

2. Je ikiwa Msc in GIS by thesis nayo ni lazima achapishe chapisho?

3. Je kama mtu akisoma "Msc by thesis" katika ufundishaji wa chuo inakuaje? Maana nnavyo jua msc by thesis haina GPA na kwenye matangazo wanataka uwe na Msc yenye GPA. Hapo imekaaje?

Thanks in advance.
M.Sc au M.S kwa Marekani hizo ni academic degrees. Hizo degree za M.Sc. by coursework hazipo (labda zimebaki katika vyo vichache sana), ni kwamba either utapata M.Sc in GIS (lazima uwe na publication) au una Master 's in Geographic Information Science (huhitaji publication)
 
Back
Top Bottom