an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,035
- 2,238
- Thread starter
- #201
No estoy loco, lovelovie.....Eres tan lista,Estas loco creo
Creo que podemos tomar un trago algún día.
No estoy loco, lovelovie.....Eres tan lista,Estas loco creo
Sure kaka sina time nao saiv wanajilengesha waoFeelings huwa zina expire date hasa mtu akikuletea mapicha picha zikija kuisha unamuona wa kawaida sana.
Yule aiseeew itabidi nimle maana na hasira nae sana then baada ya hapo tusijuaneNimekuuliza akirejea ngamani utamla au utamkataa?
Kwani alikuwa pisi kali mpaka umkomalie hivyo mkuuDaaaah sure kaka i was simping on her , i was just trying to act like a gentle, kumbe nikachelewa kwenye timingbut kama umesoma fresh hapo miaka ya kati nilimpotezea baada ya kusema ye bado mdogo kiumri, 2021 hivi to 2022 ndio nika commit akaja nitolea nje kwa maneno makai ambayo hadi leoo hakuna mwanamke aliyewahi nambia
daaah kuna muda najiona falaaa sana yan mtoto mdogo wa 2001 sijui hukoo kuniambia vileee sema ni zile za kusema ngoja nikomaee may be kesho atasomeka fresh lakn it was all in vain
Now sina story nae tena zaid ya kuview status with none commenting on one another post
Basi inabidi uwe tu mr 💰Sio demu kaka yule ni mke , yule kama dhahabu kaka huipati juu juu kama mchanga.
Mbona hao wa siku moja kaka tunakula, we kama umeoa au kama kuna mtu kaoa humu aje aseme kama alipata mke ndani ya siku nne.
Mke kaka sio mademu wa pale kimboka au CDA, Chako ni chako
She was a wife material thus nikainvest na niliinvest much kwake ili badae nikija bounce niwe Sina regrets kwamba i gave all i can do but it didn't work on my side
Quien the dijo que soy tan inteligenteNo estoy loco, lovelovie.....Eres tan lista,
Creo que podemos tomar un trago algún día.
Kweli kbsaWe angalia wengi wanakataa watu wanaowapenda wanaenda kuzalishwa na kuachwa, na bahati mbaya mwanamke mwenye mtoto ndo basi tena
Wengine wanazalishwa na waume za watu
SaikolojiaInaonekana bado una utoto mwingi sana,na unafikiri unayajua mapenzi,huo muda wote uliokuwa unaupoteza kwake hakuwa kabisa na mapenzi na wewe,na hukuwa mtu wa type yake,hata sasa usifikiri kuwa ndio amerealize kuwa wewe ndio type yake,ukweli ni kuwa amekwama,na wale anaowataka yeye hawapati,na kwakuwa wewe ni king'ang'anizi usiyeonesha hisia kuwa umeumizwa,kaona ni bora ajishikize kwako ili maisha yasonge asionekane hana mtu.Huyo yuko desperate,na hakupendi,kilichoko ni kuwa anaowataka yeye hawana mpango na yeye....
tienes un sentido del daño...por eso dije eso.Quien the dijo que soy tan inteligente
Oky buen dia.tienes un sentido del daño...por eso dije eso.
Gracias mi amor platónicoOky buen dia.
Hiyo nzuri mkuuSure kaka sina time nao saiv wanajilengesha wao
Huna mashiko. Huwezi ukatoa uzoefu wako bila kulinganisha na kupambanisha na wa wenzako ukajenga hoja.Kwa scenario ambazo mimi nimepitia pia nilizoziona kwa wengine
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Basi acha kila mtu, apite njia anayoona inamfaa, acha nibaki na msimamo wangu wewe baki na ubishi wako.Huna mashiko. Huwezi ukatoa uzoefu wako bila kulinganisha na kupambanisha na wa wenzako ukajenga hoja.
Hujui maana ya kutongoza kitendo cha kumtengenezea mazingira ya kumla mwanamke hata kama hukumwambia unampenda hio ni kutongoza tayariTatizo hamhudhurii vikao
Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio
Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi![]()
umejibu vyema sana, kuna watu hata maana ya kutongoza hawajui, wao wanafikiri mpaka useme nakupenda....kumbe kutongoza maana yake ni kumfanya mtu akubaliane na swala ambalo wewe unataka. Kwahyo haijalishi umetumia mbinu gani ilimradi amekubaliana na matakwa yako hapo umemtongoza tayariHujui maana ya kutongoza kitendo cha kumtengenezea mazingira ya kumla mwanamke hata kama hukumwambia unampenda hio ni kutongoza tayari
Na hakunaga formula kwenye kutongoza
Nina dada yangu kuna kamakonde kalikua kanamfukuzia enzi hizo kanapigwa chini hakasikii, kwa mimi nilivoona kale ka jamaa kanampenda kweli sister maana kalikua kanataka kumuoa lakini kumbe sister alikua na li jamaa Lake liko mkoani.Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.
Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.
Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.
Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.
But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.
My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.
Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.
Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.
Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.
Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.
If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.