No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,828
Ok...Aanze mtoa mada kuweka ushuhuda,wakati naandaa wangu!Weka hapa huo ushuhuda ili Watu wasikubambikize jina la mzushi...[emoji56][emoji87]

Daaah!...? Asante kunisahihisha maana naona tayari dishi lilikuwa lishaanza kuyumba...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mahala unavuka
Chuki kati ke na ke haihusiani na 50 kwa 50,,
Kuku wa bandani banaUnamjua ni kuku yupi au unaitikia tu ilimradi kuchangamsha [emoji848][emoji87]
Kivip mkuu?Wanaume kwenye mambo ya kawaida ndo huwa wana ubinadamu ila kwenye mapenzi ndo huwa wanaongoza kwa unyama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kuna ka-element ka wivu wa chini chini hivi kanakoendelea baina yako na Bi mkubwa...[emoji848][emoji1787]
Kuna sehemu nimemwambia akitaka kuishi nao peaceful aongee machache, awasikilize sana, asiyape uzito maneno watayoongea na awapuuze,,, na ukitaka kula cha mwanamke mwenzio basi msifie ama muonekano wake, utendaji kazi wake au maisha yakeMuache ashindane na asili/nature ya uumbaji ndipo atapata jibu kwanini maji huwa hayapandi mlima japo atakuwa kashachelewa sana[emoji23]
Tunaweza kwenda kanisani tukitoka basi wifi/shemeji yenu hata kabla hatujafika geto ataanza umemuona flani kakondaa, sijui kasuka vibaya. Mwingine sijui hawaendani blah blah mimi naitikia tu ee sawa, nimeona.
Hahahahaha leo nimefurahi kweli
Je, kwenye gari mbele hakukuwa na wanaume?!Mimi hata hii sakaya nimekuwa nikikutana nayo sana na kwangu huwa nachukulia kama credit na baraka pia.... na hii huwa naitumia kama opportunity ya kuhakikisha ninyi wanawake mnaendelea kutokupendana na kupatana na muendelee kugombana na kuonana wabaya...
Kuna siku nilipanda gari sehemu fulani .....wakati gari linaanza kuondoka lakini kuna mdada aliyekuwa na mtoto akasimamisha gari......akaingia kwenye gari kila akicheki seat zote zimejaa akaendelea kusimama uku gari linakwenda na alipokuwa amesimama kulikuwa na wamama na wasichana wamekaa karibu na yeye ....mimi nikawa nacheki mchezo tuuu....... bahati mbaya yule mtoto akaanza kulia yule binti akawa ana mbembeleza uku ameshikilia chuma ....
Hakuna aliyekuwa ana jali kuhusu yule binti si wale waliokuwa karibu nae wala sisi tuliokuwa nyuma ....wote tulikumbatia siti kama hatumuoni vile........
Moyo ukawa unaniambia wagombanishe, mara mpishe akae, wagombanishe, wagawe....
Ilibidi ni muite yule dada nikamwambia njoo ukae huku dada...... unajua aligeuka fasta nusura aanguke na mtoto..... yani alishukuru huyo....oooh ubarikiwe sana kaka...oooh Mungu akutunze... .
Mimi nikabaki naitikia tuu Amina,amina, amina lakini moyoni nasema bado jambo langu halijatimia la kuhakisha hawa wanawake wanapeana adabu humu....na kitchen party..hahaha
Mara mapepo yakaanza kulipuka....konda akanza kusema hakika wanawake hampendani kabisa yani mmemuacha mwanamke mwenzenu ana teseka mmeshindwa kumpisha mpaka mtu mwingine tena mwanaume ndio anashikwa uchungu ana muonea huruma? hahahahha
basi na wanaume wengine wakalipuka......oooh hawa wanawake wanaongoza kwa roho mbaya kabisa yani hata hao wambele wameshindwa kumpisha mpaka mtu wa huku nyuma ampishe kweli halafu mnatwambia kuwa huwa mnasikia uchungu wa kuzaaa..... jamaa akaongeza kwa kusema nani kawaroga nyinyi? watu vicheko daladala nzima hahahha
Mimi moyoni nikawa nasema bado sijafanikisha ninalolitaka......hatujakaa dakika moja vicheko vinaendeleaa...... Mara mwanamke mmoja kalipuka nakusema ni kweli wanawake hatupendani kabisa na hatuna huruma kabisa yani mtu unakaa na mtu karibu hapo anataka kukuangukia unashindwa kumuonea huruma? wanawake tubadilike kabisa hii ni aibu...........
Moyoni nikasema yes....yes....yes.... hapa ndipo nilikuwa napataka....hahahha
Sasa wale waliokuwa karibu na yule dada wakati amesimama na hakumpisha ...... nao wakalipuka na kumvaa mwanamke mwezao...........oooooh wewe mwanamke acha unafiki wewee.....na matusi juuu siyakumbuki....... wakamuuliza kwanini hukumpisha mpaka ukamuacha huyo kaka ampishe? Wanawake wengine nao wakalipuka wakasema mwambieni huyo mnafiki anajipendekeza ili watu wamuone mwemwa wakati sura yake inaonesha kabisa ana roho mbaya......hahahaha
Sasa kwakuwa daladala ilianza kuwaka moto wa wanawake kwa wanawake wakirushiana matusi mimi nikakaa kimya sikuchangia lolote na nikamwambie yule binti anyamaze asichangie..... kwakweli moto uliwaka wakaanza kutukanana matusi ya nguoni.......uku wanaume tuko kimya na wengine wanacheka tuu jinsi wanavyorushiana madongo....
Mara konda akaanza kukusanya nauli uku anasema endeleeni kugombana uku mnanipa nauli yangu.......
Mimi moyoni nikasema hapa ni kuongeza kuni na kuchochea moto..... hahahaha
Konda akafika niliposimama akaomba nauli nikampa buku na kumwambia ni ya wawili mimi na huyu dada..... hahahahah hapo ndipo nilichochea moto zaidi.....
Kumbe kuna mama pembeni alisikia nampa konda nauli na kumlipia yule dada....... mara akamuita konda konda akamwambia chukua hii buku tano naomba umrudishie yule kaka hela yake nitalipa mimi na ya yule dada halafu na wale mashakumpe wawili pale mbele ntawalipia.....hahahaha.....moto ukawaka tena.....
Konda akanirudishia buku yangu nikaweka mfukoni moto ukaendelea kuwaka baada ya wale wadada kusikia wanalipiwa na wameitwa mashakumpe hahahahaha yani ilikuwa timbwili ni kutukanana matusi tuu.....umlipie nani wewe ......acha kujipendekeza kama unamtaka huyo kaka mwambie sio kutumia migongo yetu....hahahahahahhahha
Mimi moyoni nasema hapa ndipo nilipopataka acha wafunzane adabu..... walikuwa wanaambiana maneno aiseee hadi wanaume tulikuwa tuna shangaa.....hahahaha.... ugomvi uliendelea muda mrefu...sana hadi nashuka bado walikuwa wanagombana.....
Hakika naendelea kufurahi kwakuwa dawa ya matatizo yao hawajeweza kuijua....
Mimi siingili ugomvi wa wanawake bali nikipata nafasi naongeza kuni moto uwake.......
Lazima wanawake wajifunze wenyewe kupatana na kutatua matatizo yao.....
Jaribu kumchunguza vzr huyo demu wako asijekuwa anakupiga madongo pia akiwa na mashosti wake, ni mtizamo tu Mzee Baba wala usipanikc... [emoji87]
Dahhhh motoni panakuhusuMimi hata hii sakaya nimekuwa nikikutana nayo sana na kwangu huwa nachukulia kama credit na baraka pia.... na hii huwa naitumia kama opportunity ya kuhakikisha ninyi wanawake mnaendelea kutokupendana na kupatana na muendelee kugombana na kuonana wabaya...
Kuna siku nilipanda gari sehemu fulani .....wakati gari linaanza kuondoka lakini kuna mdada aliyekuwa na mtoto akasimamisha gari......akaingia kwenye gari kila akicheki seat zote zimejaa akaendelea kusimama uku gari linakwenda na alipokuwa amesimama kulikuwa na wamama na wasichana wamekaa karibu na yeye ....mimi nikawa nacheki mchezo tuuu....... bahati mbaya yule mtoto akaanza kulia yule binti akawa ana mbembeleza uku ameshikilia chuma ....
Hakuna aliyekuwa ana jali kuhusu yule binti si wale waliokuwa karibu nae wala sisi tuliokuwa nyuma ....wote tulikumbatia siti kama hatumuoni vile........
Moyo ukawa unaniambia wagombanishe, mara mpishe akae, wagombanishe, wagawe....
Ilibidi ni muite yule dada nikamwambia njoo ukae huku dada...... unajua aligeuka fasta nusura aanguke na mtoto..... yani alishukuru huyo....oooh ubarikiwe sana kaka...oooh Mungu akutunze... .
Mimi nikabaki naitikia tuu Amina,amina, amina lakini moyoni nasema bado jambo langu halijatimia la kuhakisha hawa wanawake wanapeana adabu humu....na kitchen party..hahaha
Mara mapepo yakaanza kulipuka....konda akanza kusema hakika wanawake hampendani kabisa yani mmemuacha mwanamke mwenzenu ana teseka mmeshindwa kumpisha mpaka mtu mwingine tena mwanaume ndio anashikwa uchungu ana muonea huruma? hahahahha
basi na wanaume wengine wakalipuka......oooh hawa wanawake wanaongoza kwa roho mbaya kabisa yani hata hao wambele wameshindwa kumpisha mpaka mtu wa huku nyuma ampishe kweli halafu mnatwambia kuwa huwa mnasikia uchungu wa kuzaaa..... jamaa akaongeza kwa kusema nani kawaroga nyinyi? watu vicheko daladala nzima hahahha
Mimi moyoni nikawa nasema bado sijafanikisha ninalolitaka......hatujakaa dakika moja vicheko vinaendeleaa...... Mara mwanamke mmoja kalipuka nakusema ni kweli wanawake hatupendani kabisa na hatuna huruma kabisa yani mtu unakaa na mtu karibu hapo anataka kukuangukia unashindwa kumuonea huruma? wanawake tubadilike kabisa hii ni aibu...........
Moyoni nikasema yes....yes....yes.... hapa ndipo nilikuwa napataka....hahahha
Sasa wale waliokuwa karibu na yule dada wakati amesimama na hakumpisha ...... nao wakalipuka na kumvaa mwanamke mwezao...........oooooh wewe mwanamke acha unafiki wewee.....na matusi juuu siyakumbuki....... wakamuuliza kwanini hukumpisha mpaka ukamuacha huyo kaka ampishe? Wanawake wengine nao wakalipuka wakasema mwambieni huyo mnafiki anajipendekeza ili watu wamuone mwemwa wakati sura yake inaonesha kabisa ana roho mbaya......hahahaha
Sasa kwakuwa daladala ilianza kuwaka moto wa wanawake kwa wanawake wakirushiana matusi mimi nikakaa kimya sikuchangia lolote na nikamwambie yule binti anyamaze asichangie..... kwakweli moto uliwaka wakaanza kutukanana matusi ya nguoni.......uku wanaume tuko kimya na wengine wanacheka tuu jinsi wanavyorushiana madongo....
Mara konda akaanza kukusanya nauli uku anasema endeleeni kugombana uku mnanipa nauli yangu.......
Mimi moyoni nikasema hapa ni kuongeza kuni na kuchochea moto..... hahahaha
Konda akafika niliposimama akaomba nauli nikampa buku na kumwambia ni ya wawili mimi na huyu dada..... hahahahah hapo ndipo nilichochea moto zaidi.....
Kumbe kuna mama pembeni alisikia nampa konda nauli na kumlipia yule dada....... mara akamuita konda konda akamwambia chukua hii buku tano naomba umrudishie yule kaka hela yake nitalipa mimi na ya yule dada halafu na wale mashakumpe wawili pale mbele ntawalipia.....hahahaha.....moto ukawaka tena.....
Konda akanirudishia buku yangu nikaweka mfukoni moto ukaendelea kuwaka baada ya wale wadada kusikia wanalipiwa na wameitwa mashakumpe hahahahaha yani ilikuwa timbwili ni kutukanana matusi tuu.....umlipie nani wewe ......acha kujipendekeza kama unamtaka huyo kaka mwambie sio kutumia migongo yetu....hahahahahahhahha
Mimi moyoni nasema hapa ndipo nilipopataka acha wafunzane adabu..... walikuwa wanaambiana maneno aiseee hadi wanaume tulikuwa tuna shangaa.....hahahaha.... ugomvi uliendelea muda mrefu...sana hadi nashuka bado walikuwa wanagombana.....
Hakika naendelea kufurahi kwakuwa dawa ya matatizo yao hawajeweza kuijua....
Mimi siingili ugomvi wa wanawake bali nikipata nafasi naongeza kuni moto uwake.......
Lazima wanawake wajifunze wenyewe kupatana na kutatua matatizo yao.....
Mazingira yalifanya mkaona mnapendana wenyewe kwa wenyewe lakini haikuwa kweli...Niliwahi kuambiwa kwamba , sababu ya wanawake kutokupendana ni wanaume.
Kila mtu anajitahidi aonekane bora kuliko mwenzake, aonekani mzuri kuliko mwenzake na kadhalika machoni pa wanaume.
Nilisoma shule ya girls tuu , tulipendana sana sana, ule upendo wenyewe.
Nikahamia mchanganyiko, ndipo nilipodhibitisha kwamba sababu ni wanaume.
Ndiyo nakuumba hapa ss hv pole pole ili uwe "Woman = Wife of Man" au hutaki kuwa Kungwi wa Ke wenzio hapa JF kwa mfano bora kuigwa toka kwako...[emoji848]...[emoji1]...[emoji125]Basi umba wako
Mbona kama una ukuda flani hivi?Mimi hata hii sakaya nimekuwa nikikutana nayo sana na kwangu huwa nachukulia kama credit na baraka pia.... na hii huwa naitumia kama opportunity ya kuhakikisha ninyi wanawake mnaendelea kutokupendana na kupatana na muendelee kugombana na kuonana wabaya...
Kuna siku nilipanda gari sehemu fulani .....wakati gari linaanza kuondoka lakini kuna mdada aliyekuwa na mtoto akasimamisha gari......akaingia kwenye gari kila akicheki seat zote zimejaa akaendelea kusimama uku gari linakwenda na alipokuwa amesimama kulikuwa na wamama na wasichana wamekaa karibu na yeye ....mimi nikawa nacheki mchezo tuuu....... bahati mbaya yule mtoto akaanza kulia yule binti akawa ana mbembeleza uku ameshikilia chuma ....
Hakuna aliyekuwa ana jali kuhusu yule binti si wale waliokuwa karibu nae wala sisi tuliokuwa nyuma ....wote tulikumbatia siti kama hatumuoni vile........
Moyo ukawa unaniambia wagombanishe, mara mpishe akae, wagombanishe, wagawe....
Ilibidi ni muite yule dada nikamwambia njoo ukae huku dada...... unajua aligeuka fasta nusura aanguke na mtoto..... yani alishukuru huyo....oooh ubarikiwe sana kaka...oooh Mungu akutunze... .
Mimi nikabaki naitikia tuu Amina,amina, amina lakini moyoni nasema bado jambo langu halijatimia la kuhakisha hawa wanawake wanapeana adabu humu....na kitchen party..hahaha
Mara mapepo yakaanza kulipuka....konda akanza kusema hakika wanawake hampendani kabisa yani mmemuacha mwanamke mwenzenu ana teseka mmeshindwa kumpisha mpaka mtu mwingine tena mwanaume ndio anashikwa uchungu ana muonea huruma? hahahahha
basi na wanaume wengine wakalipuka......oooh hawa wanawake wanaongoza kwa roho mbaya kabisa yani hata hao wambele wameshindwa kumpisha mpaka mtu wa huku nyuma ampishe kweli halafu mnatwambia kuwa huwa mnasikia uchungu wa kuzaaa..... jamaa akaongeza kwa kusema nani kawaroga nyinyi? watu vicheko daladala nzima hahahha
Mimi moyoni nikawa nasema bado sijafanikisha ninalolitaka......hatujakaa dakika moja vicheko vinaendeleaa...... Mara mwanamke mmoja kalipuka nakusema ni kweli wanawake hatupendani kabisa na hatuna huruma kabisa yani mtu unakaa na mtu karibu hapo anataka kukuangukia unashindwa kumuonea huruma? wanawake tubadilike kabisa hii ni aibu...........
Moyoni nikasema yes....yes....yes.... hapa ndipo nilikuwa napataka....hahahha
Sasa wale waliokuwa karibu na yule dada wakati amesimama na hakumpisha ...... nao wakalipuka na kumvaa mwanamke mwezao...........oooooh wewe mwanamke acha unafiki wewee.....na matusi juuu siyakumbuki....... wakamuuliza kwanini hukumpisha mpaka ukamuacha huyo kaka ampishe? Wanawake wengine nao wakalipuka wakasema mwambieni huyo mnafiki anajipendekeza ili watu wamuone mwemwa wakati sura yake inaonesha kabisa ana roho mbaya......hahahaha
Sasa kwakuwa daladala ilianza kuwaka moto wa wanawake kwa wanawake wakirushiana matusi mimi nikakaa kimya sikuchangia lolote na nikamwambie yule binti anyamaze asichangie..... kwakweli moto uliwaka wakaanza kutukanana matusi ya nguoni.......uku wanaume tuko kimya na wengine wanacheka tuu jinsi wanavyorushiana madongo....
Mara konda akaanza kukusanya nauli uku anasema endeleeni kugombana uku mnanipa nauli yangu.......
Mimi moyoni nikasema hapa ni kuongeza kuni na kuchochea moto..... hahahaha
Konda akafika niliposimama akaomba nauli nikampa buku na kumwambia ni ya wawili mimi na huyu dada..... hahahahah hapo ndipo nilichochea moto zaidi.....
Kumbe kuna mama pembeni alisikia nampa konda nauli na kumlipia yule dada....... mara akamuita konda konda akamwambia chukua hii buku tano naomba umrudishie yule kaka hela yake nitalipa mimi na ya yule dada halafu na wale mashakumpe wawili pale mbele ntawalipia.....hahahaha.....moto ukawaka tena.....
Konda akanirudishia buku yangu nikaweka mfukoni moto ukaendelea kuwaka baada ya wale wadada kusikia wanalipiwa na wameitwa mashakumpe hahahahaha yani ilikuwa timbwili ni kutukanana matusi tuu.....umlipie nani wewe ......acha kujipendekeza kama unamtaka huyo kaka mwambie sio kutumia migongo yetu....hahahahahahhahha
Mimi moyoni nasema hapa ndipo nilipopataka acha wafunzane adabu..... walikuwa wanaambiana maneno aiseee hadi wanaume tulikuwa tuna shangaa.....hahahaha.... ugomvi uliendelea muda mrefu...sana hadi nashuka bado walikuwa wanagombana.....
Hakika naendelea kufurahi kwakuwa dawa ya matatizo yao hawajeweza kuijua....
Mimi siingili ugomvi wa wanawake bali nikipata nafasi naongeza kuni moto uwake.......
Lazima wanawake wajifunze wenyewe kupatana na kutatua matatizo yao.....
Ushindani ni asili yetu wala usiumize kichwa, hata humu ukipewa like na quoting nyingi na ID za kiume jiandae kununiwa tu,,, ndo maana sinaga shosti
Sijui kama utaelewa ila ngoja nikuelezee tu hivyo hivyo yaani kwenye mambo kama hayo ya kijamii wanaume ndo huwa wana ubinadamu kwa mtu yeyote yaani hawa unafiki wala chuki za hovyo hovyo ila kwenye maswala ya mapenzi ndo wanaongoza kwa unyama yaani kuumiza na kusaliti wapenzi au wake zao bila sababu za msingi kuliko wanawakeKivip mkuu?
Hahaha hahaha hahaha hahahaMbona kama una ukuda flani hivi?
Ni kweli mkuuSijui kama utaelewa ila ngoja nikuelezee tu hivyo hivyo yaani kwenye mambo kama hayo ya kijamii wanaume ndo huwa wana ubinadamu kwa mtu yeyote yaani hawa unafiki wala chuki za hovyo hovyo ila kwenye maswala ya mapenzi ndo wanaongoza kwa unyama yaani kuumiza na kusaliti wapenzi au wake zao bila sababu za msingi kuliko wanawake
Soma mwaya umalize khaaa!Hahaha hahaha hahaha hahaha
Umenifanya nicheke, mie hata sijamaliza kusoma!