Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Ni wakati wa wauguzi kuunga mkono

ona sasa!!!...wauguzi pekee hawatoshi.....wananachi wote waungane wagome maana wao ndo wakiugua wanapata madhara maana hakuna madaktari wa kuwatibu......mgomo huu ni wa madaktari lakini wananchi wakitoka na kuwaunga mkono italeta maana kubwa sana...shinikizeni serikali yenu iwalipe hawa watu......watanzania piganieni nchi yenu.....mmezungukwa na vibaka na mmewapa madaraka makubwa......
 
sasa wewe ina maana hufahamu kwamba ni chama gani kinachoongoza serikali au ndo unataka kutia watu kichefu chefu.

Lakini mimi nilimsikia Katibu wa uenezi na itikadi CCM naye akiiagiza serikali itatue mgogoro huo kama wanavyofanya CHADEMA na vyama vingine, sasa nashindwa kuelewa..... nilitegemea mchangiaji aseme serikali ya CCM na si CCM kama alivyosema.
 
uongo ni sawa na uchangudoa....kwa nini viongozi wenu ni waongo kiasi hicho?? ...........
 
Jumapili Mtoto wa mkulima alisema Ulimboka hakumaliza internship yaani alifukuzwa kabla ya kumaliza na hakuna ushahidi wowote kuwa alifanya baadae ingawa alisamehewa na Rais Mkapa baada ya mgomo.

Hajawahi kumaliza na ushahidi alioutoa ni uongo!
 
Decision making needs a smart Guy!
Siku zote mbaazi zikikosa maua husingizia jua. Serikali hii ya JK HAINA DICISION MAKERS. Utawaskia tu kila ki2 kikienda mrama, ni chadema hao! Ni wapinzani hao, sasa wanang'ang'ana na BRAINER/SMART GUY DR ULIMBOKA. They fail to defend them self wanatafuta msaada wa mtaji wao(wadanganyika) kujinasua hapa wameshkwa pabaya.
 
Hadi kufikia Jana, tarehe 01 February 2012, Rais wa sasa wa Tanzania, amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha hiyo idadi ya tripu/safari ( 322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari. Utapata jumla ya siku 1288. Hizi siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 ( siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaani mika 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwa kuwa Rais Jk aliingia madarakani mwaka 2005 na hadi sasa 2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwa hiyo, Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa ktk nafasi ya urais (3.5 yrs out of 6 years) Je, Rais hajavunja rekodi ya kuingizwa ktk Guiness book of rekords ya dunia? Yaani Rais aliyekaa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko marais wote wa dunia? Rais gani amemezidi Rais wetu? Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya ukosefu wa Muda wa kuzisoma? GHARAMA Safari ya mwisho ( safari ya 322) ya Davos 25 – 28 January 2012, iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamu kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322. Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288. Kwa kuwa Tanzania ina jumla ya Kata 2011, fedha hivi zingetosheleza kuweka zaidi ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi 36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
 
MAT ni chama (association) siyo bodi. Association ni ya madaktari wenyewe na si ya serikali, na inasajiriwa kama NGO. Bodi ya madakatari inaitwa "Medical Council Tanganyika Medical" hii ndiyo bodi ya serikali inayosajiri na kuangalia nidhamu za madaktari kitaaluma.

Katika taaluma za afya bodi za serikali ni hizi zifuatazo:
  1. Optical Council of Tanganyika
  2. Medical Council of Tanganyika
  3. Pharmacy Board
  4. Tanzania Nurses and Midwives Council
  5. Private Health Laboratories Board
  6. Nurses and Midwives Council
Mgomo wa madaktari umenifumbua macho na sasa nawaelewa vizuri Wadanganyika..Maadam swala hili wananchi wengi kama sii wote wamekataa makusudi kutafuta ukweli, kutazama undani wa mgogoro huu wakifumbia macho uchafu uliofanyika na baadhi ya watu kwa sababu ya siasa za kiimani basi sina budi kukubali kwamba nchi yangu imekwisha haribika na pengine ni wakati muafaka wa kila mmoja wetu kutazama maslahi binafsi...
 
Hadi kufikia Jana, tarehe 01 February 2012, Rais wa sasa wa Tanzania, amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha hiyo idadi ya tripu/safari ( 322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari. Utapata jumla ya siku 1288. Hizi siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 ( siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaani mika 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwa kuwa Rais Jk aliingia madarakani mwaka 2005 na hadi sasa 2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwa hiyo, Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa ktk nafasi ya urais (3.5 yrs out of 6 years) Je, Rais hajavunja rekodi ya kuingizwa ktk Guiness book of rekords ya dunia? Yaani Rais aliyekaa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko marais wote wa dunia? Rais gani amemezidi Rais wetu? Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya ukosefu wa Muda wa kuzisoma? GHARAMA Safari ya mwisho ( safari ya 322) ya Davos 25 – 28 January 2012, iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamu kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322. Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288. Kwa kuwa Tanzania ina jumla ya Kata 2011, fedha hivi zingetosheleza kuweka zaidi ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi 36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
 
rais wenu hana tofauti na mti wa ashok...ule mt haufai kwa mbao..haufai kwa kuni...kaufai kwa fito za kujengea..haufai kuwa mkongojo wa babu .....zaid sana ule mti unatumika kwa makazi na mapango ya wale nyoka wa kijani....nyie watu amkeni....taifa lenu linaliwa na wachache..wauwaji wakubwa na mafedhuli wakubwa.....haiwezekanai mkawa taifa la walalamikaji toka asubuhi hadi jioni na hali mnaona kila kitu kuwa hakiko sawa..wabaya wenu mnawajua lakini mpo tu mnalalamika.....nani kawalaani ninyi watu?
 
hiyo hutuba inatofauti gani na ya PINDA si ndo ileile jamani, hv mlidhani atatoa mpya kweli?[Mimi pia naona anarudia yale aliyokuwa anaseme Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda]
 
Nafikiri wa JF inabidi mbadili mtazamo. Ni vizuri sana kujadili hoja na sio kumjadili mtu.

Punguzeni Jazba na kujadili hoja.

Kwani Pm na Mponda wanajadili hoja au mtu?Usiwe mtumwa wa fikra mkuu.
 
Mgomo wa madaktari umenifumbua macho na sasa nawaelewa vizuri Wadanganyika..Maadam swala hili wananchi wengi kama sii wote wamekataa makusudi kutafuta ukweli, kutazama undani wa mgogoro huu wakifumbia macho uchafu uliofanyika na baadhi ya watu kwa sababu ya siasa za kiimani basi sina budi kukubali kwamba nchi yangu imekwisha haribika na pengine ni wakati muafaka wa kila mmoja wetu kutazama maslahi binafsi...

Mkandara, kwenye taarifa ya bahari ITV 8pm yuko mzee mmoja (zaidi ya miaka 60) amevunjika mguu na alipoenda MOI hakupata matibabu kwa sababu ya mgomo. Lakini yule mzee alisema bila kumumunya maneno "madaktari wagome hadi wapate haki yao". Unaweza kuona ni jinsi gani wananchi wameamua kugharamia mabadiliko - life on the line kwa huyu mzee lakini aona bora iwe hivyo.

Na leo hii wabunge wa ccm hawako kwenye mood ya kujadili huu mgomo badala yake wamekazania kujadili JF! inasikitisha.
 
hakuna lolote la maana la kutegemea toka kwa magamba yaliyopo bungeni maana mhe.mnyika alipotolewa nje alipoomba mwongozo wa spika ili kauli ya serikali iweze kujadiliwa na naibu spika kukataa kikanuni,magamba ya bungeni yalifurahia sana.yaani wanaona ni haki kauli ya serikali kutojadiliwa.ila naibu spika ameipa kazi kamati ya huduma za jamii ijaribu kukutana na pande zote zinazohusika ili ije na ripoti ya jinsi mgogoro mzima ulivyo na jitihada zilizofanywa kuumaliza.lets wait and see
 
siku ina masaa 24 tu duniani kote....hivi ninyi watanzania mnayatumia vipi hapo masaa 24??...taifa lenu limekuwa la kulalamika tu...ondoeni utawala dhalimu uliopo madarakani....mnashangaza sana yaani huyo raisi wenu anaainisha kuorodhesha matatizo utadhani mdo mafaniko....kilimo, maji, umeme,afya, ajira, miundombinu..kote huko matatizo tupu.....

tumieni mwanaya wa mgomo huu mumuondoe hapo...mtu gani hasikilize watu wake?..hivi mmeridhika nae?
 
Watu wanajadili mgogoro wa madaktari wengine wanajadili kikwete,au kuna watu humu wanatafuta mume nini.
 
Kufukuza kazi waziri sio suluhisho la mgomo,serikali itatue kero za madaktari badala ya kuleta ubabe!
 
rais wenu hana tofauti na mti wa ashok...ule mt haufai kwa mbao..haufai kwa kuni...kaufai kwa fito za kujengea..haufai kuwa mkongojo wa babu .....zaid sana ule mti unatumika kwa makazi na mapango ya wale nyoka wa kijani....nyie watu amkeni....taifa lenu linaliwa na wachache..wauwaji wakubwa na mafedhuli wakubwa.....haiwezekanai mkawa taifa la walalamikaji toka asubuhi hadi jioni na hali mnaona kila kitu kuwa hakiko sawa..wabaya wenu mnawajua lakini mpo tu mnalalamika.....nani kawalaani ninyi watu?

huna maana wewe,ondoa ujinga wako hapa,hii ni forum ya great thinkers sio njaa njaa kama wewe
 
Back
Top Bottom