The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #101
Yes wapo ila ni moja Kati ya kumiSawa. Kupanga ni kuchagua, mimi katika maisha yangu huwa sijiwekei mipaka, trust me kuna marafiki wa kike wapo so cool
Yes wapo ila ni moja Kati ya kumiSawa. Kupanga ni kuchagua, mimi katika maisha yangu huwa sijiwekei mipaka, trust me kuna marafiki wa kike wapo so cool
Hahahah hakuna aliyesema ye ni malaikaSi nashangaa uzi umejaa malaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wote wana roho nzuri ati
Hahahaaaa. Itakuwa wanawake wasiopenda wenzao hawajajiunga na Jf bado. Teh tehSi nashangaa uzi umejaa malaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wote wana roho nzuri ati
Hahahah hakuna aliyesema ye ni malaika
Sote tuna mapungufu,ishu ni kuwa wanawake hatupendani na tunakuwa hatuna sababu za msingi kufanya hivyo.
TEH teh JF wanawake wasiopendana ......JF ni sehemu salama kama paradisoHahahaaaa. Itakuwa wanawake wasiopenda wenzao hawajajiunga na Jf bado. Teh teh
Ila inapendeza kuona jf imebarikiwa kiasi hiki. 😂😂😂😂
Yes wapo wachache. Ndio maana mimi sinaga utitiri wa marafiki, huwa mara nyingi nakuwa na rafiki mmoja au wawili at a time na mambo yangu huwa yanabaki kwangu mwenyewe, simwambii rafiki kila kitu kuhusiana na mimi na hata yeye akiamua kuweka maisha yake binafsi private naheshimu hilo.Yes wapo ila ni moja Kati ya kumi
Hahahaaaa. Itakuwa wanawake wasiopenda wenzao hawajajiunga na Jf bado. Teh teh
Ila inapendeza kuona jf imebarikiwa kiasi hiki. 😂😂😂😂
Weweeeee... [emoji117] kumbe nachati na Bi Mkubwa aaaah!...?...[emoji87]Yes wapo wachache. Ndio maana mimi sinaga utitiri wa marafiki, huwa mara nyingi nakuwa na rafiki mmoja au wawili at a time na mambo yangu huwa yanabaki kwangu mwenyewe, simwambii rafiki kila kitu kuhusiana na mimi na hata yeye akiamua kuweka maisha yake binafsi private naheshimu hilo.
Hahahahah zari tenaKiwango halisi cha roho nzuri ya mwanamke ni ishu ya Zari na diamond. Asilimia kubwa wanamchukia zari bila sababu wanamshabikia tununu kuharibu yale mahusiano na bado wanajiona wapo sahihi aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NimefanyajeWeweeeee... [emoji117] kumbe nachati na Bi Mkubwa aaaah!...?...[emoji87]
Ndio Mkuu wangu! 😂😂TEH teh JF wanawake wasiopendana ......JF ni sehemu salama kama paradiso
Kabisa wanawake ni jeshi kubwa,tukilijua hili tukaungana wanaume hawatokuwa salama.Kati ya Zawadi aliyotupa Mungu ni kuhakisha nyie wanawake hampendani kabisa hata mngekuwaje kamwe hamuwezi pendana.
Wanawake huwa mna akili sana lakini hapo kwenye kupendana na kutokubaliana ndipo tunapo wapigia kabisa.......
Sisi wanaume tukiona wanawake mnakuwa strong sana tunajua dwa ni wanawake wenzenu maana mnajua vizuri jinsi ya kufitiniana ,kurogana na kuchukiana na kunafikiana....
Yani ninyi wanawake huwa mnachekeana usoni tuuu lakini moyoni hamko sawa....
Ukiona wanawake wanapatana ujue kuna kipindi wanapitia kinacho fanana hivyo wanafarijiana ...kwa hiyo baada ya muda wanarudi kwenye nature yao ya kutopendana na kuchukiana...
Kwa hiyo siku mkipata dawa ya hili tatizo lenu basi wanaume tumekwisha
Hahahahah zari tena
Ni kweli sidhan Kuna sababu watu kumchukia zari ama hamisa,kwani wao ni third party kwenye huo uhusiano.
Hilo ni suala la zari kudeal na diamond,na hamisa kudeal na diamond kwani yeye ndiye maint factor kwenye huo uhusiano.
Diamond ndiyo source ya yote hayo,so si zari Wala hamisa mwenye haki ya kumuattack mwingine.Walipaswa kudeal na chanzo cha tatizo lao.
Wanawake Wana matatizo ya uwanauke wenyeweHabari za jioni wana jukwaa.
Ni hivi kwenye ofisi ninayofanya kazi tuko watumishi kama 15 hivi,kati ya hao wanawake tuko saa watano pamoja na ps,walobaki ni wanaume.
Basi kuna kipindi tulipewa zawadi ofisini,nami nilikuwepo miongoni mwa waliopata,tukiwa wanawake wawil tu tuliobahatika ,nikajipost kwenye group ya ofisini wanaume almost wote walikuwa happy na kunipongeza,ikaja kwa wanawake Sasa,mtu unakutana naye koridoni anakuuliza nimeona bana umepewa cheti,unamjibu ndio,anakwambia hongera huku ikiambatana na kicheko Cha kebehi na kejeli.
Ukija kwenye groups za wasap, comments wanazotoa wanaume kwetu wanawake si za kubeza,hata kama kukukosoa atakukosoa kistaarabu.Ila wanawake mtu atoa comments kama mna ugomvi,ama aweza comment neno la kukudhalilisha ilmradi usijisikie vizuri.Hadi wajiuliza ,tatizo nini?
Kuna wakati mwenzetu mmoja alikuwa mjamzito, jamaa mmoja wa ofisin akapiga naye picha akaipost kwa group,most of men walikuwa happy na walikuwa wanacomment positively,na matani ya hapa na pale,ila upande wa wanawake sasa wakatoa maneno ya kejeli na kuonyesha kutofurahia hilo jambo,as if wamechangia mume .Mwingine akaandika ,,ahhh mama kijaaa hongera bwana,then hehehehe halooo
,Like what the f@ck?
Hata kwenye ishu za deals ni mara chache,mwanamke akushirikishe hata kama una uwezo wa kulifanikisha,but kwa upande wa wanaume wako so smooth na washirikishaji wazuri.Tena wanawake hao wakigundua kuna kaishu unafatilia yuko radhi hata akuharibie kwa client,ili tu mkose wote.
Ishu ni nyingi,ila wanawake mostly hatupendani maofisini,Hatuko professional mostly,Tunasemana vibaya,tunaoneana wivu wa kijinga (siyo wa kimaendeleo),tunachafuana Wala hatusapotiani kwenye ishu positive.Nashindwa elewa tatizo ni nini.
So swali ni kwanini wanawake hatupendani?ni nature?Ni laana?Na suala la kutaka unnecessary competition na wanawake wengine sababu ni nini?
Wanawake tuna asili ya umbea ndio sababu yanatokea hayo, vipi akianikwa mwanaume? Wanawake huwa wanamtetea?Kabisaa au hawajazaliwa bado
Humu JF chuki zipo wazi wazi makundi yapo wazi wazi. Ule uzi uliosababisha picha za mdada mmoja humu kutupiwa,wanawake waliongoza kuchekelea na kufurahia mwenzao akidhalilishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baraka za hali ya juu
Wanawake tuna asili ya umbea ndio sababu yanatokea hayo, vipi akianikwa mwanaume? Wanawake huwa wanamtetea?
Hupaswi kuangalia nani hataki kumpisha nani! Wewe kuamua kumpisha inatosha!Jana nilikaa kwenye daladala nikashangaa Dada m1 pembeni yangu kabeba mtoto mdogo akiwa amesimama na Ke ziko karibu naye lkn ziko bize kuchati na simu kama vile hazimuoni mwenzao anavyopambana na hali yake. Nililazimika kusimama nimpishe Mama kiumbe maana siwezijua labda kesho na kesho kutwa kale katoto katakuja kuwa nani hapa duniani.