Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,148
- 124,753
Haha hivi yupi unamuongelea kwanzaMsalimie sana jamanii, mwambie nammiss
Haha hivi yupi unamuongelea kwanzaMsalimie sana jamanii, mwambie nammiss
Jungu kuu dadangu!Haha hebu fafanua unauelewaje
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba nina ukoko wa kutoshaJungu kuu dadangu!
Wote dada!Haha hivi yupi unamuongelea kwanza
Utachapwa sasa[emoji3][emoji3]Wote dada!
Nisijeharibu
Ewaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba nina ukoko wa kutosha
Samehe mimi jamani!Utachapwa sasa[emoji3][emoji3]
Ewaaaaa
Uko na maakili sana wewe!
Samehe mimi jamani!
Hapana husemi wanawake wote ni wanafik,ila unalimit ya kudeal nao kwenye ishu nyingi tu.Inageuka kosa,hapo ndo swali linaibuka kwani lazima nideal na hawa watu hata kwenye ishu zangu za private?Sio kosa lakini kitendo cha kusema hutaki ukaribu na wanawake kwa sababu ni wanafiki ndio unapozaliwa msemo wa kwamba wanawake hatupendani. Hivi ni kweli kila mwanamke ni mnafiki?
Sio kweli mara zote, Mfano mwepesi ni dada mjamzito akipanda daladala ambayo imejaa.. Asilimia kubwa ya watakaokuwa tayari kumpisha kwa siti huwa ni wanaume, na wala sio kwamba wanafanya hivyo kwa nia yoyote ile ya faidaSio kwamba men tuko happy ila tunatengeneza mazingira ya kupata favour fulani fulani toka kwenye maungo yenu. Bora hao wanawake wenzenu wako real na maisha yao maana hamhitajiani kihisia.
Maisha ni kuchagua vile wewe unataka yaweHapana husemi wanawake wote ni wanafik,ila unalimit ya kudeal nao kwenye ishu nyingi tu.Inageuka kosa,hapo ndo swali linaibuka kwani lazima nideal na hawa watu hata kwenye ishu zangu za private?
Hahahah so tunarud kwenye point wanawake tu wanafik?chanzo ni nini?au sababu ni nini?Kuna wanawake walidiriki kunambia iviii
mmoja alisema hapendi kuwa na marafiki wasichana wenzake akajazia wanafiki sana..
Mwingine katika miaka tofauti alinambia ana marafiki wakiume wengi kuliko wakike..
Twende kweny mitandao ivi unafriendz wangapi fb au insta...jijibu mwenyewe
Sasa hapa ndo nilishangaa wasikilize akiwa anapiga simu au anapokea iwe ni rafiki ake wa kike ona anavotoa majibu mazuri ..utasikia mambo mpenzi...sawa best mara watatumia love ,dear ,honey yaani mengi wala akiwa hamaanishi ...jinsi ya kujua hilo ona simu inapokata atasonya ,atatamka neno baya au kusema uyu naye anajishaua kweli bana wee awaa watuu daaa
nihitimishe hata wanavyotuita mademu zetu eti mpenzi au hubby mi nadhani ni mwendelezo wao tyuu wa yale yale mambo yao ...nikisikia mafriend zangu wakiitwa ayoo majina na mademu zao huwa nacheka tyuu maana najua hawana safari ndefu...
Mademu bana ...
teh kumbe mnashindaniaga like zetu na quotesUshindani ni asili yetu wala usiumize kichwa, hata humu ukipewa like na quoting nyingi na ID za kiume jiandae kununiwa tu,,, ndo maana sinaga shosti
Sorry mkuu, kaisali ni nani?Uwo ndo uwanamke ukifanya zuri kwao watasema baya ndo usiseme,fanya kazi ya kaisali mwachie kaisali.....NATURE
Yes huu ni mfano hai,wanawake sasa watampiga jicho baya na kujifanya hawamuoni.Sio kweli mara zote, Mfano mwepesi ni dada mjamzito akipanda daladala ambayo imejaa.. Asilimia kubwa ya watakaokuwa tayari kumpisha kwa siti huwa ni wanaume, na wala sio kwamba wanafanya hivyo kwa nia yoyote ile ya faida
Hahahaha kweli tulitoka kwenye ubavu wenuteh kumbe mnashindaniaga like zetu na quotes
Makubwa hayaa
Sorry mkuu, kaisali ni nani?
Hahahaha na hii quote imeshaniletea mnunoteh kumbe mnashindaniaga like zetu na quotes
Makubwa hayaa
Hivi huku Jf unajuaje kuwa mtu kakununia