Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Kabisaa au hawajazaliwa bado
Umeonaeee. Wazaliwage tu kwa kweli. 😀😀😀
Humu JF chuki zipo wazi wazi makundi yapo wazi wazi. Ule uzi uliosababisha picha za mdada mmoja humu kutupiwa,wanawake waliongoza kuchekelea na kufurahia mwenzao akidhalilishwa
😀😀😀 Itakuwa ile sio tafsiri ya kupendana labda. Hahahaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baraka za hali ya juu
Tuendeleage tu hivi hivi kwa kweli tupate kuenda Peponi. Teh teh
 
Hio ni case study chanzo ni chuki za mwanamke. Kuja kesi ya pili ile hukumu ya lulu ilivyotoka ilikua sherehe kwa wanawake asilimia kubwa.

Kuna mdada maarufu humu picha zake zilivujishwa aiseee waliolipuka na shangwe na kumchambua wengi wao wanawake.
Sasa kwanini?chanzo Cha hayo ni Nini hasa?
 
Jana nilikaa kwenye daladala nikashangaa Dada m1 pembeni yangu kabeba mtoto mdogo akiwa amesimama na Ke ziko karibu naye lkn ziko bize kuchati na simu kama vile hazimuoni mwenzao anavyopambana na hali yake. Nililazimika kusimama nimpishe Mama kiumbe maana siwezijua labda kesho na kesho kutwa kale katoto katakuja kuwa nani hapa duniani.
Hiyo ni personal character. Mimi jana nimeingia kwa daladala na mtoto mbele kabisa walikaa mkaka na mdada hakuna aliyenipisha (actually nilikuwa comfortable sikuhitaji kupishwa) akasimama mama mmoja kitoka siti ya tatu akaniita nikae
 
Kwanza rudisha ile pp yako ya awali.

Pili aliyekuwa karibu na Mama kiumbe ni Ke mwenzake tena kijana tu sawa na makamu ya mwenye mtoto.

Tatu huwa siangalii yupi anayepaswa kumpisha Mtu ktk siti kwa jnc nilivyolelewa tangu udogo huwa nina utashi wa kutambua yupi anayehitaji msaada bila hata kuumbiwa

Nne nilijitolea kumsaidia 7bu nilikuwa siti ya mbele ya Mama mwenye mtoto tofauti na waliokuwa karibu naye.

Tano nimekumiss sana Mama la Mama

Sita endeleza mengine na wewe.....
Hupaswi kuangalia nani hataki kumpisha nani! Wewe kuamua kumpisha inatosha!

Kwani wanaume wangapi walikuwa kwa hiyo gari na hawakupisha?! Tunatofautiana tabia na malezi!
 
Hio ni case study chanzo ni chuki za mwanamke. Kuja kesi ya pili ile hukumu ya lulu ilivyotoka ilikua sherehe kwa wanawake asilimia kubwa.

Kuna mdada maarufu humu picha zake zilivujishwa aiseee waliolipuka na shangwe na kumchambua wengi wao wanawake.
Sitaki kukumbuka watu walikuwa mpaka wanaulizana "vp umewahi kuichukua" 😂😂😂

Kikawaida wanawake hatupendani hata chembe. Kwani wengi huwa tunakawaida ya kufurahia na si kuhuzunikia anguko la wengine.
 
Hiyo ni personal character. Mimi jana nimeingia kwa daladala na mtoto mbele kabisa walikaa mkaka na mdada hakuna aliyenipisha (actually nilikuwa comfortable sikuhitaji kupishwa) akasimama mama mmoja kitoka siti ya tatu akaniita nikae
Lakini wao wanaliita swala la wanawake kwa wanawake!

Sometimes tunapandikiza chuki ambazo hazipo!
 
Hiyo ni personal character. Mimi jana nimeingia kwa daladala na mtoto mbele kabisa walikaa mkaka na mdada hakuna aliyenipisha (actually nilikuwa comfortable sikuhitaji kupishwa) akasimama mama mmoja kitoka siti ya tatu akaniita nikae
Naona tunakoelekea ss itabidi vyombo vya dola viwe vinatumia nguvu sasa kunyanyua watu kupisha wanaohitaji msaada maana kuna mawatu huwa yanajitoa tu ufahamu makusudi si kwamba hayajui kuwa kuna kilema, Mzee sana wa makamo, mjauzito au, Mgonjwa au Mama mwenye mtoto wanaohitaji msaada wa lazima kupishwa ktk siti ingawa sote tunatoa nauli lkn si maadili yetu kabisa WATZ kwa mila na desturi zetu.
 
Niwe mkweli sina chuki na wanawake wenzangu hata kidogo

Ila naprefer kudeal na wanaume zaidi manake najua wanawake wengi wapo kama ulivyoelezea hapo juu (unafiki)

Heri kubishana na mwanaume kuliko na mwanamke
Hili nalo ni tatizo lenu kubwa kufikiri kudeal na wanaume sana ndio kunatatua matatizo yenu kumbe kuna jenga chuki kati yenu.....
Kama kweli wewe huwa una deal sana na wanaume utakuwa umejifunza jinsi ambavyo wanaume wana wasiliana wao kwa wao na hata wakigombana kuna jinsi ambavyo ina tofautiana kabisa na wanawake....
Ni rahisi sana baada ya muda ukakuta wanaume walio gombana wanaongea lakini si rahisi kukuta baada ya muda wanawake walio sonyana wana ongea..... kwa sababu wanawake walio wengi wana degree ya unafiki... yani wanaweza kuitana honey hadharani lakini moyoni wanaitana nyani......
Hakika Mungu namshukuru kwakuwa hadi sasa hamjapata suluhu ya hili tatizo
 
Hadi mwanae alichambilwa bila kusahau kitasa mlangoni hahaa maisha haya

Wanawake hatupendani hio haina mjadala kabisaaa
Sitaki kukumbuka watu walikuwa mpaka wanaulizana "vp umewahi kuichukua" 😂😂😂

Kikawaida wanawake hatupendani hata chembe. Kwani wengi huwa tunafurahia anguko la wengine.
 
Kwanza rudisha ile pp yako ya awali.

Pili aliyekuwa karibu na Mama kiumbe ni Ke mwenzake tena kijana tu sawa na makamu ya mwenye mtoto.

Tatu huwa siangalii yupi anayepaswa kumpisha Mtu ktk siti kwa jnc nilivyolelewa tangu udogo huwa nina utashi wa kutambua yupi anayehitaji msaada bila hata kuumbiwa

Nne nilijitolea kumsaidia 7bu nilikuwa siti ya mbele ya Mama mwenye mtoto tofauti na waliokuwa karibu naye.

Tano nimekumiss sana Mama la Mama

Sita endeleza mengine na wewe.....
Mimi nimeona hiyo tano tu!
Mekumiss pia!

Ila hilo la kupishana siti ni tabia ya mtu na malezi! Angeweza akawa mkaka hapo na asimpishe mbona tunawaona sana tu!
 
Back
Top Bottom