Mukandara yuko vizuri, muache Mzee wa watu ale pensheni
Kwani alipata Ph.D yake UDOM? Wewe una lako jambo!! Pengine ulisup somo lake sasa unafikiri utalipiza kisasi!!
Mukandara yuko vizuri, muache Mzee wa watu ale pensheni
Ndo maana yanakuja yanasema yameokotwa jalalanikuna hatari Watanzania wote tukawa na Phd na maprofesa kuliko nchi yeyote duniani..
Ila maajabu pia, pamoja kuwa na maprofesa na madr kuliko nchi yeyote, utakuta pia hakuna tafiti wala ugunduzi wowote ambao umeshafanyika..
Ni kweli ni sawa SAUT, na Mzumbe kwa upande wa postgraduate degree wanatoa ni kama zinagawaiwa,wao wanachokitaka ni ada yao tu.Nimeandika sana kuwa UDOM Ni University ya Kata, mkanishambulia. Shule za kata zina sifa moja Kuu Hazina ubora. UDOM Ni takataka tupu, tupu kabisa
Mwandosya? Vijana nafikiri kuvimbiwa kwenu kumezidi kipimo.Hata ya Prof. Mark Mwandosya ni ya kuhojiwa. Mwenye thesis yake atuwekee hapa.
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
[/QUTE]
Hoja ya elimu bila elimu? Umesikia...nini tujadili sasa? Uthibitisho?
Niliona hii title imekosewa kabisa na inafosiwa haileti maana kamili na hapo mwisho wame Force hyo qns mark. Hyo title warekebishe imekosewa hata PhD nzima ina walakini
Haya sasa. Angalia Abstract yake; utadhani imeandikwa na high schooler!
Bogus PhD award. Sasa una research nini kwenye title kama hiyo? Naiona kama research question rather than thesis.
Huyo Ben Saanane alimkamata Makonda na kumpeleka kwa Magufuli. Alipokataa kubadilisha msimamo kuwa PhD ya Meko ni FAKE, Magufuli mwenyewe ndiye alimpiga risasi kwa bastola yake. Kisha wakamtupa baharini.Jiwe alihojiwa hii kitu akaagiza Ben Saanane auawe
Aisee yule jamaa namwomba Mungu ahakikishe adhabu yake kule kaburini inakuwa moto mkali kuliko adhabu ua waovu wote wa nchi hiiHuyo Ben Saanane alimkamata Makonda na kumpeleka kwa Magufuli. Alipokataa kubadilisha msimamo kuwa PhD ya Meko ni FAKE, Magufuli mwenyewe ndiye alimpiga risasi kwa bastola yake. Kisha wakamtupa baharini.
Halafu kuna mijitu inasema hakuna Rais kama Magufuli, ?? Labda kwa ukatili
Si unajua pia paper zilizompandisha Kitila kuwa profesa zilikuwa za aina gani? unategemea anaweza kweli kubishana na Mwandosya ambaye alikwe mwenyekiti wa mikutano mbalimbali ya kitaaluma kimataifa? Sidhani kama Kitila amewahi kuwa mwenyekiti wa mkutano wowote wa kitaluma kimataifa licha ya kuandika makala kwenye majarida ya kimataifa.
Hivo vyote inaonyesha hata supervisor ni incompetent aisee, what a shame Dotto akarekebishe hyo PhD yake maana ni hewaHata walimu nao nchi imeishiwa. Yaani supervisor hakuona kabisa mpangilio wa adjectives hauko sawa? Na hata peer-reviewers hawakuona akiwemo external examiner? Nchi hii ni hatari sana. Viongozi wetu hawawezi hata kuandika sentensi moja ya Kiingereza ikiwa imenyooka!! Loh!!
Wacha zako na wewe ndugu yangu; umbea hausaidii. Magufuli amwue mtu na "bastola yake" habari sizijulikane miaka yote hii. Alipoanza kuugua tu uvumi ukawa umasamaa sehemu zote, ingawa watu wake wa karibu walikuwa wanaficha iwe hili la mauji kusiwe na uvumi siku zote hizo hasa wakati wa kuelekea uchaguzi? Halafu ametupwa baharini bado mwili usipatikane? Walienda kumtupa Mauritius? mwili uliozama baharini ukanda wa maili 10 kutokea ufukweni ni lazima hutupwa na maji ufukweni. Sasa hiyo process ya kumwua na kumtupa baharini umbali huo itakuwa ilihusisha watu wangapi na taarifa hizo zisitoke nje kabisa?Huyo Ben Saanane alimkamata Makonda na kumpeleka kwa Magufuli. Alipokataa kubadilisha msimamo kuwa PhD ya Meko ni FAKE, Magufuli mwenyewe ndiye alimpiga risasi kwa bastola yake. Kisha wakamtupa baharini.
Halafu kuna mijitu inasema hakuna Rais kama Magufuli, ?? Labda kwa ukatili
Nimesoma baadhi ya paper za huyo supervisor zilizoko mtandaoni nazo ni pumba tupu.Hivo vyote inaonyesha hata supervisor ni incompetent aisee, what a shame Dotto akarekebishe hyo PhD yake maana ni hewa
Hatari sana hyo PhD ni mbovu kuliko hata ya mwanafunzi wa master's, nimeamini vyuo vingine ni vya ubora wa kata, na huyo Prof aliyemu supervise Dotto, avuliwe u Prof wake.Nimesoma baadhi ya paper za huyo supervisor zilizoko mtandaoni nazo ni pumba tupu.
Lile neno chuo cha kata lilifutika?UDOM NI CHUO CHA HOVYO HAPAJAWAI TOKEA, KIFUTWE TUU.
HapanaSamahani mkuu, naomba kueleweshwa.
Kwa mtu anaye soma masters (coursework) ni lazima achapishe andiko lake kwenye hizo journals? Au akisha maliza kuandika na aka present chuoni inatosha?