Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Tume washitukia..kweli kama huwezi kuwapiga bora uungane nao..na hichi ndicho kinacho fanywa na wapinzani wa Zitto wameona ni bora kuungana na watu fulani ili kumuangamiza Zitto kisiasa! Mwaka huu lazima mchanganyikiwe mtatunga kila aina ya uongo...

Hivi tangu lini CCM wakamtetea mpinzani wa kweli?
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa ----------- Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.
Kwamujibu wa Mengi,Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la Taifa Imara lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni ----------- forums.
Yaani ----------- inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi,Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa Mwana Halisi Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.

Kwamujibu wa Mengi, Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la 'Taifa Imara' lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni Mwana Halisi forums.

Yaani Mwana Halisi inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi, Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Tulieni tu sindano iwaingie kisawasawa na mtaona kama IPP MEDIA wataripoti habari zenu za kisaliti nyie wana Act
 
Hayafai kwa sababu yamemsema zitto? Zitto mnafiki na mtu mbinafs sana!wapumbavu pekee ndio wanaompigia chapuo.
 
Umeanza vizuri lkn umemaliza vibaya.Mengi kasema kwanini Ikulu hawakanushi? Hayo ya Bavicha yameharibu jibu lako.Usidharau taasisi ya Urais bwana.Hata kama ni gazeti la udaku sidhani kama linastahili kuandika udaku unaomhusu Rais na Ikulu wakakaa kimya.Huoni Rais anadharirishwa wewe?

Hivi Tz bado tuna Rais anayeweza kufanya maamuzi..?
 
Hivi kwamaana iyo Mengi ni Mungu anayeioshi dunaian ambaye kila mgusaye lazima ataharibikiwa??
Pasco nafkri ulikuwa unatafuta namna ya kuonyesha Zitto kakosea baada ya taarifa ya habari ya jana lkn pia ayo uliyounganisha wee hapa na wahanga wa matukio yaliyopita sio sahihi.

zito akishindwa atashhindwa kwa mengi wala sio aya ya Mengi.....................kwan huyu mengi anao usafi gani hasa??

Ktk mfumo Wa capitalism wenye fedha ndio hushika au kutawala kila kitu ktk jamii.....

Ndio maana hata Marekani inaongozwa na familia tajiri fulani ambazo yeyote atakayekwenda kinyume nazo anakwisha!!!!

Hiyo ndiyo dunia sasa huyo mpuuzi wenu amewaingia wenye kushika hatamu soon atavuna alichopanda!!!!!

Kama aliyempelekea umbeya JK mbona mwisho Wa siku alimwondoa Muhongo baada ya kujiapiza Sana atasimama naye mpaka mwisho??

Angekua na akili mnazosema anazo asingekubali kutumika Kama condom kizembe hivyo ila kwakuwa anaamini yeye ni jembe Sana asubiri watu wamuonyeshe ulimwengu ulivyo!!!!

Anahangaika kuwasiliba akina Slaa lkn hakuna aliyemjibu sasa subiri wakati Wa wanaume kujibu mapigo ufike!!!!
 
Last edited by a moderator:
babu anatafuta kick,ngoja jion utaskia mwanaume atakavyojibu kiuungwana,babu chezea wote sio huyu nyerere wa pili utauza had huyo mjukuu wako uliemuoa juzi.

Acheni kumfananisha Zitto na Nyerere, Nyerere atabaki kuwa Nyerere na Zitto hana hata chembe ya ufanano wa Nyerere.
Nyerere alikuwa na Misimamo na hakuteteleka na wala hakuanzisha chama akiwa ndani ya chama.
Tunaomfahamu Zitto vizuri tumeamua kutulia tu ili wakina Mrema wawe wengi.
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa Mwana Halisi Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.

Kwamujibu wa Mengi, Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la 'Taifa Imara' lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni Mwana Halisi forums.

Yaani Mwana Halisi inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi, Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.
Inasikitisha Kuwa nchi imefikia hapa ilipo. Haya ndio matunda Ya serikali zetu zinazokuwa na ushirika usiiokuwa na afya kwa jamii. Serikali inayoshirikiana na na wanyonyaji , wanaofukarisha mamilioni Ya watu . Hii serikali Ya awamu Ya nne imetia fora. Sehemu mbali mbali duniani matajiri hawana sauti yoyote ndani Ya jamii badara yake uhusiano wa tajiri na serikali ni kodi. Lakini leo Tanzania matajiri wameiteka serikali na ikulu yetu. Matajiri wanaamka na kuamua lolote juu Ya mstakabali wa Taifa letu. Inanisikitisha sana Hali hii katika nchi yangu pendwa.

Basi si na tufanye nini? Ni Hali ngumu Pia kwa taifa letu kwa kuwa watu wetu wameshajichokea hawaamini Kuwa nchi ni yao na mali zinazofujwa na wachache ni milija tu iliyobinafsishwa na wachache. Wengi haamini ni yupi atakuwa jibu kwa matatizo yao. Basi kwa wale wachache wanaojitambua endeleeni kuwaelimisha wengi wasiojua nchi hii inatakiwa watu gani. Kamwe hawa akina Rugemalila wasipewe nafasi. Jamii iwe imara kumtetea zitto wetu kwani ndi kiama cha hawa watu. Chadema kama kweli wana ushirika na hawa watu hatari sana kwa jamii yetu wakidhani wanammaliza zitto basi wajue wanapotea njia kwa Mara ya tena na ukweli ukidhihirika na ambao umeshaanza kudhihirika basi nao ndo mwanzo wa mwisho wenu.
 
Hivi tangu lini CCM wakamtetea mpinzani wa kweli?
Endelea Kufuatilia mambo ya SIASA Kwa muda wa miaka 10 na zaidi "Utaelewa ni kitu gani" maana Najua ulianza kuvutiwa na SIASA aidha mwaka 2000(Kwa sababu ya Zitto) amma 2010(Upepo wa SLAA-baada ya kuambukizwa mambo na ZITTO(Hapa mahaba pembeni jamani-SLAA Toka 1995 Yuko BUNGENI ILA TUMEMJUA 2005 KWA SABABU YA ZITTO).Taratibu Utaelewa nakushauri tu usikate TAMAA.....
 
Kwanini wahusika wote yaani Serikali, Mengi na huyu Zitto hawakukanusha mapema. 3weeks ni muda mrefu sana kwa mtuhumiwa kukanusha

sasa nan alikua na muda wa kujibizana na magazeti ya udaku; na kwa kua mzee mengi ameliongelea basi leo atapewa majibu ya izo tuhuma....
 
Back
Top Bottom