Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Jumuiya ya madaktari haiangalii uko serikalini au kijiweni. Hata huyo waziri anajua hilo vizuri sana. Mfa maji haachi kutapatapa.
 
Kwanza alikuwa akisoma ile taarifa kwa tahadhali alikuwa nervous hakuna namna amebaki anazungusha zungusha kiganja chake,alikuwa haamini alichokiandika na kukisoma, serikali ya Tanzania ni mfu,Hakuna mahala popote duniani hapa ambapo nchi inaendeshwa na wasanii wa uongo,Raisi mwongo kupindukia Waziri mkuu amekubuhu kwa uongo,Waziri wa Afya pamoja na kusutwa mara kadhaa na madaktari baado amefuzu kwa uongo kiujumla hatuna serikali ila tuna misukule
Unadharau fani ya watu eti tuu wewe ni waziri au Raisi ,serikali ya Kikwete hovyo hovyo kabisa
 
Swali je ni kwanini wagome kama wameshatekeleza madai yao.Jibu rahisi ni madai yao hajashughulikiwa kikamilifu.Nafikiri kwakuwa viongozi na jamaa zao,wanauhakika wa tiba ya uhakika,ndo maana wanapuuza ile hali watu wanapoteza.Huu ni wakati wa kudai usawa katika huduma.
 
Kwanza alikuwa akisoma ile taarifa kwa tahadhali alikuwa nervous hakuna namna amebaki anazungusha zungusha kiganja chake,alikuwa haamini alichokiandika na kukisoma, serikali ya Tanzania ni mfu,Hakuna mahala popote duniani hapa ambapo nchi inaendeshwa na wasanii wa uongo,Raisi mwongo kupindukia Waziri mkuu amekubuhu kwa uongo,Waziri wa Afya pamoja na kusutwa mara kadhaa na madaktari baado amefuzu kwa uongo kiujumla hatuna serikali ila tuna misukule
Unadharau fani ya watu eti tuu wewe ni waziri au Raisi ,serikali ya Kikwete hovyo hovyo kabisa
 
Mimi nilishasema siku moja, hawa viongozi wetu walishalewa pesa!! hawataki tena kuwatumikia wananchi!! mwaka jana ulikuwa mputa mputa, mwaka huu wamegeuza style za kusikiliza matatizo ya wananchi kwa kukaidi zaidi.
 
hivi unategemea nini?

Waziri mkuu mwongo au anadanganya bunge, mawaziri wengine si waongo zaidi? Utajuta kuifahamu sirikali ya jk
 
watanzania kuweni watendaji..badilisheni mfumo wa nchi yenu......kikwete hastahili kuwa hapo
 
Hivi hawa viongozi wetu wana nini kichwani? Hili ndio tamko lililochukua siku 3 kutayarishwa? Kitu gani alichoongea pinda ambacho ni tofauti na cha huyu so called minister. Haya tufanye alichosema ni kweli tupu, kwamba ulimboka sio daktari kwamba madaktari wanaeleza mgomo, so what is the way forward. Nimesikia kilio cha wagonjwa leo kwenye radio ni akili ya mwendawazimu tu ndiyo asingejali. Wanaharakati mko wapi jamani??? Naona media wamejitahidi. Matamko pekee hayatoshi tunahitaji actions!



Rais wa nchi alikuwa anategemewa alete solution baada ya kurudi kutoka Addis naye anakuja kufungua benki ya kaburu na kucheka cheka while people are dying. Nilikuwa najiuliza hata kama benki ingekuwa ya kwake au ana hisa huko, not at this time.

Nchi hii Mungu atusaidie maana tunako kwenda kwa kweli hakujulikani.


Umenena mkuu!! Duh! 'valeou'r ya leo kali.
 
Mkuu kinachokatisha taama kwa wengine wetu ni kukosa pa kuanzia,laiti ningelikuwa na pa kuzania for sure saa ya ukombozi ilikuwa ni sasa,zaidi nategemea long term plan,i wish ningekuwa na short term plan,natamani nchii ipate ukombozi,maana sielewi huko waliko wanafanya nini.inauma sana.


pa kuanzia papo...sema nini watanznaia ni waongeaji sana......vitendo hakuna...mnalalamika tuu kutwa kucha....tatizo lenu uthubutu hakuna na huyo mnayemwita rais hana lolote zidi ya kutimiza matakwa ya wakubwa zake anayopewa..sasa mna rais ninyi au kivuli?!!!
 
hali ni mbaya hata mimi mgomo umenigusa nilitaka huduma pale KCMC hospitali nimeshindwa. nimeenda zangu dispensari....Serikali sikilizeni hao madaktari mmalize huo mgogoro tunateseka Watanzania kama hii sio nchi yetu.

Ironically, Daily News la leo katika picha yake iliyopo front page linasema "services at the hospital are back to normal"
 
Lakini mwisho wake nini??Serikali naona inatupeleka siyo!hawajui hata musurata kulianza hivihivi??
 
hivi kwanza mnajua nchi yenu haina pesa??....pesa nyingi wanatumia kufatilia watu waliowatangaza wao kuwa wamekufa..sasa kwa nini wanahangaika??
 
Jamani mbona 2nachelewa kutoa tamko letu???? Natamani nisingekuwa mtanzania
 
anasema yeye na kina ghasia walikutana na ulimboka kujadili, SASA KAMA HAWAMTAMBUI ULIMBOKA ILIKUWAJE WAKUTANE NAYE KUJADILI MGOGORO?


Wakubwa wanata tuamini kuwa huu mgogoro ni kati ya serikali na Dr Ulimboka? Mimi naona kama haya maelezo ya waziri bungeni ni madharau kwa madaktari wote. Kwamba hawana akili timamu wala utashi na hivyo wanafuata yale anayosema Dr Ulimboka! hii ni sahihi kweli?

Ni swali moja kwa waziri wa afya, kwanini Tanzania inaongoza barani Afrika kwa kupeleka wagonjwa India?
 
Back
Top Bottom