Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 182
mmm...... Mrs nanii jamani wanaumia wenzio, we si unaletewa tu.
mijitu mingine bwana inataka mgomo huendelee tu huku wenyewe wanadunda barabarani ngoja ndugu zenu wapewe referal kutoka huko bara, ndio mtakapojua. Watu wanashabikia tu. Wabunge waliwahi kusema wanaoona wao wanafaidi waende wakapambane nao majimboni kwao ili nao waingie