Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
mi simweliwi anaongea nini na lengo lake ni nini, ngoja niendelee kumsikiliza
maamuzi ya serikali juu ya mgogoro
1. madktari hawataki suluhu juu ya mgogoro, na kuagiza warudi kazini mara moja
Hili ni kweli sana tu.Waziri anasema madaktari hawako tayari kwenda kufanya kazi mikoani
Hili nalo ni kweli ingawa sheria haikusema wafanyweje wakigoma na watu wakapoteza maisha.Kwamba mgomo ule ni batili kwa kuwa sheria inawazuia madaktari na watumishi wengine wa sekta muhimu kugoma.
Kwamba mgomo ule ni batili kwa kuwa sheria inawazuia madaktari na watumishi wengine wa sekta muhimu kugoma.