Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
waziri anaongea kwa hofu tupu, inaonekana jamaa ni mgeni sana kwani anaongea kwa kutetemeka
sio mgeni hata kule jimboni kwake aliiba kura huyo ....ni zezeta kweli hilo jamaaa..eti haji mponda??? majina haya ya Haji wanakuwaga madoktwa toka lini???