Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Mwache akashitaki ili aendelee kujifunua zaidi. Aiulize ikulu kwa nini huwa inakaa kimya kwa Habari inazoshutumiwa na Kubenea. Kama anadhani Kubenea ni mkurupukaji kama yeye ajaribu ili aone moto wake.
 
unavyopeleka jambo mahakamani ili upate haki yako nikumtisha yule unae mshitaki? vitu vingine muwewakweli.zito hajamtisha kubenea zito anataka kujua nia ya huyu kubenea kuendelea kuandika habari za uwongo kila siku zinazomhusu zito. mlitaka asimshitaki ili muamini kubenea anachoongea nikweli mtupu wakati ni uwongo
 
Anayeitwa Kiongozi Mkuu wa ACT Zitto Kabwe ameingia rasmi vitani na Saed Kubenea mmiliki wa mtandao maarufu wa Mwana halisi Online.

Zitto ameagiza wanasheria wake kumshtaki Kubenea baraza la Habari Tanzania kwa kile anachodai habari zake mfululizo za kumchafua kupitia gazeti la Mawio.



Watu kadhaa waliohojiwa wamesema kumshtaki Kubenea na Mawio ni sawa na kutangaza vita na vyombo vyote vya Habari nchini.

Saed Kubenea ni Mwandishi aliyejizolea umaarufu mkubwa nchini kwa Habari zake za uchunguzi ambazo zinaeleza ukweli ulivyo bila kumuogopa mtu yeyote kwa umaarufu wake au kwa cheo chake.

Said Kubenea ni kibaraka wa Mbowe ilo liko wazi,,,hata hicho kigazeti cha mawio,,kinachapwa na Mbowe
 
hivi tangu lini mnamwamini zitto si alisema Ana majina ya walioficha pesa uswizi mpaka Leo mbona yuko kimya
 
Zitto anacheza na akili za watanzania. Ameshambulia sana gazeti la Mawio, lakini hajajibu hoja hata moja. Mawio kwa wiki kadhaa limekuwa linafunua uongo wa Zitto. Ajibu hizo hoja ili tumwelewe. Vinginevyo asubiri tu historia itamhukumu

Wew ulitaka ajibu kivip kwa mfano
 
Mwache akashitaki ili aendelee kujifunua zaidi. Aiulize ikulu kwa nini huwa inakaa kimya kwa Habari inazoshutumiwa na Kubenea. Kama anadhani Kubenea ni mkurupukaji kama yeye ajaribu ili aone moto wake.

ikulu ndio inamwogopa kubenea sio zito ndio amwogope kubenea.anamshitaki ili ajue ukweli nasisi tujue ukweli
 
Sasa mwami kawekwa kitimoto anashambuliwa na kila kundi .hapati tena huruma aliyoitegemea kutoka kwa wananchi 'amezoea kuzusha na watu wanamshambulia'

rejea alichosema kuwa yeye ni mwanasiasa mwenye ngozi ngumu"
 
Anachofanya Kubenea ni kuonesha uongo wa Zitto na kueleza ukweli wa yale anayozunguka nayo Zitto akijisifu. Mimi nasoma makala zote za Kubenea katika gazeti la Mawio huwa ziko makini sana. Aende mahakamani akaaibike zaidi huko

Kule wew kipenda roho hula.. Ukiona chongo unawez kataa na kusema ni kengeza
 
Baada ya kuingalia hii habar katika taarifa ya habar imenipa shaka ya kuhisi kuna ukwel ndani yake maana kurugebz ya hbar ya ikulu baada kupigiwa sim ilisema itatolea ufafanuzi muda mchache ngoja waongee na raisi lakin baada ya muda tena kutafutwa sim yao ilikuwa haipokelewi manaake nn apo? Kuna shakha juu ya jambo hili ukiangalia imetajwa taasisi kubwa ya ikulu kwa muda wa wiki 3 inashindwa kutolea ufafanuzi jambo hilo kwel?

Apa Issue si Zitto ila Ikulu ndio issue kubwa huyo Zitto atajulikana baadae mbele ya safari na ndio maana Mengi hakumtaka Zitto atolee ufafanuzi lakin aliitaka Ikulu kutolea ufafanuzi suala hili
 
unavyopeleka jambo mahakamani ili upate haki yako nikumtisha yule unae mshitaki? vitu vingine muwewakweli.zito hajamtisha kubenea zito anataka kujua nia ya huyu kubenea kuendelea kuandika habari za uwongo kila siku zinazomhusu zito. mlitaka asimshitaki ili muamini kubenea anachoongea nikweli mtupu wakati ni uwongo

Yaan ukiwasikiliza hawa vijana wa bavicha ni shidaa kichefuchefu . Mtu akikaa kimya , Ooooo,, utasikia hiyo habari ni yakweli mbona hajakanusha..Akifuata taratibu mara za kupata haki zake wanaibuka tena Oooooo!!!! Anakimbilia mahakani!!!! Mara anatisha watu ... Mauzauza tuuu..
 
Mzee mengi ameeleza umma vizuri akihoji kwnn ikulu hawajakanusha au kutoa tamko lolote kuhusu hbr hiyo? Na mara nyingi ikulu imekuwa hodari na makini kwa taarifa zinazihusu ikulu. Ss kusema mengi ameamini taarifa hiyo si sahihi kuishia hapo. Ni bora kueleza alichosema
 
Kwanini zito ajibu baada ya mengi kusema?taarifa hiyo ina wiki tatu,alikuwa wapi kuikanusha mpaka mengi azungumze?anaogopa nini?anamuogopa mengi au kitu gani hasa?je alikuwa anasikilizia upepo?
Na nyinyi wote humu jf,ni nani aliyetegemea zito atakubalu hizo shutuma?mnamshabikia na kumsifu kwakuwa ni waapuuzi msijua kitu,na huko kushtaki wala hatashitaki,gazeti kuandika jambo linalomuhusu hadi rais si bure wanauhakika na wanachokifanya.nani hamwogopi rais hata amhusishe na mambo ya kijinga?

Khaa,kwani Mengi yeye imemchukua muda gani ku-raise hii inshu,naye si ameongea baada ya wiki tatu au?
 
mkuu mengi amerise hyo issue target yake ni state house maana anajua fika ni akina ruge na watu wa ikulu ndio wanaomsingizia na anajua fika kuwa zitto ni chambo tu sasa hkn jinsi zaidi ya kulinda usalama wake kwa kutaka ikulu kukanusha,
 
Jamaaa wanamchukia zitto utafikir kawaibia wake zao dah
 
Nimeshangazwa Sana na kauli aloitoa zzk kukanusha madai ya Dr Mengi, kauli hii inanipa utata Sana maana nachokumbuka Raisi JK ni kweli alikuwa Ughaibuni wakati sakata la escrow linaendelea but mweshimiwa aliludi wakati bado bunge laendelea, tena hakuna siku nlokuwa boadi Kama siku hiyo maana local channel zilianza rusha matangazo ya mweshimiwa akitoa historia ya ugonjwa wake na vipindi vya bunge kuhamishiwa TBC 2 ambako sisi makabwela hatukuwa na access nayo. Watanzania tubadilike tusiwe watu wa kubuluzwa mda wote.
Nawasilisha.

Sasa ndo "umewasilisha" nini,nyie ndo gpa za 2.0 nyie!
 
Habari kama hile ni ya kijinga kiasi kwamba watu kupoteza muda kuikanusha ni upotevu wa rasilimali..habari imejaa uongo mtupu kinacho takiwa ni lile gazeti kupigwa ban tuu..

Ninawasiwasi na watetezi wa zito na wanaodai habari hizo ni za kutungwa
 
Sead Kubenea yupo inara sana zile zile mbina huyo Ceo alizotaka kuzifanya Chadema ndeo anakurupuka nazo huko Kwa Sead Kubenea atashindwa tu tena namtadharisha hilo ni anguko jingine
 
Back
Top Bottom