Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Hali itazidi kuwa mbaya zaidi
Tusibishane kwa maneno, kama kweli tunataka kuleta hoja wana JF twende mahospitalini tukaone ndiyo tuje tubishe tamko la serikali.
Hali itazidi kuwa mbaya zaidi
Si ndio walichokua wanataka, watu wafe labda ndo kafara zao
Kwe nimeamini siasi ni mchezo wa kuana ,mpaka unaua wananchi wake jesus where your we need you?
LIFE FORMULA: anything + politics=NONSENS
MADAKTARI MKILEGEZA UZI CCM wataWANYANYASA HADI MTAJUTA.
katika tamko lake serikali imeeleza yafuatayo;
1.chanzo cha mgogoro kuwa ni posho ya interns ambayo tayari imeshalipwa.
2.madai mengine ya madaktari ambayo ni;
-call allowance
-house allowance
-risk allowance
-Transport allowance
-hardship allowance
3.mazingira mabovu ya kazi
................................................yote yameshatatuliwa na serikali imeunda timu kwa ajili ya mazungumzo zaidi na madaktari.
bunge limeipa kazi kamati ya huduma za jamii kukutana na pande zote za mgogoro ie serikali na madaktari.
Tusibishane kwa maneno, kama kweli tunataka kuleta hoja wana JF twende mahospitalini tukaone ndiyo tuje tubishe tamko la serikali.
anasema huduma katika hospitali ya MUIMBILI,OCEAN ROAD,KCMC,BUGANDO,MBEA NA HOSPITALIZOTE ZA MANISPAA ZA DAR HUDUMA ZIMERUDI KAMA KAWAIDA NA NI ZA KURIDHISHA
Hivi mgomo wa madaktari ni mvutano wa Madaktari na CCM au ni Madaktari na Serikali?
Natafakari nashindwa kuelewa ni wapi siasa inatupeleka nchi hii.
Bange na jua kali mbaya sana:washing::focus::hatari::lol::tongue::embarassed2::ballchain::smash:😛oa:eyebrows::biggrin::A S-coffee::juggle::A S embarassed::canada:😛hoto::alien::hat::yawn::nerd::A S 465::rant::hurt::hurt::crazy::crazy::crazy:
MAT ni chama (association) siyo bodi. Association ni ya madaktari wenyewe na si ya serikali, na inasajiriwa kama NGO. Bodi ya madakatari inaitwa "Medical Council Tanganyika Medical" hii ndiyo bodi ya serikali inayosajiri na kuangalia nidhamu za madaktari kitaaluma.
Katika taaluma za afya bodi za serikali ni hizi zifuatazo:
- Optical Council of Tanganyika
- Medical Council of Tanganyika
- Pharmacy Board
- Tanzania Nurses and Midwives Council
- Private Health Laboratories Board
- Nurses and Midwives Council
bwana ulimboka steven hajaajiriwa na serikali na wala hatambuliwi na serikali
Si Dr. Kwa maana kwamba hajasomea udaktari kwa hiyo hana sifa ya kuitwa Dr. au?
Si Dr. Kwa maana kwamba hajasajiriwa na baraza la madaktari la Tanganyika au?
Na je yeye ni mwajiiriwa wa serikali au siyo mwajiriwa, na kama ni mwajiriwa, ameajiriwa kama daktari au kama paramedical?
Na kama siyo Dr. aliajiriwaje huku hana sifa za U-Dr.?
Haya ni baadhi ya maswali waziri anatakiwa ayajibu, lakini kwa upande wa pili, Ndugu Ulimboka naye aje atupe upande wa pili wa hadithi, atuthibitishie kweli yeye ni Dr. au siyo kama waziri anavyosema.