Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,097
- 15,224
Umeenda UDOM ukaikosa ya Dk. Dotto Biteko?Aston University ipo
Umeenda UDOM ukaikosa ya Dk. Dotto Biteko?Aston University ipo
Atakutumia watu wakukamate ukamezwe na chatu shauri yako.Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Please mkuu unasema Mzumbe na SAUT wanatoa postgraduate degree Kama njugu. Mimi namfahamu Dada mmoja alikuwa anasoma Masters ya Economic Law SAUT kuanzia mwaka 2012, mpaka leo hakumaliza Hadi akaacha mwenyewe. So sijui kwanini hakugawiwa hiyo degree Kama njugu. Sometimes tusichafue institution kwa hearsay.Ni kweli ni sawa SAUT, na Mzumbe kwa upande wa postgraduate degree wanatoa ni kama zinagawaiwa,wao wanachokitaka ni ada yao tu.
Huyo VC kabla ya hapo alikuwa VC chuo kimoja Kilimanjaro, ndiyo walimpa degree Bashite, aliyepata F 12 mtihani wa Form IV.
Inategemea ali register mwaka gani..kama huyu bwana aliregister 2018 basi anaweza kupata degree bila kuwa na publication ilimradi tu ame produce Thesis/Dissertation. Kabla ya mwaka jana TCU iliruhusu vyuo kuwa na aina tatu ya format ili kuweza kupata degree; (i) ni Monography (ii) Publishable Manuscripts (iii) Published papers. Hiyo format ya kwanza haihitaji uwe na publication yoyote au uwe na manuscript ni chapters tu kwenye Dissertation una graduate. Kuanzia wale wana register for postgraduate studies kuanzia mwaka jana (2020) ndio TCU imeweka publication kuwa mandatory prior to graduation.mtu hapati degree bila kuwa na journal publication
Umeandika ka vile uko msalani kwa bi nyau!Hahahahahaah anasemw huo idaktari ni wa mchongo
Hujui kuwa monograph nayo inatakiwa ipitie kwenye peer review process pia. Huwezi kujiandikia chochote ukasema ni monograph, halafu ukapewa digrii. Halafu unadikaji wa thesis/dissertation ambayo haikuproduce peer reviewed publication (whether ni journal paper au ni monographa) ni process iliyokwisha pitwa na wakati, nenda chuo chochote kinachoaminika uone iwapo mtu anaweza kujiandikia thesis/dissertation yake ikapita bila kuwa peer reveiwed nje ya advisor. In fact vyuo vingi siku hizi thesis (hasa katika masomo ya sayansi) ni collection ya journal publications za candidate.Inategemea ali register mwaka gani..kama huyu bwana aliregister 2018 basi anaweza kupata degree bila kuwa na publication ilimradi tu ame produce Thesis/Dissertation. Kabla ya mwaka jana TCU iliruhusu vyuo kuwa na aina tatu ya format ili kuweza kupata degree; (i) ni Monography (ii) Publishable Manuscripts (iii) Published papers. Hiyo format ya kwanza haihitaji uwe na publication yoyote au uwe na manuscript ni chapters tu kwenye Dissertation una graduate. Kuanzia wale wana register for postgraduate studies kuanzia mwaka jana (2020) ndio TCU imeweka publication kuwa mandatory prior to graduation.
Khaah... mawaziri wana nyenzo zote muhimu kukolezea ladha ya PhD. Na si ajabu pengine hats consultations zinafanyikia ofisini kwa waziri!!Hata huyu Dr naye ni WA mchongo kwahyo mawaziri Wana nyenzo za kutoa hela nyingi waandikiwe kazi za kitaaluma
Si ndio wanatoa feza waandikiwe mkuu, ila Sasa nini maana ya utafiti. Wasije ingia kwenye fani za afyaKhaah... mawaziri wana nyenzo zote muhimu kukolezea ladha ya PhD. Na si ajabu pengine hats consultations zinafanyikia ofisini kwa waziri!!
Kuna mtu mmoja juzi alipendekeza kwamba kwa hapa tulipofika kama nchi ni ngumu sana kurekebisha so Mungu achukue kibiriti achome moto hii nchi tupotee wote halafu aanze upya. Wish this was possible maana ni aibu mwanzo mwisho inakera sana sana.Kila kitu kipo politicised. It is pit. Tanzania yangu tumekosea wapi?
kuna hatari Watanzania wote tukawa na Phd na maprofesa kuliko nchi yeyote duniani..
Ila maajabu pia, pamoja kuwa na maprofesa na madr kuliko nchi yeyote, utakuta pia hakuna tafiti wala ugunduzi wowote ambao umeshafanyika..
Nakubaliana nawe kuwa vyuo vyote kwa sasa Tanzania vimetakiwa kubadili mfumo na TCU hakuna monograph...lakini sikubaliani na wewe kuwa monograph lazima iwe peer viewed vyuo vyote process ni kuwa na examiners wakati unapo submit hiyo monography kabla ya kufanya viva voce...examiners wanakuwa ni watatu (2 internal examiners na 1 external examiner) hiyo sio peer view kaka!Hujui kuwa monograph nayo inatakiwa ipitie kwenye peer review process pia. Huwezi kujiandikia chochote ukasema ni monograph, halafu ukapewa digrii. Halafu unadikaji wa thesis/dissertation ambayo haikuproduce peer reviewed publication (whether ni journal paper au ni monographa) ni process iliyokwisha pitwa na wakati, nenda chuo chochote kinachoaminika uone iwapo mtu anaweza kujiandikia thesis/dissertation yake ikapita bila kuwa peer reveiwed nje ya advisor. In fact vyuo vingi siku hizi thesis (hasa katika masomo ya sayansi) ni collection ya journal publications za candidate.
Examiners ni process ya kawaida vyuo vyote kuhusu kidhinsha Thesis/Dissertation. Lakini Monograph haiidhinishwi na examiners kwani hiyo ni publication ambayo inahitaji peer review. Inawezekana TCU imekubali kuwa kijitabu chochote kitakachoandikwa na kuitwa monograph bila kupitia reviewe kinahadhi ya kuwa Ph.D., jambo ambalo ni kutelemsha standards, lakini kama ilivyo kitabu chochote academic ni kinatakiwa kipitie peer review. Ukiandika kitabu chako cga Physisca au Chemisry au Biologu ni lazima kipitie kwenye peer review kabla ya kuchapishwa pamoja na kuwa mambo utakayokuwa umenaidka ni standard kabisa na hukuweka ya kwako, sasa kama hali ni hiyo vyo, itakuwaje Monographa ambayo ni creation ya mtu kukubalika bila kuwa reviwed?Nakubaliana nawe kuwa vyuo vyote kwa sasa Tanzania vimetakiwa kubadili mfumo na TCU hakuna monograph...lakini sikubaliani na wewe kuwa monograph lazima iwe peer viewed vyuo vyote process ni kuwa na examiners wakati unapo submit hiyo monography kabla ya kufanya viva voce...examiners wanakuwa ni watatu (2 internal examiners na 1 external examiner) hiyo sio peer view kaka!
Nenda UDOM hapo mzeeNdugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda UDOM hapo mzee
Piga hodi,omba machapisho yao
Ukiyaona utuletee mrejesho
Ova
Au nimekosea kuwambia[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu alisoma miaka 3 Udsm akatunukiwa phdUDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Umeanza kunichekesha[emoji1787]Au nimekosea kuwambia
Waende udom hapo
Ova
Ukiwa karibu na mm hutopata stressUmeanza kunichekesha[emoji1787]