Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;

moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...

ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa,,,,,

life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

but kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi

my point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."

ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.

sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.
Inaonekana bado una utoto mwingi sana,na unafikiri unayajua mapenzi,huo muda wote uliokuwa unaupoteza kwake hakuwa kabisa na mapenzi na wewe,na hukuwa mtu wa type yake,hata sasa usifikiri kuwa ndio amerealize kuwa wewe ndio type yake,ukweli ni kuwa amekwama,na wale anaowataka yeye hawapati,na kwakuwa wewe ni king'ang'anizi usiyeonesha hisia kuwa umeumizwa,kaona ni bora ajishikize kwako ili maisha yasonge asionekane hana mtu.Huyo yuko desperate,na hakupendi,na kifupi ni kuwa anaowataka yeye hawana mpango na yeye....
 
We angalia wengi wanakataa watu wanaowapenda wanaenda kuzalishwa na kuachwa, na bahati mbaya mwanamke mwenye mtoto ndo basi tena

Wengine wanazalishwa na waume za watu
Kamwanamke fulan kalikuwa kanacheo nilikabembeleza tufanye maisha hakakunielewa kakajipendekeza kwa mume wa mtu kakaweka mimba kamezaa jamaa kakimbia, kanakuja res sana saivi me nimekaa pemben like a perv namuangalia tu...
 
Tulia bablai. Nitawanyoosha tu wajinga wote. Jana nimewapunguza wachache. 😂😂
Ukweli ni kwamba sikutaka ligi na wewe kwa vile kuna ka harufu cha heshimu huwa nakupa😂😂 lakini uzi ulikuwa wa kitoto zaidi😂😂😂.

Nyerere alicheza bao kama sehemu ya kupumzisha akili.

Mtaalam wa sayansi Makamu wa rais mstaafu Bilal ni mcheza gemu maarufu kama sehemu ya kupooza ubongo...hao ni mafala?

Hawa wote tuliojazana MMU na kujadili mapenzi nk tuna kazi zetu ambazo mtaani zinatupasua vichwa na kuota kipara.

Tukiingia mmu unakutana na Aaliyyah
To yeye Depal wanavyojiachia kimasihara mioyo inaburudika na tunajisikia kuwa na nguvu mpya ya kazi.

Hivi unafikiri wote wanaokaa vijiwe vya kahawa na kubishana siasa na mpira ni wajinga na jobless? Hapana...wanapooza ubongo baada ya kazi ngumu za akili
 
Hivi unafikiri wote wanaokaa vijiwe vya kahawa na kubishana siasa na mpira ni wajinga na jobless? Hapana...wanaoooza ubongo baada ya kazi ngumu za akili
Mwenyewe nacheza draft na ninakaa vijiwe vya gahawa na pombe.

Pia hizo mada za MMU ni mchangiaji mzuri tu tena huwa nachangia ujinga sana. Ila kama ungesoma mada vizuri mimi nilimaanisha kuwa wajinga tumekuwa wengi sana.

Ndio maana hatuwezi kuwawajibisha viongozi wetu mafisadi n.k lakini kwakuwa tumeshakuwa tunapenda ujinga basi sisi focus yetu ni kwenye mada za ajabu ajabu. (Mimi mmoja wa hao watu).

Nilitafakari kwa muda bro ndio nikahitimisha hivyo.
 
Ukweli ni kwamba sikutaka ligi na wewe kwa vile kuna ka harufu cha heshimu huwa nakupa😂😂 lakini uzi ulikuwa wa kitoto zaidi😂😂😂.

Nyerere alicheza bao kama sehemu ya kupumzisha akili.

Mtaalam wa sayansi Makamu wa rais mstaafu Bilal ni mcheza gemu maarufu kama sehemu ya kupooza ubongo...hao ni mafala?

Hawa wote tuliojazana MMU na kujadili mapenzi nk tuna kazi zetu ambazo mtaani zinatupasua vichwa na kuota kipara.

Tukiingia mmu unakutana na Aaliyyah
To yeye Depal wanavyojiachia kimasihara mioyo inaburudika na tunajisikia kuwa na nguvu mpya ya kazi.

Hivi unafikiri wote wanaokaa vijiwe vya kahawa na kubishana siasa na mpira ni wajinga na jobless? Hapana...wanapooza ubongo baada ya kazi ngumu za akili
😂😂😂Stress zinachosha aisee tunaburudika sana humu MMU
 
Kamwanamke fulan kalikuwa kanacheo nilikabembeleza tufanye maisha hakakunielewa kakajipendekeza kwa mume wa mtu kakaweka mimba kamezaa jamaa kakimbia, kanakuja res sana saivi me nimekaa pemben like a perv namuangalia tu...
Na kamwe usirudi nyuma
 
Mwenyewe nacheza draft na ninakaa vijiwe vya gahawa na pombe.

Pia hizo mada za MMU ni mchangiaji mzuri tu tena huwa nachangia ujinga sana. Ila kama ungesoma mada vizuri mimi nilimaanisha kuwa wajinga tumekuwa wengi sana.

Ndio maana hatuwezi kuwawajibisha viongozi wetu mafisadi n.k lakini kwakuwa tumeshakuwa tunapenda ujinga basi sisi focus yetu ni kwenye mada za ajabu ajabu. (Mimi mmoja wa hao watu).

Nilitafakari kwa muda bro ndio nikahitimisha hivyo.
Sawa mjinga mwenzetu🤣🤣🤣🤣
Kuna siku tutakataa ujinga viongozi watakiona cha moto😂😂
 
Inaonekana bado una utoto mwingi sana,na unafikiri unayajua mapenzi,huo muda wote uliokuwa unaupoteza kwake hakuwa kabisa na mapenzi na wewe,na hukuwa mtu wa type yake,hata sasa usifikiri kuwa ndio amerealize kuwa wewe ndio type yake,ukweli ni kuwa amekwama,na wale anaowataka yeye hawapati,na kwakuwa wewe ni king'ang'anizi usiyeonesha hisia kuwa umeumizwa,kaona ni bora ajishikize kwako ili maisha yasonge asionekane hana mtu.Huyo yuko desperate,na hakupendi,kilichoko ni kuwa anaowataka yeye hawana mpango na yeye....
Saddest truth.
 
Well said, mkuu nishawah kuwa na mwanamke nilitumia nguvu kubwa sana kumwelewesha kuwa hao jamaa wanamdanganya nikamweleza mbinu zote wanaume wanazofanya kumrubuni atulie tufanye maisha akawa haelewi nikamkaushia saivi inaenda miez nane, miez mitano ya kwanza, hata status zangu alikuwa haangalii, saivi kila siku anaview status zangu ila anaogopa atanianza vipi cause anajua misimamo yangu, najua washamkaza wamemkimbia sasa ndio anakumbuka nilivyokuwa nambembeleza, yan nikikumbuka treatment nlizokuwa nampa najua lazima tu atamisi...Muda mwingine wafundishen hawa wanawake kuwa sio kila mwanaume ni wakuyumbishwa ili wakipata relationship zingine wawe na discipline na mahusiano yao mapya...SIO KILA ANAEKUPENDA NI FALA.. kuna tofauti ya UFALA na KUPENDA...
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;

moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...

ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa,,,,,

life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

but kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi

my point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."

ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.

sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.
......mara nyingi wanawake huwa wanakuja mtu sahihi ni yupi, lakini wengi wao huwa hawavutiwi na lifestyle na hasa mionekano ya wanaume haoo.......wengi wanapenda ready made men, good face, walamba lips, watu wa outing, sixpack etc, kumbuka wanawake ni material oriented....Sasa haya haypo Kwa wanaume serious waoaji, na hapa ndo vimarioo huwa vinawawin......
 
Vimario vinakula utelezi vinapotea
 
Mkuu hapa ni kwamba mwanamke kakosa soko na anaona wewe ndio fala wake ambae unaweza uka entertain any type of bullshit ye anaweza kufanya sababu kwa bahati mbaya yale machaguo yake ya kwanza yote yamefail, yan wewe hukuwa type yake mpaka alipofail na ndio mana wanawake sikuiz wamekuwa watu wa majuto sana na wanaonaga msamaha ni haki yao hata wakoseaje ndio mana karud kwa spidi zote kwa fala wake, alafu majibu yao huwa yanafanana ukimuuliza kwanini umefanya hivyo anakwambia ilikuwa ni utoto naomba unisamehe tuanze upya 😂😂 kmmk usiingie huo mtego... Huo ufala unaenda kufanya utakuja kujuta... Kakosa Hennessy anataka value na wewe ndio value yenyewe sasa...AKILI KICHWANI KWAKO
 
Back
Top Bottom