Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,374
- 23,010
Anatakiwa kushituka alishaliwa.Tatizo hamhudhurii vikao
Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio
Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi[emoji4]