Jtee
Senior Member
- Dec 27, 2022
- 186
- 299
Tatizo hamhudhurii vikao
Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio
Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi![]()




Tatizo hamhudhurii vikao
Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio
Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi![]()




Sawa mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoMwanaume ukiamua kumove on hakikisha unamove on mazima Wala usirudi nyuma.
Mtoa mada huyo demu alikukataa Mara ya kwanza tena akaona haitoshi akaamua kukuonyesha dharau kwa kubebishana na wanaume wengine mbele yako,yameshamkuta huko karudi kwako anaanza kukudanganya eti anakupenda afu wewe unamsikiliza.
Piga chini hiyo takataka Mara Moja na ikiwezekana futa number zake, vinginevyo muda si mrefu naona utakuja na Uzi humu ukilia Lia eti amekusaliti.
Wana wanaona WOLF wako na Alpha nao wanajiita alphana chaga walishapigwa


Hata mjanja alianza kuwa mjinga.....na mwenye akili naye pia anaujinga wake kwa wakati wake..kila binadamu hapa duniani ana welevu na ujinga ila inategemea anuonyesha kwa nani na kwa wakati gani.Hakuna sababu ya kubadili namba mwamba, ampe makavu tu kwamba baada ya kuzalishwa na aliowapenda ndo amemkumbuka?? Apite njia yake!!Badili namba move on achana nae
Kweli mkuu siwezi badili namba eti kisa mtu mmoja..huo utakua upuuzi wa kiwango cha fly over kabisaHakuna sababu ya kubadili namba mwamba, ampe makavu tu kwamba baada ya kuzalishwa na aliowapenda ndo amemkumbuka?? Apite njia yake!!
Maisha gani watakayompa ,mtu mjinga Hana maisha tumia akili hata za primary mkuuUnavyoandika kama hatokuja kupata bwana mwingine 😆😆😆😆 unachotakiwa kujifunza hakuwa fungu lako tembea mbele haupo mwenyewe duniani wapo watu kibao watampa maisha na u single maza wake. Tusijipe sana umuhimu kwenye maisha ya watu. Anachotaka now ni kukuvuruga maisha yako na ww hakuna mwanamke anapenda mtu alafu akaenda kuzaa na mtu mwingine. Ukichunguza vizuri aliezaa nae ndie alie mpenda haijalishi yupo nae au hayupo nae kwa sasa
Mademu wangapi wajinga na wamepewa maisha tena wanaweza kukuzidi hata ww elewa niliposema usijipe umuhimu kwenye maisha ya mtu kama alichomoa na ww sepa na zote utabaki kusema hafiki mbali ushangae kesho kakupita maisha ubaki kupanda kisukariMaisha gani watakayompa ,mtu mjinga Hana maisha tumia akili hata za primary mkuu
Labda wamepewa Mimba na sio maisha ,Rudi darasani na kamwe hutojua Maana ya maishaMademu wangapi wajinga na wamepewa maisha tena wanaweza kukuzidi hata ww elewa niliposema usijipe umuhimu kwenye maisha ya mtu kama alichomoa na ww sepa na zote utabaki kusema hafiki mbali ushangae kesho kakupita maisha ubaki kupanda kisukari
😂😂😂😂 SawaLabda wamepewa Mimba na sio maisha ,Rudi darasani na kamwe hutojua Maana ya maisha
I love u suzie _barbie 😅Siyo lazima uandike English, hata kiswahili tunaelewa.Jiepushe na hizi aibu ndogo ndogo.
Back to the topic, Mpende anayekupenda asiyekupenda achana nae, siyo mamako huyo.Pia jifunze ku ignore.Ukimpa airtime sana mwanamke anakuchukulia poa.
Expensive things are hard to get but you can get cheap stuff everywhere.Learn to keep yourself expensive.Namaanishe usimpe kila mtu attention yako hovyohovyo.
PleasureI love u suzie _barbie![]()
Pleasurize ,am seriousPleasure
Eti jamaa sijui anawaza nini...mtu ampe maisha mtu mpuuzi...hii dunia haipo kwaajili ya kuwapa nafasi wapuuziMaisha gani watakayompa ,mtu mjinga Hana maisha tumia akili hata za primary mkuu
Sawa mama...nimekuelewa.Siyo lazima uandike English, hata kiswahili tunaelewa.Jiepushe na hizi aibu ndogo ndogo.
Back to the topic, Mpende anayekupenda asiyekupenda achana nae, siyo mamako huyo.Pia jifunze ku ignore.Ukimpa airtime sana mwanamke anakuchukulia poa.
Expensive things are hard to get but you can get cheap stuff everywhere.Learn to keep yourself expensive.Namaanishe usimpe kila mtu attention yako hovyohovyo.
Bado Sana ktk uandishi dogo Kuna vitu vyingin unatakiwa uviandike Kila mtu aelewa unapenda kutumia lugha ngen but ailet Mantic yeyot so try to use only language then you what happen, oya dogo bado katika uandishi zingatia maneno ayo yakufundisha kitu....Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.
Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.
Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.
Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.
But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.
My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.
Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.
Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.
Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.
Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.
If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.