Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Ukitaka uish vzur.. acha lawama.. kila mtu ana hak ya kupenda. Sasa umemtongoza hajakupenda kapenda mwingne.. inakua dhambi?.. ukiona karud kwako tena ujue unaenda tumika tu . Vijana someni alama za nyakat
Sawa kila mtu ana haki ya kupenda, shida ipo nini unachokipenda...maisha yanatufundisha upendo, lakini pia yanatufundisha ni nani wa kumpenda...

kuwa na haki ya kitu haimaanishi ufanye bila kuzingatia...ukiona ulikikataa kitu kwasababu zako baadae ukakitaka tena kile kile kitu basi ujue ulitumia vibaya haki yako yakuchagua hicho kitu....

Mara nyingi kama sio zote sababu zao huwa hazina msingi ndo maana huwa wanajuta mbeleni
 
Halafu 'red pill' ndo nini

Duh....ni maelezo marefu ila nenda ka google

Mwanzoni nlikua kama wewe....nlipigwa tukio nikaanza kuchukia wanawake, nikajiona sijakamilika, labda kuna kanuni nakosea, labda kuna 'science' ya kutongoza, nikaanza kupoteza mda wangu kwenye hivo vitu, red pill, hypergamy, mgtow......

Siunajua hizo communities huko mtandaoni wanachukia wanawake wanajifanya wanajua njia sahihi ya kutreat wanawake, utaskia sana 'don't put women on a pedastal'
Nilisoma hadi mavitabu, Kuna hicho kinaitwa "the art of seduction" nilikimeza kanuni zake

Lakini ikafika mahali nikaona napoteza muda wangu kuhangaika na details za wanawake. Nikaamua naishi na wanawake kawaida, namtreat kama navotreat washkaji....

Saivi niko poa tu...
 
Hapo nimekupata mkuu...hata mimi nimesoma vitabu vingi sana...tena kuna muda nilihisi kabisa hivi vitabu vinanitenga kabisa na jamii nikaacha kusoma aina fulani ya vitabu ambavyo ni psychotically sana...hivyo vitabu ni vizuri ila ili u apply vizuri kuna level ya maisha unahitajika ufikie ndo utaenjoy

hivi vitabu vinasaidia lakini usichukue vyote vingine unajoongeza kutokana na mazingira uliyopo .

Mfano mimi na kuwa an alpha male mwenye traits zote yaani tabia zangu huwa zinabadilika kutokana na aina ya mwanamke unayeongea naye kwa wakati huo..

kuna baadhi wanahisi mimi huwa hata situkani,.mpole sana mkimya...sio mkorofi

but wengine nafanya sasa vise versa..nakuwa mkali, mkorofi,, matusi sana ya uhuni..

kuna wengine u alpha male natupa pembeni naishi nao kawaida sana..

note; unapo attain knowledge sehemu hasa kwenye vitabu jaribu ku cope na uhalisia wa maisha ya jamii yako..yaani ile knowldege inakuongezea kitu na wewe unaangalia mazingira uliyopo kama unaweza ku apply hiyo knowledge au utumie akili yako ya kawaida...

sio umesoma art of seduction halafu unaanza kutoa logic zako kwa mwajuma ndala ndefu atakuona fala..angalaia na type ya she unayetaka ku apply hizo tips zako.
 
Mimi nimeamua kuacha kabisa.....

Kwenye maswala ya relationships ukiwa 'obsessed to details' hukamilishi chochote.

Saivi maisha yangu sibase kwenye kitabu chochote, mambo ya social dynamics sifuatilii tena, na nimekua 10× happier.
Naishi kama mtu wa kawaida tu wanasema 'go with the flow'
 
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
Hii Sasa ni kiboko aisee
 
Sawa kila mtu ana haki ya kupenda, shida ipo nini unachokipenda...maisha yanatufundisha upendo, lakini pia yanatufundisha ni nani wa kumpenda...

kuwa na haki ya kitu haimaanishi ufanye bila kuzingatia...ukiona ulikikataa kitu kwasababu zako baadae ukakitaka tena kile kile kitu basi ujue ulitumia vibaya haki yako yakuchagua hicho kitu....

Mara nyingi kama sio zote sababu zao huwa hazina msingi ndo maana huwa wanajuta mbeleni
Usiusemee moyo wa mtu blaza.. mwanamke had kazalishwa na bado una unamuwazia. Dah.. wanaume hatujifunz tu
 
Mimi nimeamua kuacha kabisa.....

Kwenye maswala ya relationships ukiwa 'obsessed to details' hukamilishi chochote.

Saivi maisha yangu sibase kwenye kitabu chochote, mambo ya social dynamics sifuatilii tena, na nimekua 10× happier.
Naishi kama mtu wa kawaida tu wanasema 'go with the flow'
ni sawa kama inakupa nafuu mkuu
 
Nothing about this says anything closer to an alpha male type dude, my brother. Quite the opposite actually. Can't expect them not to play you, when you play yourself, son.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na men wengine infront of me, nk.

Moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence, basi japo ilikuwa inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue, it was just me and my soul.

Ikafika kipindi akaacha hiyo tabia baada kuona Idon't give a F about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat, dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza, all she say its I want us to be just friends only.

Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa.

Life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she texts everytime, calls all she say is I want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.

But kiukweli I love her but i can't be with her. Kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi.

My point is; women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle they reject the man who truly loves them, and ends up in regrets.

Ndio maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakokwenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu.

Anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, keshapewa mimba, jamaa kakimbia ndio anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo, anayejua huyu ndio sahihi.

Sasa hapa ndio wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa, sababu tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo, kumbe everything has changed.

Ndio hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha, unabaki ni majuto tu.

If you're to jump off the bridge, make sure you know how deep the water is.
Umeeleweka mkulungwa
 
Tatizo hamhudhurii vikao

Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio

Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi
hii formula ikoje chief ???
 
mkuu grammer, grammer daah women’s ???

Ushaweka plural form afu unaweka apostrophy na ‘s’

Its women na siyo women’s

Huwa naumia moyoni nkiona mtu anaongea kiingerza halafu grammer haikai
 
I think he meant

"A woman recognizes a man she truly loves, but in order to find someone who will satisfy his lifestyle, she rejects him and ends up in regret".
Kwahyo na ww ulkuwa unarekebisha kimombo .....tukienzi kiswahili chetu
 
Alinikataa kwa makatalio makali

Sikupendi
Siwez kuolewa na wewe
Sina hata hisia hata kidogo nawewe
Unapoteza tu muda wako

But nashangaa saiv anautaka muda nliokuwa naupoteza kwake
Bora hata wewe uliambiwa hivyo mimi niliitwa k*ma, m$eng*, mwendawazimu, ilhali sijawahi mkosea kitu, kisa tu naomba mtoko kistaarabu, huyo binti aliontukana hivyo she's 19 The Garang
 
Back
Top Bottom