Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu..

Ndo nachokifanya mimi.Na bandiko hili linanihusu sana tu.Hadi sasa wadada 4 niliotaka kuwaoa tena kwa heshima zote wamezalishwa na kuachwa et now wananibana niwaoe, hah wanacheza hawa.
Ooooza hizi chance ni tamu sana

One of a kind usizingue sasa na

Kwenye uzi wetu pendwa uende kule kutupiamo visa mkuu
 
kiumbe anayeitwa mwanamke... binti/msichana unahitaji akili tu kuishi naye, nje ya hapo utajuta na kupoteza focus ya maisha kama mwanaume.. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, Mwanaume ameumbwa kwa ajili ya Mungu sio mwanamke... amka usingizini..
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;

moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...

ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa,,,,,

life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

but kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi

my point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."

ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.

sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.
Ahahaha haya mambo haya kuna jamaa anasema hayana muongozo.

Kuna bidada huyo nlitokea kumkubali kinoma ,at first she was just a friend to me but nikaona she can make a good wife nikamu approach lakn akawa anasingizia ye bado ni mdogo kiumri that time yuko na 17 i think 2019 .

Basi muda unazidi songa nikawa nakumbushia, kuna muda nikaacha ,last time 2021 nikarudisha tena majeshi anakuja kuniambia anamtu ,daaaah nilidata nikahisi masiala dogo akakaza , kuna rafiki yake mmoja akanambia kuwa kweli dogo anamdau tayariii.

DAAAAH HIII STORY NIKO NAYO IMOSHONOOO SANAA

kufupisha story nikajisemea mwaka 2022 ndio mwaka wangu wa mwisho kufosi hii kitu kwake, December nlienda rekebisha gari karibu na hometown kwake nikakimbia mafundi niende kuzuga kwake huku mafundi wakikamilisha mzigo, nimefika pale nikampa salamu akajibu ile juu juuuu tuuu, nikawa nampa story no response nzuri toka kwake yuko busy na mambo yakee, nikamuuliza shida nn kwan mbona haupo Normal akajibu hamna kituuuu.

Ikabidi nijifanye nimepigiwaa simu nikaaga nikasepaa akajibu kinyongee hivo hivoooo.

From that day onwards nikaapa siji mtafuta huyu mtoto nikafunga kurasa mazima,
Nimeanza 2023 sijamcheki hajanichek after week kadhaa nikazoeaa ,siku zimepita hata akilin inaweza pita siku nisimuwazee.

Feb 10s alinipigia simu kwa sauti ya kinyonge sana, ANASEMA NAOMBA NISAMEHE KWA YALE nlokuambia mwaka jana (Huko nyuma ashai nambia hanipendi ,hawezi kuwa namie etc na maneno mengine magumu kama hayo na ashanambia several times ikafika kipindi nikawa naishi nayo nikayazoea) ,mie nikamwambia usiwazeee kuhusu hayo mbona ulisema ukweli uliomoyon mwako so huna haja ya kujutia maaana ulinichana ukweli mie ndio niamue kukaza fuvu.

Akashusha lawama kwann simtafuti kama zaman wala simpigiiii simu kama zaman ikabidi nimchane ukweli.

Nikamkumbusha kuwa kuna cku ile unakumbuka nimekuja kwako Afu hukuwa na time na mie akasema ndiyoo am sorry nlikuwa siko na mood siku hiyoo na blaaa blaaaah kibao , akaongeza tena usiniulize Kwann sikuwa na mood nikaona kanataka kuleta ukaribu ambao mie nishaacha kuutaka, siku entertain hayo maongez tukaaagana

Story yetu ikaishia hapo nikafunga ukurasa mazimaaa
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...

Ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only. Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."

Ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.

Sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.
Alikuwa anakupenda sema ulikuwa huna hela. I gues kuna mstafu kamla na kumpa mimba kama sio Mstafu basi ni mume wa mtu.
 
ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed
Nilikuwa siamini kuwa mafeelings huwa yana disappear baada ya muda saiv kuna mabidada nlokuwa nawachombeza miaka hiyo hadi naona kwan pale nilikuwa nataka nn hasa,huyu mwanamke hakustahili muda wangu kabisaa
 
Ahahaha haya mambo haya kuna jamaa anasema hayana muongozo.

Kuna bidada huyo nlitokea kumkubali kinoma ,at first she was a just a friend to me but nikaona she can make a good wife nikamu approach lakn akawa anasingizia ye bado ni mdogo kiumri that time yuko na 17 i think 2019 .

Basi muda unazidi songa nikawa nakumbushia, kuna muda nikaacha ,last time 2021 nikarudisha tena majeshi anakuja kuniambia anamtu ,daaaah nilidata nikahisi masiala dogo akakaza , kuna rafiki yake mmoja akanambia kuwa kweli dogo anamdau tayariii.

DAAAAH HIII STORY NIKO NAYO IMOSHONOOO SANAA

kufupisha story nikajisemea mwaka 2022 ndio mwaka wangu wa mwisho kufosi hii kitu kwake, December nlienda rekebisha gari karibu na hometown kwake nikakimbia mafundi niende kuzuga kwake huku mafundi wakikamilisha mzigo, nimefika pale nikampa salamu akajibu ile juu juuuu tuuu, nikawa nampa story no response nzuri toka kwake yuko busy na mambo yakee, nikamuuliza shida nn kwan mbona haupo Normal akajibu hamna kituuuu.

Ikabidi nijifanye nimepigiwaa simu nikaaga nikasepaa akajibu kinyongee hivo hivoooo.

From that day onwards nikaapa siji mtafuta huyu mtoto nikafunga kurasa mazima,
Nimeanza 2023 sijamcheki hajanichek after week kadhaa nikazoeaa ,siku zimepita hata akilin inaweza pita siku nisimuwazee.

Feb 10s alinipigia simu kwa sauti ya kinyonge sana, ANASEMA NAOMBA NISAMEHE KWA YALE nlokuambia mwaka jana (Huko nyuma ashai nambia hanipendi ,hawezi kuwa namie etc na maneno mengine magumu kama hayo na ashanambia several times ikafika kipindi nikawa naishi nayo nikayazoea) ,mie nikamwambia usiwazeee kuhusu hayo mbona ulisema ukweli uliomoyon mwako so huna haja ya kujutia maaana ulinichana ukweli mie ndio niamue kukaza fuvu.

Akashusha lawama kwann simtafuti kama zaman wala simpigiiii simu kama zaman ikabidi nimchane ukweli.

Nikamkumbusha kuwa kuna cku ile unakumbuka nimekuja kwako Afu hukuwa na time na mie akasema ndiyoo am sorry nlikuwa siko na mood siku hiyoo na blaaa blaaaah kibao , akaongeza tena usiniulize Kwann sikuwa na mood nikaona kanataka kuleta ukaribu ambao mie nishaacha kuutaka, siku entertain hayo maongez tukaaagana

Story yetu ikaishia hapo nikafunga ukurasa mazimaaa
Interesting
 
Kwaiyo since 2019 to 2023 hukumla ulikuwa unamsimp tu 🤣🤣🤣🤣🤣 daaah

We ni fala sana mkuu
 
Usijpojiangalia utajikuta unaenda kula makombo tena.

Harafu nyie mnataka shida wenyewe mnatongoza watoto wa 17yrs mnataka stress za bure hao hawajui kitu
 
Back
Top Bottom