Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

Kifo siyo laana hata wewe utakufa; jinsi ulivyoandika ni kana kwamba umeshangilia hivi au unajaribu kuhusisha kifo chake na ushahidi wake. Kila binadamu atakufa na hakuna uhusiano wa kifo chake na kesi au ushahidi.
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Hata Farao wa Misri alikaza shingo na hakuamini wala kukubaliana na lolote lililomtokea
 
Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo?

If so,poleni familia
Inatuhusu nini sisi hiyo?mbona kifo ni jambo la kawaida sana?
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Wacha watapetape tu hapo bado hadi watakapo anza kuokota makopo
 
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
Dawa ya moto ni moto tu
 
Kuna watu wao wanaamini kifo ni laana, wamesahau kabisa kua tumezaliwa ili tufe na haijalishi umri wala hali yako kiafya, maana unaweza Mtu kalazwa ICU lakini anapona wakati kuna Mtu mzima na afya yake anakufa!! Kila nafsi itaonja umauti!!
Hasa kikiwa cha corona ndiyo laana inazidi
 
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
Sali mkuuu ombea nafsi yako na roho yako acha kuombea roho ya mwenzia hata Bwana Yesu alisema ilikie Nafsi yako ss ww umechanganyikiwa na gaidi kulilia nafsi yako matatzo ulio nayo tu yanakutosha kulia mbele za bwana usku kucha na laana inayokutafuna ww huioni????
 
Back
Top Bottom