[emoji1787][emoji1787] kuna taahira pale juu kasema kwa sababu ya umaskini...kwa sehemu nakubaliana nae. Mtu ambaye hapokei namba ngeni ni yule aliyeridhika, hana shida hata kama ni simu ya dili haimpi presha kama lipo lipo tu na kama halipo atapata wakati mwingine. Akina sie wasaka tonge ni ngumu sana kuwa na misimamo ya hivyo maana unawaza labda ni simu ya interview, au mteja wa maparachichi, au watu wa vicoba wanadai deni mradi tafrani[emoji1787][emoji1787]. Lakini mtu anajua akipigiwa simu ni kuombwa hela, kuombwa kazi, kukopwa, mara afisa mikopo wa benki anamshawishi achukue mkopo, mara ofisini kuna wageni ni halali akwepe namba ngeni...ila mimi hapa hata kama babe yuko kifuani ikiingia simu namba ngeni namwambia tu-pause kwanza nipokee simu (hapa nimetania tu jamani[emoji16][emoji16])