Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Huwa kuna utaaratibu kwa Tanzania huko mahali katika wavuti fulani tunaweza kupata machapisho ya hawa watu kama kwa wenzetu?

ikipendeza naomba nipate link ya lile chapisho la Jiwe!
 
Kama PhD ya ukweli alishindwa vipi kutetea kwa maelezo? Yule Mwendazake alivyokuwa anapenda sifa ingekuwa ya ukweli angeamuru ichapwe hata kwenye Daily News.

Unakumbuka alivyokuwa wa kwanza kuhakiki Bastola? Baada ya Makonda kuanzisha zoezi.

Haya kwa nini sasa alimuua Ben Saanane?
(1) Wewe unadhani kuwa alipewa Ph.D hiyo akiwa rais na unasahau kuwa alikuwa waziri katiki kipindi cha kwanza kabisa cha utawala wa Kikwete mwaka 2009. Halafu nimekuambia kuwa paper yake ilishaletwa hapa Jamii formus miaka mingi iliyopita kwani tuliijadili pia. Kama ulikuwa hujajiunga na forum basi tafuta kwenye archive. Kuna watu waliokuwa wakisoma naye wakati akiwa waziri walioshuhudia hapa

(2) Kwa vile wewe unajua kuwa alimwua Ben Saanane, basi shirikiana na vyombo vya sheria kuutoa ukweli huo nje ili watu wajue, hii tabia ya kuungaunga maneno ya kuhisi ili kutoa story haitusaidii wengine.
 
Haya ndio matokeo ya kuthamini vyeti kuliko maarifa......

Unaweza uka ghushi vyeti lakini ni vigumu kughushi maarifa ya elimu husika....

Mienendo na hulka za wasomi wetu kwa namna moja au nyingine zimechangia kuwadhalilisha na kushusha hadhi ya elimu hapa nchini..........

Wasomi wamegeuka kuwa madalali na wachumia tumbo.......

Njaa na uroho wa pesa umewafanya wameweka taaluma pembeni na kuwa makuwadi wa wanasiasa.......

Katika muendelezo wa matukio kama haya nani atathamini elimu, nani ataona umuhimu wa kunoa bongo......???

Hali hii itazidi kuwa mbaya mpaka pale wanasiasa watakapojitenga na taaluma za watu....
 
Ndugu unaweza ukayathibitisha haya mbele ya vyombo vya sheria........??
Ndiyo naweza kabisa. Mbona hata hapa JF kuna clip ya Magufuli akisema kuwa watu wasaliti huuliwa na baada ya massa 2 Lissu akapigwa risasi.

Yaani akina KikulachoChako mnahangaika kutafuta ushahidi wakati Mwendazake mwenyewe hakuwa na shida ya matendo yake
 
Ndiyo naweza kabisa. Mbona hata hapa JF kuna clip ya Magufuli akisema kuwa watu wasaliti huuliwa na baada ya massa 2 Lissu akapigwa risasi.

Yaani akina KikulachoChako mnahangaika kutafuta ushahidi wakati Mwendazake mwenyewe hakuwa na shida ya matendo yake
Hahahaaaaaaaa.........sawa ndugu.....uwe na wakati mwema......
 
Kutoka gazeti la Mwananchi: PhD za mawaziri zaibua mjadala

Naye Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) Dk Paul Loisulie alisema si jambo geni kwa Waziri kufanya na kumaliza PhD

“Tofauti ya PhD ya waziri na wengi ladha tu, kuna urasimu ambao watu wengine wanakutana nao katika kufanya utafiti lakini kwa waziri inakuwa tofauti, ana nyenzo zote muhimu za kumuwezesha kupata kile anachokitafuta,” alisema DkLoisulie.

NB: Sijaelewa kabisaa
 
Hii title hata wa master's udsm hawezi andika hivi, chakushangaza imekuwa kabisa published kwenye hiyo journal, walikosa editor kabisa?
PhD za kibongo, ( Permanent Head Damage)
PhD
Public hair Dresser
 
Back
Top Bottom