SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Au kuna ile tabia mtu anakuna pu.mbu zake alafu anatoa mkono uko chini kisha anaunusa...
Teh teh teh. Hivi hii si ndo Acid Test? Ndo maana huwa sipendi kusalimiana kwa kushikana mikono.
Au kuna ile tabia mtu anakuna pu.mbu zake alafu anatoa mkono uko chini kisha anaunusa...
@ Sizinga kwani siku hizi watu wanajamba?nakumbuka mara ya mwisho ni Primary ndo hayo matukio hayaishi..nadhani ni diet zile zisizo na discipline
Tuko tofauti..unakuta mtu anatafuna karanga akimaliza anatia vidole mdomoni anaanza kujichokonoa anatoa mabaki halafu anatia tena mdomoni!
Hahahaah!! Jamani mna vituko ninyi.Nakumbuka wakati tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo, rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia yuuusuuufuuuuu...!!
Jamani yaani kwenye hili nashindwa kujikaza sometimes nakuambia ukichukia basi
But ni tabia gani mtu mzima kkukaa kuchokonoa pua na vidole?au kubeua bila hata ya kushow any excuse...?tujifunze jamani manners loh
Hahahaah!! Jamani mna vituko ninyi.
Kujamba mbele ya watu je?
Bora ya huyo anayetema, kuna wengine huwa wanakohoa lile kohozi zito, analiviringisha kimadaha mdomoni na kisha analimeza tena. Anapofanya yote hayo kama kuna stori alikuwa anapiga atasimama kwanza kwa muda.
Nakumbuka wakati tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo, rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia yuuusuuufuuuuu...!!

wanawake kufungia madela yao [magauni makubwa kwenye chup zao ] then kila saa wana vutavuta chup zao