Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Ajira zinatofautiana sana mkuuu....Labda useme tayari ana kazi, ukiwa umejiajiri si ndio kabisa connection muhimu? Au hiyo ajira yako inakuwa haina wateja au clients
Ajira zinatofautiana sana mkuuu....Labda useme tayari ana kazi, ukiwa umejiajiri si ndio kabisa connection muhimu? Au hiyo ajira yako inakuwa haina wateja au clients
kumbe ukijiajiri nndio hupokei simu za kikazi?Basi tuache iwe hasara ya mpokeaji ambaye hajataja kupokea..... Labda huyo Hajaomba kazi yoyote sasa kwa nn afikiri interview wkt kajiajiri😀😀