Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,101
Ooh maskinHahahaha na hii quote imeshaniletea mnuno
Pole jamani
Wajina kapeace
Ooh maskinHahahaha na hii quote imeshaniletea mnuno
Mbona easy sana mkuuHivi huku Jf unajuaje kuwa mtu kakununia
Ooh maskin
Pole jamani
Wajina kapeace
KumbeMbona easy sana mkuu
Kma ww ulvyoninunia
Teh ...
Hata wewe wanawake wenzio wanakuona hivyo hivyo wanajiweka mbali na wewe kwa ndipo haya mambo ya kutopendana yanapata nguvu
Yanaanza hivihiviKujiweka mbali na mtu hakuhusiani na kutopendana
Kumbe ulimaanisha kaisari, nilijua kuna mwingine anaitwa kaisaliMarko 12:17
Na humu. yamo?? Basi sikupi like tena maana nitaleta ugomvi
ngoja tuendelee sifia, ili kazi ya vikumbo kupigwa uendelee kuwa nayo.
una jina zuri mfano hakuna ujue
Iyo avatar ilivyo tamu sasa!!!
Kwa wanawake ukaribu uliopitiliza ndio chanzo cha kuanza kusemana na kuharibiana kwa baadhi ya mamboYanaanza hivihivi
Spare my ribs[emoji2960][emoji2960]Sio kwamba men tuko happy ila tunatengeneza mazingira ya kupata favour fulani fulani toka kwenye maungo yenu. Bora hao wanawake wenzenu wako real na maisha yao maana hamhitajiani kihisia.
Sawa. Kupanga ni kuchagua, mimi katika maisha yangu huwa sijiwekei mipaka, trust me kuna marafiki wa kike wapo so coolKwa wanawake ukaribu uliopitiliza ndio chanzo cha kuanza kusemana na kuharibiana kwa baadhi ya mambo
Ni heri kuwa na umbali wa salamu za hapa na pale tu
Kumbe ulimaanisha kaisari, nilijua kuna mwingine anaitwa kaisali
Sawa. Kupanga ni kuchagua, mimi katika maisha yangu huwa sijiwekei mipaka, trust me kuna marafiki wa kike wapo so cool
Kumbe unaoNajua...hata mie ninao marafiki wa kike wa karibu sana,sio wote wenye majungu wapo ambao ukipata hutaki kuwapoteza
Nini tena rafiki? 😂😂😂
Nini tena rafiki? 😂😂😂
Yes wakikujua undani wa mambo yako ndipo chuki na wivu huanza.Kwa wanawake ukaribu uliopitiliza ndio chanzo cha kuanza kusemana na kuharibiana kwa baadhi ya mambo
Ni heri kuwa na umbali wa salamu za hapa na pale tu