Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Ahahaha haya mambo haya kuna jamaa anasema hayana muongozo.

Kuna bidada huyo nlitokea kumkubali kinoma ,at first she was just a friend to me but nikaona she can make a good wife nikamu approach lakn akawa anasingizia ye bado ni mdogo kiumri that time yuko na 17 i think 2019 .

Basi muda unazidi songa nikawa nakumbushia, kuna muda nikaacha ,last time 2021 nikarudisha tena majeshi anakuja kuniambia anamtu ,daaaah nilidata nikahisi masiala dogo akakaza , kuna rafiki yake mmoja akanambia kuwa kweli dogo anamdau tayariii.

DAAAAH HIII STORY NIKO NAYO IMOSHONOOO SANAA

kufupisha story nikajisemea mwaka 2022 ndio mwaka wangu wa mwisho kufosi hii kitu kwake, December nlienda rekebisha gari karibu na hometown kwake nikakimbia mafundi niende kuzuga kwake huku mafundi wakikamilisha mzigo, nimefika pale nikampa salamu akajibu ile juu juuuu tuuu, nikawa nampa story no response nzuri toka kwake yuko busy na mambo yakee, nikamuuliza shida nn kwan mbona haupo Normal akajibu hamna kituuuu.

Ikabidi nijifanye nimepigiwaa simu nikaaga nikasepaa akajibu kinyongee hivo hivoooo.

From that day onwards nikaapa siji mtafuta huyu mtoto nikafunga kurasa mazima,
Nimeanza 2023 sijamcheki hajanichek after week kadhaa nikazoeaa ,siku zimepita hata akilin inaweza pita siku nisimuwazee.

Feb 10s alinipigia simu kwa sauti ya kinyonge sana, ANASEMA NAOMBA NISAMEHE KWA YALE nlokuambia mwaka jana (Huko nyuma ashai nambia hanipendi ,hawezi kuwa namie etc na maneno mengine magumu kama hayo na ashanambia several times ikafika kipindi nikawa naishi nayo nikayazoea) ,mie nikamwambia usiwazeee kuhusu hayo mbona ulisema ukweli uliomoyon mwako so huna haja ya kujutia maaana ulinichana ukweli mie ndio niamue kukaza fuvu.

Akashusha lawama kwann simtafuti kama zaman wala simpigiiii simu kama zaman ikabidi nimchane ukweli.

Nikamkumbusha kuwa kuna cku ile unakumbuka nimekuja kwako Afu hukuwa na time na mie akasema ndiyoo am sorry nlikuwa siko na mood siku hiyoo na blaaa blaaaah kibao , akaongeza tena usiniulize Kwann sikuwa na mood nikaona kanataka kuleta ukaribu ambao mie nishaacha kuutaka, siku entertain hayo maongez tukaaagana

Story yetu ikaishia hapo nikafunga ukurasa mazimaaa
Ulifanya vyema mzee...
 
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
Kweli sisi tunaouzulia Vikao vya wanaome waliosoma CUBA na VENEZUELA haya mambo hayatusumbui kabsaaa!😉😉
 
Nina dada yangu kuna kamakonde kalikua kanamfukuzia enzi hizo kanapigwa chini hakasikii, kwa mimi nilivoona kale ka jamaa kanampenda kweli sister maana kalikua kanataka kumuoa lakini kumbe sister alikua na li jamaa Lake liko mkoani.

Sasa lile jamaa lilimtorosha sister, tulimtafuta sana mpaka tukachoka ila alikua anapatikana kwenye sim ila ukipiga hapokei, mzee akamtumiaga txt ukipata tatizo nisihusishwe me sio mzazi wako tena,, ndo sister akapiga sim akasema ukweli yupo mkoa X na jamaa fulan.

Ikabidi wafungushwe ndoa ya mkeka waishi tu maana sister alikua haelewi kwa lile jamaa sijui lilimroga!! Wameishi wakapata mtoto wa kike baadae sjui hata kikatokea nn jamaa akamkimbia sister akamuachia na kila kitu wakaja kuachana.

Sasa baada ya kuachana dada akaendelea na maisha yake baadae yakamshinda akarudi hom, baada ya kurudi kakaa kama mwaka kale kamakonde wakawa wanawsiliana, yule mmakonde anataka amuoe yaani hajakataga tamaa!! Moyoni nikasema huyu kichwani ni chizi yaani dem alikukataaga akaolewa kazalishwa huko kaachika bado unaendlealea kumfukuzia!!

Mwisho wa siku yule mmakonde alimuoa sister (single maza) mpaka leo wanaishi na jamaa analea na yule mtoto ambae sio wake.

Kwahyo ni kweli wanawake wanajua kabisa watu wanaowapenda kweli ila wanapenda kujaribu kwa watu wasio sahihi yakiwashinda huko ndo wanajirudi huku
Daaah ebwana hizi species sijui huwa zinawazaga nini kujaribu, na mara nyingi huwa wanapotea kila wakijaribu hii tabia inawatafuna sana.
 
"Women know the man who truly loves them, but sometimes, for the search of their lifestyle, reject the man who truly loves them and end up in regrets."

Hii lugha hii. Hata hapa naona bado nimechapia tu!
I think he meant

"A woman recognizes a man she truly loves, but in order to find someone who will satisfy his lifestyle, she rejects him and ends up in regret".
 
Nyie ma 'alpha male' mnajua sana mambo sijui ya emotional intelligence, sijui hypergamy......kumbe wote mmepigwa matukio, mnasikilizia maumivu miaka mingi down the line....

Bullshit.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
Ukitaka uish vzur.. acha lawama.. kila mtu ana hak ya kupenda. Sasa umemtongoza hajakupenda kapenda mwingne.. inakua dhambi?.. ukiona karud kwako tena ujue unaenda tumika tu . Vijana someni alama za nyakat
 
Back
Top Bottom