Faraja kwanza
Member
- Apr 16, 2015
- 35
- 6
etu macho na masikio
Unamanisha Mengi ni Bavicha?
Hakuna tofauti ya kubenea na Chadema.
Mmeshindwa kupambana na Zitto mmeona muanze kumgombanisha.
Ninatarajia kuwa wewe ni msomi na mwenye uwezo wa kufanya analysis na siyo wale bendera fuata upepo.
Umemwita bw Rugemalila fisadi kwa ufisadi gani? Hivi suala la escrow umelisoma vizuri kama msomi bila kuingiza chembe za siasa? Naona wanasiasa kwa sababu zao wamekuwa wakipotosha sana suala hili na hadi baadhi ya wasomi wamekua kama chiriku kurudia yaleyale bila ya kufanya tathmini. Poleni sana
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.
Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.
========
Tamko lake:
Sasa ndo "umewasilisha" nini,nyie ndo gpa za 2.0 nyie!
Zito amezoea kuzusha na kutunga uongo msaliti mkubwa huyu. Dhambi aliyoishiriki ya kutaka kuiangusha Serikali kwa kutunga kashfa ya uongo ya Escrow imeanza kumtafuna baadaya ya uongo wake kubainika wazi. Sasa Zito anaweweseka. Ni sawa na wachawi au wezi wakikamatwa huanza kutajana, na hiki ndicho kinacho tokea sasa. Kama Zito anao ubavu, ampeleke Salim Khatri, mahakamani, aliyeandika uchambuzi wa kwamba ripoti ya PAC ilikuwa ni uongo uliotengenezwa na Zito. Kwenda mahakamani huitaji kutwambia, ni mambo yako binafsi na ninao uhakika Zito na Mengi waanatafuta huruma ya umma ambayo
Hawastahili kabisa kwa dhambi waliyoishiriki. Hivi Mengi anataka Ikulu iingilie mambo haya kwa sababu ipi? Ni upuuzi wa watu walioshiriki dhambi ya kutaka kuiangusha Serikali kwa kuzusha kashfa ya uongo ambayo ilishindikana leo wanatajana alafu wanataka Ikulu/ Serikali iingile! Upuuzi mtupu.
I said it before and I will say it again and again,
1.Watu wanaomshambulia ZZK kwa tuhuma za uongo hawatafanikiwa kwa kuwa kwanza the Person in question(ZZK) mwenyewe ana uwezo mkubwa wa kuzipangua tuhuma zote ambazo ni za kutunga kwa hoja imara zinazojaa maelezo ambayo ni ya msingi na ya kueleweka hata kwa muuza nyanya ambaye hakumaliza hata STD 7.
2.Hao wanaotaka kummaliza kisiasa apotee labda wamuue lakini as long as yuko hai hawatamuweza,siku zote ni rahisi sana sana kuutetea ukweli lakini ni ngumu sana sana kuulinda uongo.ZZK anasimamia ukweli.
3.Mtu mwenye akili timamu atajiuliza haya,
a)Source ya Chadema kumuandama ZZK: Kupinga ufisadi wa demokrasia ndani ya chama(nadhani wote mnajua nini kilichofanywa kwa katiba ya CDM kumruhusu Mbowe aendelee kutawala),kupinga Ufisadi binafsi wa viongozi eg Mbowe kuiuzia CDM magari mabovu etc
b)Source ya Rugemarira kumuandama ZZK: Escrow na Tenda ya Bandari(54 Trillion)
c)Source ya Baadhi ya viongozi wa CCM kumuandama ZZK eg Muhongo,Maswi,Tibaijuka,Ngeleja and the likes: Escrow
Jamani hadi hapa utaona kabisa ZZK ana maadui wengi ambao wote sababu za kutaka kummaliza ni yeye kusimamia mambo ambayo ni against their interest.
Conclusion: My Brothet ZZK tunakuombea kwa Mungu atakulinda,pambana tuko nyuma yako,Piania sauti za wanyonge wa nchi hii,We are too rich to be poor nakuombea siku uje upate mamlaka ambayo kwako kuadhibu mafisadi halitakuwa swala la kusubiri nani aseme nini.Mungu akusaidie....
tatizo watu weng tunamchukulia zitto km zitto lkn zitto ni mtu wa pekee mwenye ngoz ngumu anaevumilia meng na mwaka huu anaenda kuvunja record kwa mtu aliyekaa kwenye vinywa vya watu kwa mda mrefu nakushaur zitto usichoke mungu yuko pamoja nawe
I said it before and I will say it again and again,
1.Watu wanaomshambulia ZZK kwa tuhuma za uongo hawatafanikiwa kwa kuwa kwanza the Person in question(ZZK) mwenyewe ana uwezo mkubwa wa kuzipangua tuhuma zote ambazo ni za kutunga kwa hoja imara zinazojaa maelezo ambayo ni ya msingi na ya kueleweka hata kwa muuza nyanya ambaye hakumaliza hata STD 7.
2.Hao wanaotaka kummaliza kisiasa apotee labda wamuue lakini as long as yuko hai hawatamuweza,siku zote ni rahisi sana sana kuutetea ukweli lakini ni ngumu sana sana kuulinda uongo.ZZK anasimamia ukweli.
3.Mtu mwenye akili timamu atajiuliza haya,
a)Source ya Chadema kumuandama ZZK: Kupinga ufisadi wa demokrasia ndani ya chama(nadhani wote mnajua nini kilichofanywa kwa katiba ya CDM kumruhusu Mbowe aendelee kutawala),kupinga Ufisadi binafsi wa viongozi eg Mbowe kuiuzia CDM magari mabovu etc
b)Source ya Rugemarira kumuandama ZZK: Escrow na Tenda ya Bandari(54 Trillion)
c)Source ya Baadhi ya viongozi wa CCM kumuandama ZZK eg Muhongo,Maswi,Tibaijuka,Ngeleja and the likes: Escrow
Jamani hadi hapa utaona kabisa ZZK ana maadui wengi ambao wote sababu za kutaka kummaliza ni yeye kusimamia mambo ambayo ni against their interest.
Conclusion: My Brothet ZZK tunakuombea kwa Mungu atakulinda,pambana tuko nyuma yako,Piania sauti za wanyonge wa nchi hii,We are too rich to be poor nakuombea siku uje upate mamlaka ambayo kwako kuadhibu mafisadi halitakuwa swala la kusubiri nani aseme nini.Mungu akusaidie....
Ktk mfumo Wa capitalism wenye fedha ndio hushika au kutawala kila kitu ktk jamii.....
Ndio maana hata Marekani inaongozwa na familia tajiri fulani ambazo yeyote atakayekwenda kinyume nazo anakwisha!!!!
Hiyo ndiyo dunia sasa huyo mpuuzi wenu amewaingia wenye kushika hatamu soon atavuna alichopanda!!!!!
Kama aliyempelekea umbeya JK mbona mwisho Wa siku alimwondoa Muhongo baada ya kujiapiza Sana atasimama naye mpaka mwisho??
Angekua na akili mnazosema anazo asingekubali kutumika Kama condom kizembe hivyo ila kwakuwa anaamini yeye ni jembe Sana asubiri watu wamuonyeshe ulimwengu ulivyo!!!!
Anahangaika kuwasiliba akina Slaa lkn hakuna aliyemjibu sasa subiri wakati Wa wanaume kujibu mapigo ufike!!!!
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.
Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.
========
Tamko lake:
Yaan wew jamaa tumia japo 1/8 ya ubungo wake utajua kuwa hiyo habari ni ya udaku ndio maana ukulu Na zzt wakaipuzia sasa imeoneka inaanza kuleta madhara kwa jamii. Kwa lisifungiwe Hilo gazeth
Kwa maana hiyo rais anambeba Rugemalila kwenye mikataba ya kifisadi?
Mama kagenzi naona unajitutumuaBavicha ndio watunzi wa hiyo habari..na hile forum ya mchekeshaji wa mfalme