interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Umenena vyema Mke mwema, ebu nunua kuku wa kienyeji ss hv hapo ili umuandae nije tujipongeze kwa kulelewa ktk maadili mema na Wazazi wetu Mama[emoji119][emoji1][emoji106]
Ulishawahi jiuliza kwa nini unakutana na mtoto halafu hakusalimii?! Na mwingine anakusalimia?! Sio kwamba wazazi hawajawafundisha wamefundishwa ila mtoto hatilii maanani na mzazi hakazii hilo hata akiliona, ila mzazi mwingine anakazia mtoto anarekebika!
Utapishana na mtoto hakusalimii na wewe mtu mzima wala hujali, usitegemee huyo atakuja kumkuta mzee mwenye mzigo amsaidie! Tabia na malezi!
Ulivyo lelewa wewe ni tofauti kabisaaa na mie!
Hiyo pp utaizoea tuu wala Usijali, na kukununia siwezi kabisaaa jamanii! Nitaishije humu JF eti!