na vip kujichokonoa meno eti kwa vile kala nyama halafu domo lote analiacha wazi kama mamba!
Tuko tofauti..unakuta mtu anatafuna karanga akimaliza anatia vidole mdomoni anaanza kujichokonoa anatoa mabaki halafu anatia tena mdomoni!
Teh teh teh. Hivi hii si ndo Acid Test? Ndo maana huwa sipendi kusalimiana kwa kushikana mikono.
Nakumbuka wakati tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo, rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia yuuusuuufuuuuu...!!
Sipendi tabia unazungumza na mtu hajisikii raha mpaka akuguse guse bega au nuwe mnagonga mikono kila mara
kama jacob zuma?.Mimi nachukia kule kufanya mambo ya 6kwa6 magoli kadhaa bila kwenda kuoga, napenda kila goli unaenda kuoga yaani kila goli na usafi wake!
Mi sipendi vimbelembele ambao mambo wafanye wengine kwa starehe yao alafu wao wajifanye kukereka. Wewe kama mtu akichokonoa mapua yake mwenyewe we kinakuuma nini pumbav! Nyie ndo wastaarabu mbele za watu afu mkiwa peke xenu mnajitia dole mnanusa.
Nenda zako bhana!!!!!
Ndo ukajinyyeee huko maliwatoni usinawe makalio na mikono uje utunukishe mi vima yako usiambiwe kisa hujanawa kwa starehe zako!!!!!
Halafu kono hilohilo usalimie wenzako ukienda kwa mangi dukani ushike friji pale nje na wengine waje washike tena!!!!!!!
Yaaani mphamvu upitishe hewa mlango wa nyuma kwenye daladala usiambiwe kisa starehe yako!!!!???????
Asante maana nilikuwa nawaza cha kumjibu@OLESAIDIMU
Tuko tofauti..unakuta mtu anatafuna karanga akimaliza anatia vidole mdomoni anaanza kujichokonoa anatoa mabaki halafu anatia tena mdomoni!