Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
Katika maisha yangu, wamejaribu kurudi kwangu wengi, lakini ikawa too late. Wanakosea timing sana.
 
Sure kwenye timing hapo ndo wanapopotea...wanakuta wewe ulisha move on kitambo
Mmoja nikiwa chuoni, nilimpenda sana na nilikuwa serious kinyama. Alinipa Majibu mabaya sana, mwili ulipoa jumla, kibaya zaidi msela mwingine akawa anakula Kwa ubua. Baada ya miaka miwili alituma mtu aje kuniomba niwe nae, nilikataa, Hadi Leo hajaolewa. Umri umesonga sana.
 
Daah sio poa...kweli adui wa mwanamke n mwanamke mwenyewe
 
Maisha gani watakayompa ,mtu mjinga Hana maisha tumia akili hata za primary mkuu
hii ni kweli kabisa mkuu "mtu mjinga hana maisha" kuna mwanamke nikiwahi kuachana nae na kunionesha amepata bwana mwenye maisha( gari) mume wa mtu ambaye alizaaga nae back ikawa kama wamerudiana! nikaona sawa tu kwa kuwa sikuwa nimemuoa. sasa akawa analeta dharau. kwa kuwa ni mwanamke mjinga. mpaka leo hajawezeshwa cha maana zaidi ya kununuliwa Infinix na suruale za el20
ameajiriwa kwenye kisaloon kwa mwezi mshahara haufiki hata 200k inshort ana maisha magumu. huwa nikikutana nae anajibebisha turudiane kwa kigezo yule ni mume wa mtu mimi nakupenda wewe
sasa huyu hana akili
kwa muktadha huo hata akiwezshwa hamna atakachofanya mpaka huo umri alio nao wa miaka 29. hajajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado Sana ktk uandishi dogo Kuna vitu vyingin unatakiwa uviandike Kila mtu aelewa unapenda kutumia lugha ngen but ailet Mantic yeyot so try to use only language then you what happen, oya dogo bado katika uandishi zingatia maneno ayo yakufundisha kitu....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Makubwa ya firauni
 
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
Mbona wengine ukikomaa wanakubali ukiwatongoza,
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
Mbona wengine ukikomaa wanakubali ukiwatongoza, afu unamlaje mtu hujamtongoza, wengine hawaliwi kimasikhara
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
She thinks ur a nice guy. To ladies a nice guy is a foolish guy. Don't get her back to ur life atakudharau mno.

Litendee haki jina la avatar y'ako mkuu
 
Hiyo si wanawake tu hata wanaume ipo hutokea pia.
 
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
So mwanamke ukikutana naye unaomba mzigo, hakuna kutongoza ama?
 
Ahahaha haya mambo haya kuna jamaa anasema hayana muongozo.

Kuna bidada huyo nlitokea kumkubali kinoma ,at first she was just a friend to me but nikaona she can make a good wife nikamu approach lakn akawa anasingizia ye bado ni mdogo kiumri that time yuko na 17 i think 2019 .

Basi muda unazidi songa nikawa nakumbushia, kuna muda nikaacha ,last time 2021 nikarudisha tena majeshi anakuja kuniambia anamtu ,daaaah nilidata nikahisi masiala dogo akakaza , kuna rafiki yake mmoja akanambia kuwa kweli dogo anamdau tayariii.

DAAAAH HIII STORY NIKO NAYO IMOSHONOOO SANAA

kufupisha story nikajisemea mwaka 2022 ndio mwaka wangu wa mwisho kufosi hii kitu kwake, December nlienda rekebisha gari karibu na hometown kwake nikakimbia mafundi niende kuzuga kwake huku mafundi wakikamilisha mzigo, nimefika pale nikampa salamu akajibu ile juu juuuu tuuu, nikawa nampa story no response nzuri toka kwake yuko busy na mambo yakee, nikamuuliza shida nn kwan mbona haupo Normal akajibu hamna kituuuu.

Ikabidi nijifanye nimepigiwaa simu nikaaga nikasepaa akajibu kinyongee hivo hivoooo.

From that day onwards nikaapa siji mtafuta huyu mtoto nikafunga kurasa mazima,
Nimeanza 2023 sijamcheki hajanichek after week kadhaa nikazoeaa ,siku zimepita hata akilin inaweza pita siku nisimuwazee.

Feb 10s alinipigia simu kwa sauti ya kinyonge sana, ANASEMA NAOMBA NISAMEHE KWA YALE nlokuambia mwaka jana (Huko nyuma ashai nambia hanipendi ,hawezi kuwa namie etc na maneno mengine magumu kama hayo na ashanambia several times ikafika kipindi nikawa naishi nayo nikayazoea) ,mie nikamwambia usiwazeee kuhusu hayo mbona ulisema ukweli uliomoyon mwako so huna haja ya kujutia maaana ulinichana ukweli mie ndio niamue kukaza fuvu.

Akashusha lawama kwann simtafuti kama zaman wala simpigiiii simu kama zaman ikabidi nimchane ukweli.

Nikamkumbusha kuwa kuna cku ile unakumbuka nimekuja kwako Afu hukuwa na time na mie akasema ndiyoo am sorry nlikuwa siko na mood siku hiyoo na blaaa blaaaah kibao , akaongeza tena usiniulize Kwann sikuwa na mood nikaona kanataka kuleta ukaribu ambao mie nishaacha kuutaka, siku entertain hayo maongez tukaaagana

Story yetu ikaishia hapo nikafunga ukurasa mazimaaa
Me hii ya kumtembelea mtu afu anakuwa hana habari na me imenitokea last week. Nikaamua kuondoka kimya.nimefika napokaa ananitumia ujumbe sikujibu kitu.
Sababu anaijua ila anauliza kama si unafiki ni nn.
Siji mtafuta maisha.
 
You said "My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets"
 
Back
Top Bottom