Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Sijalaumu kunikataa ni maamuzi yake, ila swala lipo kweye kurudi ndo kilichofanya niindike hii thread...inafikirisha mkuu kama mwanzo ulikikataa kwasababu zako,

sasa je unaporudi inamaana yule mtu kabadilika au sababu zako hazikuwa za msingi.

Bro una muda mwingi sana mpaka ujifikirishe juu yake?
Hebu changanya mbariga miaka miwili umeshaishi maisha mengine tofauti na watu tofauti.

Eti inakufikirisha, hebu tumia fikra zako kwa manzi ako current, sikushauri hata upige huyo, huyo kashafika hatua hata ya kuroga,kuombewa, kukanyaga wese ili apate mume.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;
Kwa hyo na ww ukakaa ukaanza kabisa kumwambia mwanamke ooh nakupenda sijui nin na nn
 
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;
Usipend kujumuisha watu. Je na mama yako ni mbinafsi? Je wanaume siyo wabinafsi? Lete lau ushahidi wa kitafiti japo kidogo
 
Being rejected is part of men's life. Mm jana tu nimekataliwa kwa staili yabkigaid sana. Ila maisha yanaendelea. Unakamata mwingine unachapa na ww unasepa
Ni kweli ila hii ni lifestyle yako, kila mtu anayakwake utachapa wangapi mwisho wa siku utachapa majini
 
Wew umefikiria nini mkuu
Demu mkiwa level sawa kuna vidharau wanaoneshaga sana.. Unless muwe Katika level Moja afu wewe uwe kitu unique ambacho kwake yeye ndo Interest yake ... Hapo utamkula bila shida.
Kwa sasa hv tatizo lake keshapoteza mchezo.
Dakika ya 87 afu 3:0
Mgonge kama mara 3 hv akolee afu umpige Chini.
Usimpe dhamana single mother.
Single mother ni ng'ombe wa kuchinja, Hafugiki.
 
Miguuni pako.
Ukimpenda mwanamke usijihangaishe hata siku moja kumsoundisha.
Nenda kwa DeepPond akufundishe amewezaje kua na wanawake kumi na wanamlilia kukicha
Ooh Kila mtu ana tips zake kutokana na aina ya ke anayetaka, labd yeye anapata bitches ,asee nina harem ya wanawake wengi pia nafasi bado zipo kwaajili ya wengi zaid...wanna join them
 
Demu mkiwa level sawa kuna vidharau wanaoneshaga sana.. Unless muwe Katika level Moja afu wewe uwe kitu unique ambacho kwake yeye ndo Interest yake ... Hapo utamkula bila shida.
Kwa sasa hv tatizo lake keshapoteza mchezo.
Dakika ya 87 afu 3:0
Mgonge kama mara 3 hv akolee afu umpige Chini.
Usimpe dhamana single mother.
Single mother ni ng'ombe wa kuchinja, Hafugiki.
Daah nimkuelewa sana maelezo yako, ila hyo conclusion daaah
 
Back
Top Bottom