Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,859
- 236,248
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa karibu na mm hutopata stress
Hapa ni mastori, fixfix mambo yanaenda
Ova
Mrangi bana,wewe ni comedian.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa karibu na mm hutopata stress
Hapa ni mastori, fixfix mambo yanaenda
Ova
Hapana mm baharia,msela,mhuni fulani nliyeupitia[emoji23][emoji23][emoji23]
Mrangi bana,wewe ni comedian.
Watu si wanataka katiba,sijui tume umeona team waliyowekewa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Mrangi bana,wewe ni comedian.
Sawa mtoto wa mjini.Hapana mm baharia,msela,mhuni fulani nliyeupitia
Ova
[emoji23][emoji23]Watu si wanataka katiba,sijui tume umeona team waliyowekewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Ndiyo muende udom mkapitie machapisho yaoSawa mtoto wa mjini.
Ila Udom wamejua kucheza na akili za watu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo muende udom mkapitie machapisho yao
Shida nn kwani
Ova
Waende tu wakapitie machapisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza tu namna watakavyosumbuliwa hadi kuyapata hayo machapisho.
Udom ni nyumbani,napajua vizuri..mtu mgeni kujiingilia pale ni kazi.
Ila akina Bee wanachowafanya wakereketwa wa hizo PhD[emoji1787][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waende tu wakapitie machapisho
Shida nn kwani
Ova
Ndiyo muishi kama sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi ngumu sana
Mimi nilishaunga mkono juhudi.Ndiyo muishi kama sisi
Wazee wa kukubali matokeo
Nyie naona mnataka kupaka rangi
Upepo
Ova
Yah lazima uende sawa na bitiMimi nilishaunga mkono juhudi.
Naenda kama bendera tu,upepo unapoelekea na mimi nipo hukohuko.
Hata Magufuli mwenyewe PhD yake ilikuwa ya mashakaPhD ya part time kuanzia 2018 leo Gamba ameshapata.Awamu ya tano teuzi nyingi kigezo kilikuwa PhD hata Kama uwezo ni mdogo na PhD holder,hajui utafiti wake ulihusu nini na umeongeza nini kwenye tasnia husika.Aidha hizo tafiti zao huwezi kuzipata maktaba au mitandao kwa rejea.
Ushauri
Tafiti zote ziwe zinapatikana maktaba kwa ajili ya watu kuzisoma isije ikawa wamenakiri mawazo ya wengine.
Ndicho alichohoji Prof Mwandosya..Mimi navyojua Kazi ya Kusoma ni Ngumu sana And More so Kuandika Thesis inataka muda sana...inataka ujitoe kweli PHD sio mchezo jameni Ukisikia mtu anaitwa Dr Mheshimu.Nawambia Ukweli.
Ila Hao wanaokua Na Uwaziri na Kusoma na kumaliza PHD!!! Kweli sielewi wanafanyaje...Ni ngumu sana....
Kama papers zipo humu si uziweke basi ili watu wakuamini?Basi kumbe unalaumu bila kujua unalaumu nini. Mimi nilikuwa najua kuwa Magufuli alianza Ph.D. pale UDSM mwaka 1995 mara baada ya kumaliza M.Sc. lakini kabla ya uchaguzi wa mwaka huo huo 1995; ni mwanafunzi tuliyemfahamu zaidi kwa vile tulimchangia gharama za matibabu ya Moyo baada ya kuombwa na profesa Mlama. Alipopata Ubunge kabla ya kuwa naibu waziri aliendelea kuwa anahudhuria lab, ingawa frequency yake ilianza kupungua. Ili kupinga, ni vizuri utoe ushahidi wako kuliko kupinga kwa kufanya generalization tu. Kuna mtu aliwahi kuleta paper zake hapa kutoka kwenye international journals na iwapo ukiwa na subira ukazitafuta, utazipata. Mijadala mizuri ni ile ambayo mtu unakuwa na evidence kuliko hizi generalizations ambazo nyingine zinaweza kuwa ni personal tu. papers za Magufuli zipo hapa JF tayari, tena siku nyingi sana; zitafute kwa makini utazipata.
Imewahi kutusaiaje watanzania???Huyo Prof. Mukandala achana naye bro, yake ni kutoka University of California, Berkeley tena first class...
Kwa wewe unajiona una akili sanaaaaa kumzidi Prof Mwandosya aliyehoji? Kumbuka yeye amewahi kuwa mwalimu wa Chuo kikuu na pia waziri. Kwa akili yako unamuona ana wivu siyo? Hata Prof Muhongo amehoji pia, naye ana wivu siyo? Punguza upimbi jombaaa.Enyi watanzania kwanini tumekuwa na wivu kiasi hiki
Naona shida hapa ni hao mawazairi wanawezaje kupata iyo PhD huku wakiwa na majukumu mengi. Nakumbuka watu pia mlihoji uhalali wa PhD za JPM, mwigulu na nchimbi tena mkaenda mbali zaidi mkavitupia lawama vyuo ambavyo vimewatunuku phd hizo.
Me nachoamini kama mtu ana nia ya kusoma kweli basi lazima ata balance ratiba zake vizuri afu pia usione hawa mawaziri kutwa kwenye ziara ndo ukajua kuwa wapo bize kumbuka hawa ni wasimamizi tu kazi huwafanywa na watendaji wao
Afu kingine kusoma siku hizi kumerahisishwa sana na teknologia
Naamini ata kesho chuo kingine kikitoa PhD kwa kiongozi yoyote waserikali mtahoji tu kama mlivyohoji kwa UDSM UDOM na MZUMBE
S gang mnahangaika ile mbaya...(1) Wewe unadhani kuwa alipewa Ph.D hiyo akiwa rais na unasahau kuwa alikuwa waziri katiki kipindi cha kwanza kabisa cha utawala wa Kikwete mwaka 2009. Halafu nimekuambia kuwa paper yake ilishaletwa hapa Jamii formus miaka mingi iliyopita kwani tuliijadili pia. Kama ulikuwa hujajiunga na forum basi tafuta kwenye archive. Kuna watu waliokuwa wakisoma naye wakati akiwa waziri walioshuhudia hapa
![]()
Waziri Magufuli apata PhD
Nimesikia tetesi kuwa Mheshimiwa Magufuli amepata Phd Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu hili?www.jamiiforums.com
(2) Kwa vile wewe unajua kuwa alimwua Ben Saanane, basi shirikiana na vyombo vya sheria kuutoa ukweli huo nje ili watu wajue, hii tabia ya kuungaunga maneno ya kuhisi ili kutoa story haitusaidii wengine.
Utaziona tu kama una nia ya kuziona. Kule Scholar zipo, moja ni hiiKama papers zipo humu si uziweke basi ili watu wakuamini?