Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

an alpha male

JF-Expert Member
Mar 28, 2022
832
1,748
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
 
...
"women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."

"Women know the man who truly loves them, but sometimes, for the search of their lifestyle, reject the man who truly loves them and end up in regrets."

Hii lugha hii. Hata hapa naona bado nimechapia tu!
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of
Jaribu kuweka Aya vizuri. Alaf kingine mkuu, huwezi jua mtu anania gani na ww kisa amesema anakupenda.

Hata huyo aliyemzalisha, utakuta nae alimwambia anampenda. Hapo mlaumu kwa kujirudisha kwako, na sio kwa kukukataa

Mnyama Ngekewa peke yake ndio hakatiliwi, ila sisi wengine rejection ni part of our life.
 
Jaribu kuweka Aya vizuri. Alaf kingine mkuu, huwezi jua mtu anania gani na ww kisa amesema anakupenda.

Hata huyo aliyemzalisha, utakuta nae alimwambia anampenda. Hapo mlaumu kwa kujirudisha kwako, na sio kwa kukukataa

Mnyama Ngekewa peke yake ndio hakatiliwi, ila sisi wengine rejection ni part of our life.
Sijalaumu kunikataa ni maamuzi yake, ila swala lipo kweye kurudi ndo kilichofanya niindike hii thread...inafikirisha mkuu kama mwanzo ulikikataa kwasababu zako,

Sasa je unaporudi inamaana yule mtu kabadilika au sababu zako hazikuwa za msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom