Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Kuna wale wenye tabia ya kuweka music/radio loudspeaker alafu anaingia kwenye gari ama mkusanyiko wa watu, very comfortable, sielewi huwa wana maana gani, kujulisha watu kuwa wanamiliki simu zenye memory card/radio ama hawafahamu matumizi ya hearphones.:help::help::help::bored::bored::bored:
...sasa kuna baadhi ya hawa waendesha bodaboda unakuta anapaki mahala penye mkusanyiko..au karibu na nyumba ya watu huku sauti ya mchiriku,taarab,bolingo,mahubiri,n.k kaifungulia hadi mwishooo!!!!!!!halafu yeye hana hata habari anaona sawa tuu
 
sio siri wanaboa sana

...sasa kuna baadhi ya hawa waendesha bodaboda unakuta anapaki mahala penye mkusanyiko..au karibu na nyumba ya watu huku sauti ya mchiriku,taarab,bolingo,mahubiri,n.k kaifungulia hadi mwishooo!!!!!!!halafu yeye hana hata habari anaona sawa tuu
 
6.wale wadada wanaokaa baa wakisubiri ofa
7.Wadada wanaobebana pindi mwenzao kapata ofa kwa jamaa yake na yeye anachukua rafiki zake kwenda kwenye hiyo ofa
 
Yaani kuna walimu wanakera, hasa wa biolojia, unakuta anafundisha kuhusu viungo vya uzazi badala ya kuvua nguo awaonyeshe wanafunzi yeye anachora tu mapicha ubaonì.
 
Tuko tofauti..unakuta mtu anatafuna karanga akimaliza anatia vidole mdomoni anaanza kujichokonoa anatoa mabaki halafu anatia tena mdomoni!
 
KUKOHOA KOHOZI ZITO NA KULIVUTA KWA MADAHA HALAFU UNALITEMA CHINI PUUUU!!


(Tabia hii anayo Kongosho !!! LO !! (joke!!!))

Bora ya huyo anayetema, kuna wengine huwa wanakohoa lile kohozi zito, analiviringisha kimadaha mdomoni na kisha analimeza tena. Anapofanya yote hayo kama kuna stori alikuwa anapiga atasimama kwanza kwa muda.
 
jitu linatafuna banzoka chwa chwa chwa mate yanaruka kila sehem unakta mt kaja kwenye ofc yako anakuongelesha,na earphone masikion aghrrr domo linanukaa
 
Au kuna ile tabia mtu anakuna pu.mbu zake alafu anatoa mkono uko chini kisha anaunusa...
 
Back
Top Bottom