Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

[emoji1787][emoji1787] kuna taahira pale juu kasema kwa sababu ya umaskini...kwa sehemu nakubaliana nae. Mtu ambaye hapokei namba ngeni ni yule aliyeridhika, hana shida hata kama ni simu ya dili haimpi presha kama lipo lipo tu na kama halipo atapata wakati mwingine. Akina sie wasaka tonge ni ngumu sana kuwa na misimamo ya hivyo maana unawaza labda ni simu ya interview, au mteja wa maparachichi, au watu wa vicoba wanadai deni mradi tafrani[emoji1787][emoji1787]. Lakini mtu anajua akipigiwa simu ni kuombwa hela, kuombwa kazi, kukopwa, mara afisa mikopo wa benki anamshawishi achukue mkopo, mara ofisini kuna wageni ni halali akwepe namba ngeni...ila mimi hapa hata kama babe yuko kifuani ikiingia simu namba ngeni namwambia tu-pause kwanza nipokee simu (hapa nimetania tu jamani[emoji16][emoji16])
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kuna watu tuna hali ngumu tu za maisha ila hiyo tabia tunayo.

Ila hiyo sentensi ya mwanzo nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupokea simu iwe namba ngeni au ya zamani+kutuma sms(kuchat) kwangu mtihani.
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kuna watu tuna hali ngumu tu za maisha ila hiyo tabia tunayo.

Ila hiyo sentensi ya mwanzo nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna hali ngumu...niamini mimi. Mtu huwezi kuwa na hali ngumu, umesambaza cv kila ofisi unayoiona na kutangaza biashara yako ya vitumbua kwenye mbao zote za matangazo halafu useme sipokei namba ngeni??? Thubutu
 
Eti vilio vya punda mwenye njaaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka mtoa mada n mwenyeji wa manyara mana uko punda wana kila aina ya mlio.... Tatizo kuna watu wanapga cm utadhan una Figo yake miscal 36 unataka kuniambia nn
 
Mimi ukinibeep na namba ngeni imekula kwako.

We bado ni mtoto na huna majukumu..miaka mingi nyuma nilkuwa nikichukua cm yoyote niki mbip maza sa hiyo shule ya bweni alikuwa anapiga immediately hata kama hana vocha atakopa.... huwezi jua mtu kapatwa na nn na msaada wako unahitajika kiasi gani
 
Aisee, mimi huwa napokea ila sasa siongei chochote hadi ujitambulishe kwanza,nakua naskilizia itakua ni yule anayenidai ama vipi[emoji3]
 
Kwenye huu uzi nimegundua wachangiaji wengi ni watoto wameanza tumia simu kipindi kuna vifurushi Tigo extreme sisi tuliokuwa tunaweka dollar za kadi kwenye simu inatumika kama ilivyo huwa hatuna utoto huo
 
Mtu hukupokea simu yake after some time unamtext sorry nani? Anapiga,unaona isiwe kesi unamtext nilipo kuna kelele nyingi hatutoelewana anapiga tena,tena hata mara tano mfululizo....tuna ugomvi? Au tunakomoana aisee...natia block au blacklist kabisa utatafuta namba nyingine uje kwa adabu,yani mtu unapiga kwa namba ngeni na ukiulizwa nani unaleta ujuaji halafu hapo hapo unajikuta bedui
 
Ndio maana nimesema ninyi wenye tabia hizi ni watu fulani wa matawi ya juu... mfano mimi kuna ndugu zangu hawajui kusoma, mama yangu anajua kiasi ila kuandika meseji hajui sasa nikianza tabia hizi si itakuwa tabu? Halafu mtu anaweza kuwa na dakika ila hana sms
 
Huwa nashangaa sana Mkuu, Mtu mwingine unampigia kwa nia njema kabisa pengine kuna fursa ya kazi unataka kumpa.. Ama hata kumtumia taarifa nzuri lakini Hataki kupokea anataka sjui ukampigie magoti ndo apokee.. Huu ni ushamba tu
Kwani ukimtumia meseji huo ujumbe haupati au hadi mzungumze….wengine hawapendi kuongea
 
Mi nikipokea namba mpya basi kama sio kupigwa mzinga basi huyo mtu kakosea namba. Mnanishaurije wadau? Niendelee kupokea hizi namba mpya au?
 
Back
Top Bottom