Suala la Kutopokea simu/ SMS kwa namba ngeni kwangu naona si sahihi labda kama itakuwa umejiridhisha vya kutosha kuwa una sababu ya Kufanya hivyo.Kwenye maisha kila mtu kajiwekea principles zake na utaratibu wa Maisha.. Ni sahihi sana lakini Kuna vingine vinahitaji Utashi wa kibinadamu kung'amua Hasara na Faida zake.
Kuna watu wamejiwekea utaratibu kwamba Hata iweje, Basi Namba ngeni itapiga sana na kamwe hatopokea.. Sijui ni madeni au basi tu hataki lakini ndo alivyoniwekea.. Hii iko pande zote kwa Baadhi ya wanaume na Wanawake.. Wanawake wengi wanasema wao huepuka Usumbufu kwani mara nyingi huwa ni wanaume wakware wanaotaka penzi lao.
Dhana hii kwa upande mmoja ni sahihi.. Lakini Je, huoni haja ya kumsikia anayekupigia ni nani kabla huja ignore? Na unakuta wewe ni mfanyabishara, mfanyakazi na pengine Mtafutaji wa kazi ume apply huko na huko.. Sasa umepigiwa simu ya interview na hupokei unataka uje kumlaum nani?
Juzi Mtu wangu wa karibu Kapigiwa sana simu Kwa namba mpya na hakuipokea maksudi kabisa zaidi ya mara nne.. Huku akibetua mdomo "Wanaume bana huyu nae anataka kunisumbua tu" Lakini baadae kupitia Namba hyo hiyo akatumiwa Msg Kwamba Kaka yake kafariki kwa Ajali.. Ndo akaanza kutoa vilio kama punda mwenye Njaa
Wakati mwingine tuangalie misimamo yetu kama ina tija kwenye Maisha.
Haaaaaahaaaaa wewe usalama mwenzangu asee!Napokea nasikiliza utoe malezo kwanza wewe, na usipoongea tutaendelea kuhema hapo mpaka dakika zitakushia utakata.
Kwani ukimtumia meseji huo ujumbe haupati au hadi mzungumze….wengine hawapendi kuongea
Mimi hii ndio principle yangu namba ngeni huwa sipokei kabisa.
Huu utaratibu naupenda na siuachi kamwe.
Najiambiaga kama una la muhimu sana kuniambia utanitumia message.
Na kama hujatuma message najua huyu hakuwa na jambo la msingi ndio maana hajanitumia message.
Ila kwa ujumla kabisa sipendi kupokea simu kabisa, kuna siku ntapokea na tutaongea vizuri ila kuna siku sipendi kupokea kabisa hata kama naijua namba yako.
Cha ajabu ukituma texts tutachati kabisa na nitaanza kutunga sababu za kukwambia kwanini sikupokea simu yako.
Japo ni tabia ya ajabu kabisa yaani unaona kabisa simu inaita na jina unaliona lakini badala ya kupokea unaanza kutunga uongo wa kudanganya kwanini hukupokea.
Na ikinilazimu sana nitakupigia huku nikiomba kimoyomoyo usipokeee yaani ikiita tu mara 2 nakata, kuweka ushahidi kuwa hata mimi nilikupigia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1].
Ila kuna watu wanaudhi sana wanaweza kukupigia simu saa 12 asubuhi alafu hawana hata cha maana kukwambia.
Mimi naanza kupokea simu kuanzia saa tatu asubuhi (9:00AM) kwa siku za kazi na saa tano(11:00AM)siku za WeekEnd na Public Holiday.
Sio dharau wala kiburi ila ndio Principle yangu tu japo najua kuna wakati nakosea sana kufanya hivi, ila kwenye maisha lazima uwe na Principle zako na uweze kuzisimamia.
Suala la Kutopokea simu/ SMS kwa namba ngeni kwangu naona si sahihi labda kama itakuwa umejiridhisha vya kutosha kuwa una sababu ya Kufanya hivyo.
Ngoja nikupe kisa kimoja:-
Kuna Mwanasiasa hapa hapa Bongo Alikuwa kwenye moja ya vikao pamoja na wenzake, Ghafla ikaingia SMS jamaa kuisoma tu, akakuta inasema "........ Usiendelee kunywa hayo maziwa yana sumu utakufa" Just imagine kama jamaa angedharau ike meseji unadhani nini kingetokea!
Tupokee na tusome jumbe tunazotumiwa inaweza kuwa inaokoa maisha yako au ya mtu fulani
Me simu yangu hainaga mlio kabisa wala vibration muda wote ni mwanga tu sababu nilkuwa nikisema nalala basi sitaki cm yoyote ...ila kuna siku niko home maza ni mgonjwa usiku nikasema wacha nilale ..mtu kazidiwa kapiga cm mara 20 haipokelewi na mm ndo nipo karbu alikuwa hata kuinuka hawezi anataka maji tu na dawa ....badae unawaza unasema huu ni ujinga bora niwekege mlio tu niache kujidai ...haya na yule anaesema et sa nne usiku anazima simu😁😁 daaa ila masikini wanashida sana
baba tochi nyingi mzee wanguKwenye maisha kila mtu kajiwekea principles zake na utaratibu wa Maisha.. Ni sahihi sana lakini Kuna vingine vinahitaji Utashi wa kibinadamu kung'amua Hasara na Faida zake.
Kuna watu wamejiwekea utaratibu kwamba Hata iweje, Basi Namba ngeni itapiga sana na kamwe hatopokea.. Sijui ni madeni au basi tu hataki lakini ndo alivyoniwekea.. Hii iko pande zote kwa Baadhi ya wanaume na Wanawake.. Wanawake wengi wanasema wao huepuka Usumbufu kwani mara nyingi huwa ni wanaume wakware wanaotaka penzi lao.
Dhana hii kwa upande mmoja ni sahihi.. Lakini Je, huoni haja ya kumsikia anayekupigia ni nani kabla huja ignore? Na unakuta wewe ni mfanyabishara, mfanyakazi na pengine Mtafutaji wa kazi ume apply huko na huko.. Sasa umepigiwa simu ya interview na hupokei unataka uje kumlaum nani?
Juzi Mtu wangu wa karibu Kapigiwa sana simu Kwa namba mpya na hakuipokea maksudi kabisa zaidi ya mara nne.. Huku akibetua mdomo "Wanaume bana huyu nae anataka kunisumbua tu" Lakini baadae kupitia Namba hyo hiyo akatumiwa Msg Kwamba Kaka yake kafariki kwa Ajali.. Ndo akaanza kutoa vilio kama punda mwenye Njaa
Wakati mwingine tuangalie misimamo yetu kama ina tija kwenye Maisha.
ni utaratibu binafsi tu kila mtu anawake
hata angepokea mwanzoni kaka asingepona
mimi simu ya mawasiliano nawasha saa 4 asubuhi nazima saa 2
watu wangu wote washazoea.
DuuuuhSuala la Kutopokea simu/ SMS kwa namba ngeni kwangu naona si sahihi labda kama itakuwa umejiridhisha vya kutosha kuwa una sababu ya Kufanya hivyo.
Ngoja nikupe kisa kimoja:-
Kuna Mwanasiasa hapa hapa Bongo Alikuwa kwenye moja ya vikao pamoja na wenzake, Ghafla ikaingia SMS jamaa kuisoma tu, akakuta inasema "........ Usiendelee kunywa hayo maziwa yana sumu utakufa" Just imagine kama jamaa angedharau ike meseji unadhani nini kingetokea!
Tupokee na tusome jumbe tunazotumiwa inaweza kuwa inaokoa maisha yako au ya mtu fulani
Nasimama na wewe katika hili ila ni vile nazi mbovu ni haramu kwa nzima wengi wao huwa wana uwezo wa kukutext vizuri tu ila wanafanya kusudi anyway umeona haikupokelewa au imekatwa kwa mara tatu mfululizo why usiwe na subira kwanza mpaka uniulie betri ya simu yangu? Kwa kweli tunawahukumu wachache kwa uhuni wa wengi japo kimazoea si vizuri ila nami huwa na sababu muhimu pia ya kutokupokea on timeNdio maana nimesema ninyi wenye tabia hizi ni watu fulani wa matawi ya juu... mfano mimi kuna ndugu zangu hawajui kusoma, mama yangu anajua kiasi ila kuandika meseji hajui sasa nikianza tabia hizi si itakuwa tabu? Halafu mtu anaweza kuwa na dakika ila hana sms
You could be sick. Jaribu kumowna daktari.
kwa bahati nzuri mfano uliotoa ushawahi nitokea ila kinyume chake ,niliwahi kupigiwaHuu ni msimamo wa malimbukeni,siku utazingirwa na majambazi hapo nyumbani unapigiwa simu ujinasue wew ndo kwanza hupokei,hadi wakufuturu ndani ndo akili itakukaa vzri nyau
Haaaaaaaa mkuu bilashaka wewe Ni mwana-SUASO, dark city nomaa Sana kule, Mauki, barakudaSiogopi kupokea simu yangu hata upige kwa namba ya nchi gani.
Nakumbuka mwaka 2014 niliomba kazi Tumbaku Morogoro, nikaambiwa nitapigiwa simu kwa ajili ya interview. Kila sehemu nilikuwa naenda na simu mpaka wakati wa kuoga.
Siku nikasahau kwenda nayo bafuni, na nilipokuwa nakaa ni uswahilini hasa Mazimbu Dark City wapangaji wanafungulia sabufa mpaka bati zinapiga kelele. Kuingia ndani nakuta missed call ya namba ya simu ya mezani kila nikipiga hakuna mafanikio. Ikabidi nimcheki jamaa niliyeomba naye ndio akaniambia wamepiga simu za interview.
Tunafanana kwa yote isipokuwa muda wa kupokea simu tuMimi hii ndio principle yangu namba ngeni huwa sipokei kabisa.