Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Waziri anatoa bungeni taarifa na kusema bugando kazi zinaendelea kama kawaida wakati taarifa za ndani znasema interns na resident mpaka sasa wanaona wagonjwa wa dharura tuu. Hawapiti wodini wala kuendesha cliniki.

Hivi kwa nini msiseme ukweli mkatatua tatizo?

Mnamadudu gani vichwani mwenu?
 
MAT ni chama cha madaktari wa Serikali? Mbona naiona MAT kama professional body kama NBAA,ERB nakadhalika kwamba ukijiunga unapata utambulisho kwamba wewe ni daktari unayetambuliwa nchini kulingana vigezo vilivyowekwa na haimaanishi kwamba wewe sio daktari! Sasa yawezekanaje Dr Ulimboka asiwe na sifa akawa mwanachama mpaka kuwa kiongozi? Na je issue nini mpaka sasa uhalali wa Ulimboka kuwa Dr au mgomo wa madaktari?

MAT ni chama (association) siyo bodi. Association ni ya madaktari wenyewe na si ya serikali, na inasajiriwa kama NGO. Bodi ya madakatari inaitwa "Medical Council Tanganyika Medical" hii ndiyo bodi ya serikali inayosajiri na kuangalia nidhamu za madaktari kitaaluma.

Katika taaluma za afya bodi za serikali ni hizi zifuatazo:
  1. Optical Council of Tanganyika
  2. Medical Council of Tanganyika
  3. Pharmacy Board
  4. Tanzania Nurses and Midwives Council
  5. Private Health Laboratories Board
  6. Nurses and Midwives Council
 
Sheria zote za kazi katika nchi hii ni kandamizi dhidi ya wafanyakazi. Sheria hizi huwafanya Rais, Mawaziri, Makatibu wakuu wa wizara na hata viongozi wengine katika maeneo ya kazi kuwa kama miungu watu.

Hivyo wakati umefika kuziangalia upya sheria hizi ili viongozi wawajibike kwa umma na kujali maslahi ya Taifa. Lazima viongozi watambue kuwa wamepewa dhamana kutumikia umma na si kuabudiwa!
 
MAT ni chama (association) siyo bodi. Association ni ya madaktari wenyewe na si ya serikali, na inasajiriwa kama NGO. Bodi ya madakatari inaitwa "Medical Council Tanganyika Medical" hii ndiyo bodi ya serikali inayosajiri na kuangalia nidhamu za madaktari kitaaluma.

Katika taaluma za afya bodi za serikali ni hizi zifuatazo:
  1. Optical Council of Tanganyika
  2. Medical Council of Tanganyika
  3. Pharmacy Board
  4. Tanzania Nurses and Midwives Council
  5. Private Health Laboratories Board
  6. Nurses and Midwives Council

Kuna tofauti gani kati ya namba 4 na 6 hapo, au umegida yale maneno yetu nini!
 
ukweli hauwezi kufichwa daima, wananchi wanaujua ukweli. Najua baadhi ya wanachi wanaweza kuumia lakini kila mtanzania sasa anaelewa nini maana ya kupiga kura, kuchagua viongozi
 
najuuuuuta kuangalia na kusikiliza kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari. Heri ningesikiliza kipindi cha hizi nazo redio one nipooze machungu ya serikali jingajinga kama hii ya ******
 
mbaya zaidi wanaokiona cha moto ni hao hao waliokiweka madarakani hii serikali ya kipumbavu kabisa!
 
nchi yenu ina viongozi vichaa....watanzania amkeni....mna viongozi wauwaji wakubwa
 
najuuuuuta kuangalia na kusikiliza kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari. Heri ningesikiliza kipindi cha hizi nazo redio one nipooze machungu ya serikali jingajinga kama hii ya ******
juta pia na kutusimulia humu yaani nimepandwa na hasila kwa masimulizi yako mpaka mwili umesisimka duuu. kweli bokoharam yaja!
 
dk ulimboka ni daktari na baada ya kumaliza intern alipewa cheti mwaka 2007...huyo waziri anarudia matapishi ya pinda!!!


Tupe mwongozo kuhusu hicho cheti.

Ni cheti cha kumaliza shule yake MUHimbili au cheti cha kumaliza Intern?
 
hii nchi kubebana kumezidi,
kwanini huyo waziri wa afya asiachie ngazi??????????
 
Mwenye profile ya Waziri Mponda amwege huku tumjue vizuri zaidi.

SalutationHonourableMember picture
1646.jpg
First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
Last Name:Mponda
Member Type:Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hmponda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 September 1958
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Manda Chini Primary SchoolPrimary Education19671970PRIMARY
Nawenge Primary SchoolPrimary Education19711973PRIMARY
Minaki Secondary SchoolO-Level Education19741977SECONDARY
Tosamaganga Secondary SchoolA - Level Education19781980HIGH SCHOOL
Mzumbe UniversityBusiness Management19841987ADV DIPLOMA
London UniveristyPublic Health20032004MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMaterial Management-GRADUATE
London UniveristyPublic Health20072010PHD
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Ulanga West Constituency20102015
Ministry of Health and Social WelfareMinister2010Todate
Ifakata Health InstituteResearch Scientist19962010
National Development CorporationCommercial Manager19891996
National Development CorporationCommercial Officer19831989
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMYouth Commander2009
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Political Committee2005
 
ukweli hauwezi kufichwa daima, wananchi wanaujua ukweli. Najua baadhi ya wanachi wanaweza kuumia lakini kila mtanzania sasa anaelewa nini maana ya kupiga kura, kuchagua viongozi

kwa kpiga kura hamuwezi kuuondoa udhalimu...tumieni nguvu muwang'oe hao wezi..watanzania kumbuke baba yenu wa taifa alikufa waliobak madaraka wote ni wezi nawauwaji wakubwa
 
Nafikiri wa JF inabidi mbadili mtazamo. Ni vizuri sana kujadili hoja na sio kumjadili mtu.

Punguzeni Jazba na kujadili hoja.
aiseee sasa unawaambia wana JF au waziri Mponda?? maana naona hotuba yake yote anamzodoa Dr Ulimboka?....

Mimi nakuambieni hii nchi wallahi hakuna watendaji huyu waziri kanichefua sana....anaongea upupu bin upupu mshenzi sana....hivi anajua anamuambia mjukuu wake au hajui watanzania wanamsikiliza jinsi anavyoongea upumbavu.....mijitu kiama kama hii ndio inafanya watu wanakufa bila sababu...shetani mkubwa huyu waziri....sijui haoni aibu
 
Back
Top Bottom