Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Ahahaha haya mambo haya kuna jamaa anasema hayana muongozo.

Kuna bidada huyo nlitokea kumkubali kinoma ,at first she was just a friend to me but nikaona she can make a good wife nikamu approach lakn akawa anasingizia ye bado ni mdogo kiumri that time yuko na 17 i think 2019 .

Basi muda unazidi songa nikawa nakumbushia, kuna muda nikaacha ,last time 2021 nikarudisha tena majeshi anakuja kuniambia anamtu ,daaaah nilidata nikahisi masiala dogo akakaza , kuna rafiki yake mmoja akanambia kuwa kweli dogo anamdau tayariii.

DAAAAH HIII STORY NIKO NAYO IMOSHONOOO SANAA

kufupisha story nikajisemea mwaka 2022 ndio mwaka wangu wa mwisho kufosi hii kitu kwake, December nlienda rekebisha gari karibu na hometown kwake nikakimbia mafundi niende kuzuga kwake huku mafundi wakikamilisha mzigo, nimefika pale nikampa salamu akajibu ile juu juuuu tuuu, nikawa nampa story no response nzuri toka kwake yuko busy na mambo yakee, nikamuuliza shida nn kwan mbona haupo Normal akajibu hamna kituuuu.

Ikabidi nijifanye nimepigiwaa simu nikaaga nikasepaa akajibu kinyongee hivo hivoooo.

From that day onwards nikaapa siji mtafuta huyu mtoto nikafunga kurasa mazima,
Nimeanza 2023 sijamcheki hajanichek after week kadhaa nikazoeaa ,siku zimepita hata akilin inaweza pita siku nisimuwazee.

Feb 10s alinipigia simu kwa sauti ya kinyonge sana, ANASEMA NAOMBA NISAMEHE KWA YALE nlokuambia mwaka jana (Huko nyuma ashai nambia hanipendi ,hawezi kuwa namie etc na maneno mengine magumu kama hayo na ashanambia several times ikafika kipindi nikawa naishi nayo nikayazoea) ,mie nikamwambia usiwazeee kuhusu hayo mbona ulisema ukweli uliomoyon mwako so huna haja ya kujutia maaana ulinichana ukweli mie ndio niamue kukaza fuvu.

Akashusha lawama kwann simtafuti kama zaman wala simpigiiii simu kama zaman ikabidi nimchane ukweli.

Nikamkumbusha kuwa kuna cku ile unakumbuka nimekuja kwako Afu hukuwa na time na mie akasema ndiyoo am sorry nlikuwa siko na mood siku hiyoo na blaaa blaaaah kibao , akaongeza tena usiniulize Kwann sikuwa na mood nikaona kanataka kuleta ukaribu ambao mie nishaacha kuutaka, siku entertain hayo maongez tukaaagana

Story yetu ikaishia hapo nikafunga ukurasa mazimaaa
Shikamoo mapenzi. Katoto ka 2005 kanaletea nyodo watafuta pesa kama ww
 
M huwa sitongozi kabisaaa,..nachukua namba ya demu namuelekeza tukutane location..ambayo naelewa kabisa Kuna chumba Cha kupumzikia...akija tu bas biashara imeisha....
 
M huwa sitongozi kabisaaa,..nachukua namba ya demu namuelekeza tukutane location..ambayo naelewa kabisa Kuna chumba Cha kupumzikia...akija tu bas biashara imeisha....
Duuuh hii approach inawezekana kweli? Au Kwakua mazingira yanatofautiana?

Sent from my CPH2333 using JamiiForums mobile app
 
M huwa sitongozi kabisaaa,..nachukua namba ya demu namuelekeza tukutane location..ambayo naelewa kabisa Kuna chumba Cha kupumzikia...akija tu bas biashara imeisha....
Hao ni malaya...wa hivyo hata mimi nakutana nao sana.
 
Shikamoo mapenzi. Katoto ka 2005 kanaletea nyodo watafuta pesa kama ww
Haya mambo hayana wenyewe hata wasakatonge tunakula makofi vilevile hayana huruma hayajali ni yatima, fukara, tajiri nk kikubwa nilichogundua ni kukubali hali halisi kuwa sipendwi
 
Daaaah sure kaka i was simping on her , i was just trying to act like a gentle, kumbe nikachelewa kwenye timing but kama umesoma fresh hapo miaka ya kati nilimpotezea baada ya kusema ye bado mdogo kiumri, 2021 hivi to 2022 ndio nika commit akaja nitolea nje kwa maneno makai ambayo hadi leoo hakuna mwanamke aliyewahi nambia daaah kuna muda najiona falaaa sana yan mtoto mdogo wa 2001 sijui hukoo kuniambia vileee sema ni zile za kusema ngoja nikomaee may be kesho atasomeka fresh lakn it was all in vain

Now sina story nae tena zaid ya kuview status with none commenting on one another post
Aisee me demu akiniambia sikutaki siwez mtafuta tena kwa sababu yoyote ile!!! Hawa wanawake tena hivi vitoto ukionesha kuvipenda sana ndo vinakuona boya😂 F mambo ya kutongozana na demu week nzima me ndo sijawahi kuweza😂😂 Mashangazi yapo mnahangaika nini😂😂😂
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
Kwani ukiandika kwa kutumia lugha moja hutokuwa msomi?
 
Nina dada yangu kuna kamakonde kalikua kanamfukuzia enzi hizo kanapigwa chini hakasikii, kwa mimi nilivoona kale ka jamaa kanampenda kweli sister maana kalikua kanataka kumuoa lakini kumbe sister alikua na li jamaa Lake liko mkoani.

Sasa lile jamaa lilimtorosha sister, tulimtafuta sana mpaka tukachoka ila alikua anapatikana kwenye sim ila ukipiga hapokei, mzee akamtumiaga txt ukipata tatizo nisihusishwe me sio mzazi wako tena,, ndo sister akapiga sim akasema ukweli yupo mkoa X na jamaa fulan.

Ikabidi wafungushwe ndoa ya mkeka waishi tu maana sister alikua haelewi kwa lile jamaa sijui lilimroga!! Wameishi wakapata mtoto wa kike baadae sjui hata kikatokea nn jamaa akamkimbia sister akamuachia na kila kitu wakaja kuachana.

Sasa baada ya kuachana dada akaendelea na maisha yake baadae yakamshinda akarudi hom, baada ya kurudi kakaa kama mwaka kale kamakonde wakawa wanawsiliana, yule mmakonde anataka amuoe yaani hajakataga tamaa!! Moyoni nikasema huyu kichwani ni chizi yaani dem alikukataaga akaolewa kazalishwa huko kaachika bado unaendlealea kumfukuzia!!

Mwisho wa siku yule mmakonde alimuoa sister (single maza) mpaka leo wanaishi na jamaa analea na yule mtoto ambae sio wake.

Kwahyo ni kweli wanawake wanajua kabisa watu wanaowapenda kweli ila wanapenda kujaribu kwa watu wasio sahihi yakiwashinda huko ndo wanajirudi huku
Wanawake wanawajua wanaume wajinga ndo maana wanajua hata wakipigwa matukio na wanaume wajanja waturudi kwa wanaume wajinga na milango Iko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Hapo ndipo ulipokosea na hapo ndipo anapokuona mnyonge wake.

Ukweli unauma lkn humuweka mtu uhuru.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
Aisee ,pole sana kijana .
 
japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Hapo ndipo ulipokosea na hapo ndipo anapokuona mnyonge wake.

Ukweli unauma lkn humuweka mtu uhuru.
ningemuonesha angefanya zaidi
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.
Brother, unajiita an alpha male, Alpha Male ni neno linalotumiwa kuelezea mwanaume mwenye tabia za uongozi, ambaye ana uwezo wa kuwavutia wanawake na kufanya maamuzi bora. Kwa hivyo, unapojitambulisha kama Alpha Male, unatarajiwa kuwa na uhakika wa kibinafsi na kuwa na uwezo wa kuvumilia kukataliwa na wanawake.

Kwa hivyo, kwa nini unamjali sana mwanamke ambaye amekukataa zamani? Kwanini unamruhusu afanye drama kwa sababu tu amekukataa? Kama Alpha Male, unatarajiwa kuwa na nguvu na kujiamini, na kutambua kwamba kukataliwa sio kitu kikubwa.

Kwa kuzingatia ujumbe wako, inaonekana kuwa unampenda mwanamke huyo lakini huna uhakika juu ya uhusiano wako naye. Kama Alpha Male, unahitaji kuwa na ujasiri na kujiamini katika maamuzi yako ya kimapenzi.

Wakati mwingine, wanawake wanakataa wanaume ambao kweli wanawapenda kwa sababu wanatafuta mtu ambaye anaendana na mtindo wao wa maisha. Kwa hivyo, kama mwanaume, unahitaji kutambua kwamba kukataliwa sio lazima iwe mwisho wa ulimwengu, na kwamba unaweza kumpata mtu ambaye atakupenda kwa heshima na upendo.

Kwa ufupi, kama Alpha Male, unahitaji kuwa na uhakika wa kibinafsi na kuwa na uwezo wa kuvumilia kukataliwa. Usiruhusu mwanamke ambaye amekukataa kukuzuia kufikia mafanikio yako katika maisha na mapenzi. Kuwa mwanaume wa kweli, kujiamini na ujasiri, na utapata mafanikio ya kimapenzi.
 
Ukweli ni kwamba sikutaka ligi na wewe kwa vile kuna ka harufu cha heshimu huwa nakupa lakini uzi ulikuwa wa kitoto zaidi.

Nyerere alicheza bao kama sehemu ya kupumzisha akili.

Mtaalam wa sayansi Makamu wa rais mstaafu Bilal ni mcheza gemu maarufu kama sehemu ya kupooza ubongo...hao ni mafala?

Hawa wote tuliojazana MMU na kujadili mapenzi nk tuna kazi zetu ambazo mtaani zinatupasua vichwa na kuota kipara.

Tukiingia mmu unakutana na Aaliyyah
To yeye Depal wanavyojiachia kimasihara mioyo inaburudika na tunajisikia kuwa na nguvu mpya ya kazi.

Hivi unafikiri wote wanaokaa vijiwe vya kahawa na kubishana siasa na mpira ni wajinga na jobless? Hapana...wanapooza ubongo baada ya kazi ngumu za akili
Sahih Bab askofu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom