Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

Umeshindwa kumsahihisha English yake? Ajabu sana unadai kakosea lugha lakini wewe mwenyewe hujui lugha sahihi ni ipi. Only in Tanzania.
Mkuu hyo PhD ya joto na Jafo ni PhD za mchongo aende akarekebishe hyo thesis yake ni aibu tupu, kwa alivo mweupe huyo vyuo serious asingetoboa kwenye panel iliyo serious thesis kiwango chake duni kuliko ya master's what a shame!?
 
Hata PhD ya Pr Mukandara ni ya kuhojiwa mwenye swali aniulize
Huyo Prof. Mukandala achana naye bro, yake ni kutoka University of California, Berkeley tena first class...
Moja ya machapisho yake kwenye safari ya phd liko hapo

Moja ya machapisho yake kwenye safari ya phd liko hapo

 
Huyo Prof. Mukandala achana naye bro, yake ni kutoka University of California, Berkeley tena first class...
Hizi Phd za sasa...! Hebu angalia hata Tittle ya hii paper ya Biteko, "PERFORMANCE OF MINING SMALL AND MEDIUM ENTERPRISES IN TANZANIA: DO STRATEGIC MANAGEMENT PRACTICES AND OWNER-MANAGER’S MANAGERIAL COMPETENCIES MATTER?".
 
Tatizo ni TCU. PhD Tanzania wana graduate vp bila full Thesis ya mwanafunzi kuwa uploaded ktk Repository ya Chuo? PhD ina hitaji publications 2 ktk international Journals ili ugraduate. Dotto nina ona 1 tu online. Tena paper yenyewe ka publish ktk ki journal cha chuo cha MoCU. Ambayo ni local wala siyo international level. Tatizo ni TCU. Pia UDOM ifutiwe Postgraduate Programs zote. Ibakiziwe Bachelor tu. Naona kime kuwa chuo cha hovyo.
 
Enyi watanzania kwanini tumekuwa na wivu kiasi hiki
Naona shida hapa ni hao mawazairi wanawezaje kupata iyo PhD huku wakiwa na majukumu mengi. Nakumbuka watu pia mlihoji uhalali wa PhD za JPM, mwigulu na nchimbi tena mkaenda mbali zaidi mkavitupia lawama vyuo ambavyo vimewatunuku phd hizo.
Me nachoamini kama mtu ana nia ya kusoma kweli basi lazima ata balance ratiba zake vizuri afu pia usione hawa mawaziri kutwa kwenye ziara ndo ukajua kuwa wapo bize kumbuka hawa ni wasimamizi tu kazi huwafanywa na watendaji wao
Afu kingine kusoma siku hizi kumerahisishwa sana na teknologia
Naamini ata kesho chuo kingine kikitoa PhD kwa kiongozi yoyote waserikali mtahoji tu kama mlivyohoji kwa UDSM UDOM na MZUMBE
 
Siku hizi ukimuona mtu anasafari safari za dodoma basi ujue soon title itabadirika.....

Kuna watu binafsi naamini waliapaswa kuwa wameshatunukiwa Phd siku nyingi bila hata kuandika chochote....mfano ZZK anastahili Phd...
 
Mimi sipo hapa kuhoji phd ya muheshimiwa hata hivyo natoa tu angalizo kuwa
mashirika binafsi yanajali sana uwezo binafsi wa mtu na sio vyeti na ndio sababu unaweza kukuta likampuni kubwa lina watu wa elimu ya kati 95% wameajiriwa na perfomance ya shirika ni out standing
Hii nchi tusipobadilika na kuhimiza elimu ya kati VETA - diploma, hatutafika mbali kwani hao wenye madegree wanategemea ajira za kusimamia na sio kuzalisha; wakati kazi zenyewe za kusimamia hazipo.
Nafikiri tutahitaji Kila wilaya iwe na Chuo bora cha VETA ili tupate watu wengi wenye ujuzi mbalimbali na hivyo kuvutia uwekezaji mkubwa wa viwanda
 
Hio abstract imeonesha ujinga na upumbavu wa supervisor. Naomba hio PhD take iwe nullified aanze upya kusaka. Kilaza mkubwa.
Siasa za taifa Hilo zimefikia hatua ya kuua hata mifumo na ubora wa elimu Tanzania
 
Basi kumbe unalaumu bila kujua unalaumu nini. Mimi nilikuwa najua kuwa Magufuli alianza Ph.D. pale UDSM mwaka 1995 mara baada ya kumaliza M.Sc. lakini kabla ya uchaguzi wa mwaka huo huo 1995; ni mwanafunzi tuliyemfahamu zaidi kwa vile tulimchangia gharama za matibabu ya Moyo baada ya kuombwa na profesa Mlama. Alipopata Ubunge kabla ya kuwa naibu waziri aliendelea kuwa anahudhuria lab, ingawa frequency yake ilianza kupungua. Ili kupinga, ni vizuri utoe ushahidi wako kuliko kupinga kwa kufanya generalization tu. Kuna mtu aliwahi kuleta paper zake hapa kutoka kwenye international journals na iwapo ukiwa na subira ukazitafuta, utazipata. Mijadala mizuri ni ile ambayo mtu unakuwa na evidence kuliko hizi generalizations ambazo nyingine zinaweza kuwa ni personal tu. papers za Magufuli zipo hapa JF tayari, tena siku nyingi sana; zitafute kwa makini utazipata.
Kama PhD ya ukweli alishindwa vipi kutetea kwa maelezo? Yule Mwendazake alivyokuwa anapenda sifa ingekuwa ya ukweli angeamuru ichapwe hata kwenye Daily News.

Unakumbuka alivyokuwa wa kwanza kuhakiki Bastola? Baada ya Makonda kuanzisha zoezi.

Haya kwa nini sasa alimuua Ben Saanane?
 
Tatizo ni TCU. PhD Tanzania wana graduate vp bila full Thesis ya mwanafunzi kuwa uploaded ktk Repository ya Chuo? PhD ina hitaji publications 2 ktk international Journals ili ugraduate. Dotto nina ona 1 tu online. Tena paper yenyewe ka publish ktk ki journal cha chuo cha MoCU. Ambayo ni local wala siyo international level. Tatizo ni TCU. Pia UDOM ifutiwe Postgraduate Programs zote. Ibakiziwe Bachelor tu. Naona kime kuwa chuo cha hovyo.
Naunga mkono hoja.
Postgraduate programs zote za UDOM zisimamishwe kwa miaka mitano.
 
kuna hatari Watanzania wote tukawa na Phd na maprofesa kuliko nchi yeyote duniani..

Ila maajabu pia, pamoja kuwa na maprofesa na madr kuliko nchi yeyote, utakuta pia hakuna tafiti wala ugunduzi wowote ambao umeshafanyika..
Kuna hatari hata mimi kuwa PhD holder😂😂😂
 
Back
Top Bottom