Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

Kwangu Mimi nimekuwa nikilalamikiwa mara kwa mara na ndugu na jamaa..."sipendi kuongea kwenye simu sijui ni kwann japo kiasili sio muongeaji sana pia, napenda kutumia sms kwa mawasiliano"

Nadhani hii ndo asili yangu, japo walio wengi wanahc vinginevyo.
 
mimi namba ngeni ikipiga hua naitext ijitambulishe kwanza maana kupitia namba ngeni wengi wamedhurika.
 
Kusema kweli ata Mimi sio mpenzi wa namba ngeni madeni plus michango isiyo na kichwa Wala mguu.

Me napenda kukata na kumwambia mhusika anitumie mesage.
 
Back
Top Bottom